Fredrick Baruti

Fredrick Baruti For business promotion
Whatsapp me +255629190267

18/09/2026

Nani atamfunga paka kengele | Full video tazama sehemu ya comment nimekuwekea link

18/09/2026
Zamani za kale, Panya, Paka na Mwanadamu waliishi pamoja k**a marafiki. Lakini mambo yalibadilika baada ya Mwanadamu kuo...
18/09/2026

Zamani za kale, Panya, Paka na Mwanadamu waliishi pamoja k**a marafiki. Lakini mambo yalibadilika baada ya Mwanadamu kuonyesha upendo mkubwa kwa Paka pekee, jambo lililomfanya Panya kuingiwa na wivu na kuanza kuharibu mali nyumbani hapo. Baada ya kugunduliwa, Panya alifukuzwa na kuapa kulipiza kisasi. Kuanzia siku hiyo, uadui wa milele ulizaliwa; Paka akasimama kidete kulinda mali na usalama wa Mwanadamu dhidi ya Panya msaliti.

Kuitazama filamu hii fupi tazama kwenye comment nimekuwekea link ya youtube, bonyeza na ukaitazame na familia yako.

17/07/2026

Jaribu kufikiria siku Dar es salaam ikikumbwa na Tsunami, nini kitatokea, karibu kuitazama short filamu hii itakayokupa picha halisi

Posters designed by me
15/07/2026

Posters designed by me

14/07/2026

A short Tanzanian film created with AI, depicting a tsunami event hitting the city of Dar es Salaam.

Jaribu kufikiria siku Dar es salaam ikikumbwa na Tsunami nini kitatokea, karibu kuitazama short filamu hii itakayokupa p...
13/07/2026

Jaribu kufikiria siku Dar es salaam ikikumbwa na Tsunami nini kitatokea, karibu kuitazama short filamu hii itakayokupa picha halisi ya tukio hili la kutisha.

Jitayarishe kwa tukio la kusisimua na la kutisha! Katika video hii,...

Tsunami in Dar available on youtube
13/07/2026

Tsunami in Dar available on youtube

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255629190267

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fredrick Baruti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share