Wasaf MURASS Sporty

10/12/2025

ameanza mazoez

Mlinzi wa kati Abdulrazack Mohamed amekamilisha matibabu ya upasuaji ambayo yamefanyika nchini Morocco.
10/12/2025

Mlinzi wa kati Abdulrazack Mohamed amekamilisha matibabu ya upasuaji ambayo yamefanyika nchini Morocco.

mchezo umeisha salam na mchoz unamatokeo ma 3 kati ha hayo ss tume fungwa tume kubali walikua bora kuliko sisi
07/12/2025

mchezo umeisha salam na mchoz unamatokeo ma 3 kati ha hayo ss tume fungwa tume kubali walikua bora kuliko sisi

Nabil Kouki anaweza kujiunga na Simba muda wowote kwanzia sasa,kwa taarifa nilizonazo ni kwamba anaweza kumalizana na Si...
07/12/2025

Nabil Kouki anaweza kujiunga na Simba muda wowote kwanzia sasa,kwa taarifa nilizonazo ni kwamba anaweza kumalizana na Simba muda wowote k**a watakubali masharti ambayo amewapa

Moja ya masharti ambayo amewapa ni pamoja na kuongezewa wachezaji wawili au watatu ambao atawataka yeye

Pili kuwa na mazingira mazuri ya kazi bila kuingiliwa kwa namna yoyote ile

Tatu atakuja na bench lake la ufundi

06/12/2025
Tunarudi kutafuta alama tatu za Ligi Kuu.
03/12/2025

Tunarudi kutafuta alama tatu za Ligi Kuu.

BREAKING NEWS…!! Klabu ya Simba SC IMEMFUTA KAZI Kocha wake (Meneja Mkuu) DIMITAR PANTEV mara moja. Tangu asubuhi leo ku...
02/12/2025

BREAKING NEWS…!!

Klabu ya Simba SC IMEMFUTA KAZI Kocha wake (Meneja Mkuu) DIMITAR PANTEV mara moja. Tangu asubuhi leo kumekuwa na kikao KIGUMU cha Bodi ya Wakurugenzi na maamuzi yamefikiwa PANTEV aondoke. Hatua iliyopo sasa ni mahesabu ya malipo yake tu, kisha awahi X-Mass nyumbani kwao.

30/11/2025

hatupumui mtaani huku k**a na muona mtani hv

Address

Mbagala
Dar Es Salaam

Telephone

0622250652

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wasaf posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category