
15/07/2025
Mfalme Suleman katika kitabu Cha muhubiri alisema kuwa kila jambo na wakati wake.
Yes kuna wakati wa kufanya Sponsored Ads, kuna mambo mengi ya kufanya kabla hujafikia hatua ya kufanya Ads
Hata samaki havuliwi kwa kurusha ndoano kila sehemu yenye maji, kwakuwa sio kila sehemu yenye maji Ina samaki.
Hivyo hata hapa online lazima ujue ni wapi na wakati gani ufanye hivyo upate wateja wa bidhaa zako.
Anyway Yana ZUNGUMZIKA njoo tuongee