Bongo habari

Bongo habari Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bongo habari, Media/News Company, Dar es Salaam.

Shamsa Ford ampongeza Nay kwa hili "Nakushukuru kwa kitu kimoja tu.Unaniongelea vizuri sana kwa watu tofauti na MAEX wen...
26/12/2022

Shamsa Ford ampongeza Nay kwa hili

"Nakushukuru kwa kitu kimoja tu.Unaniongelea vizuri sana kwa watu tofauti na MAEX wengine.Tangu tumeachana sijawahi kusikia ukinizungumzia vibaya.Huwa napata ujumbe wako kutoka kwa watu tofauti unavyoniongelea vizuri.Kupitia ww vijana wanatakiwa kujua kuwa kuachana si VITA na wala hutakiwi kumuongelea vibaya mwenzio ..COUSIN
Nay True Boy I SALUTE UπŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»"

MAREKANI: Kampuni ya META ( ) imeamriwa kulipa fidia ya Tsh. Milioni 406.9 baada kubainika kutumia huduma ya Utiririshaj...
22/09/2022

MAREKANI: Kampuni ya META ( ) imeamriwa kulipa fidia ya Tsh. Milioni 406.9 baada kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) bila kufanya makubaliano na Mwanzilishi Tom Katis, Mstaafu wa Jeshi

Credit: Jamii forum

Mama Dagote alipoulizwa amesema jana katika birthday yake amepewa zawadi ya milioni 20 na Diamond Platnumz
09/07/2022

Mama Dagote alipoulizwa amesema jana katika birthday yake amepewa zawadi ya milioni 20 na Diamond Platnumz

Lulu amtungua Mange, ni baada ya Mange kudai Lulu kamfukuza mama yake na sasa anauza bar huko Tegeta. Lulu pia amepost v...
18/04/2022

Lulu amtungua Mange, ni baada ya Mange kudai Lulu kamfukuza mama yake na sasa anauza bar huko Tegeta. Lulu pia amepost video akiwa live na mama yake na mjukuu wake. Lulu ameonekana pia kutopendezwa Mange kudhihaki duka lake pamoja na maneno kwa mume wake na mtangazaji wa kiume yaliyosemwa na Mange. Lulu amejibu kwa kutoa comment hiyo katika post ya Mange

Umeionaje EP ya Diamond platnumz        Toa maoni yako!!!
11/03/2022

Umeionaje EP ya Diamond platnumz

Toa maoni yako!!!

Alichoandika Babalevo Kuhusu MIRABAHA awacharua Marioo  na Rayvanny Baada ya Kutokuwepo Kwenye list Hiyo ☺️
29/01/2022

Alichoandika Babalevo Kuhusu MIRABAHA awacharua Marioo na Rayvanny Baada ya Kutokuwepo Kwenye list Hiyo ☺️

Msanii wa Bongofleva  akipokea hundi yake ya mgao wa mirabaha Shilingi Milioni 7,588,816  ambapo Usiku wa Kuamkia leo CO...
29/01/2022

Msanii wa Bongofleva akipokea hundi yake ya mgao wa mirabaha Shilingi Milioni 7,588,816 ambapo Usiku wa Kuamkia leo COSOTA imetoa gawio la mirabaha ya Wasanii Mbalimbali wa Muziki wa Bongofleva na Nyimbo za Injili zaidi ya elfu moja Ambao wamesajiliwa BASATA wamenufaika na mgao huo

Zaidi ya kazi za Muziki elfu tano zimetumika katika kufanya mgao huo, Pesa Hizo zimekusanywa Kutoka Katika Vituo Mbalimbali vinavyocheza Kazi za Wasanii Mfano Radio, Television, Mahotel, Mabasi n.k

Alikiba amekua Msanii wa Pili aliepokea Fedha nyingi zaidi Baada ya kwaya ya Mtakatifu Cecilia Arusha Waliopokea Shilingi Milioni 8

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo habari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share