K-News

K-News Muhabarishaji wa kujitegemea

Mahak**a Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemuhukumu Mkude Nziku (20) Mkazi wa Kijiji cha Kihanga Wilaya na Mkoa wa Iringa k...
29/11/2023

Mahak**a Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemuhukumu Mkude Nziku (20) Mkazi wa Kijiji cha Kihanga Wilaya na Mkoa wa Iringa kutumikia kifungo cha Maisha Jela na fidia ya shillingi Milioni Tano baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka Binti wa kaka yake mwenye Umri wa miaka 11.

Kesi hiyo ilisimamiwa na Hakimu Mkazi Mkuu Mkoa wa Iringa Said Mkasiwa ilikuwa na jumla ya mashahidi wanne akiwemo (Binti aliyedaiwa kubakwa, mama Mzazi wa Binti huyo, Daktari pamoja na Polisi aliyechukuwa maelezo ya awali).

Inaelezwa siku ya tukio Mtuhumiwa aliingia chumbani kwa Binti huyo kupitia njia ya Dirisha akamchukua mtoto huyo kwa nguvu kutoka kitandani akamuweka chini kisha kumvua nguo zake na kutenda unyama huo.

"Alinivua sketi akaivuta nguo yangu ya ndani akaniingiza 'LIDUDE' lake sehemu ya kukojolea nilihisi maumivu makali nikapiga kelele mama akaja chumbani kwangu lakini Mkude akakimbia" Alisema Binti huyo

Naye shahidi wa pili ambaye ni mama Mzazi wa mtoto huyo anasema baada ya kusikia kelele za mwanaye alitoka haraka hadi chumbani kwa mwanaye akapishana na mtu sebuleni alianza kumkimbiza punde Mtu huyo aliyemtaja k**a Mkude akaanguka chini akammulika ta Taa yake ya Solar na kumtambua, akamuuliza ulikuwa unafanya nini chumbani kwa Binti yako (Mtoto wa kaka yake) Mkude akadai kuwa alikosea nyumba kisha akakimbia.

K-news

  ya leoo... 🤔🤔🤔K-news
29/11/2023

ya leoo... 🤔🤔🤔

K-news

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Ally's Star (T178 DVB) kugonga kichwa ...
29/11/2023

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Ally's Star (T178 DVB) kugonga kichwa cha treni eneo la Manyoni mkoani Singida alfajiri leo.

Taarifa zaidi endelea kufuatilia Mwanahabari Cc -news

Mmh hvi n kwel.. 🤔🤔🤔K-nK-news
29/11/2023

Mmh hvi n kwel.. 🤔🤔🤔

K-nK-news

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255688544919

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when K-News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share