Mapambo Swahili Media

Mapambo Swahili Media RADIO|PODCAST|BLOG|ADS AGENCY

Taifa Leo, Jumamosi, Julai 5, 20251. JOTO KUHUSU KANISA IKULU - Wataalam wa sheria wasema Rais anakiuka Katiba mbali na ...
04/07/2025

Taifa Leo, Jumamosi, Julai 5, 2025
1. JOTO KUHUSU KANISA IKULU - Wataalam wa sheria wasema Rais anakiuka Katiba mbali na kutumia ardhi ya umma k**a mali binafsi
2. Mavoko wakataa Saba Saba
3. Upinzani warai wakazi kutimua Ruto, Raila

Julai 4, Rwanda inaadhimisha siku inayojulikana k**a 'Kwibohora'. Haya ni maadhimisho ya kuanguka kwa utawala ulioongozw...
04/07/2025

Julai 4, Rwanda inaadhimisha siku inayojulikana k**a 'Kwibohora'. Haya ni maadhimisho ya kuanguka kwa utawala ulioongozwa na Wahutu nchini Rwanda.

Chama cha Rwandan Patriotic Front kikiongozwa na Rais wa sasa wa nchi hiyo Paul Kagame kilimaliza mauaji ya kimbari ya 1994 kwa kuwashinda viongozi wa kiraia na kijeshi waliohusika na kampeni ya mauaji.

Zaidi ya wataalamu 500 wa Jeshi la Anga katika Jeshi la Taifa la Uganda, UPDF wamehitimu.Hao ni pamoja na marubani, waku...
04/07/2025

Zaidi ya wataalamu 500 wa Jeshi la Anga katika Jeshi la Taifa la Uganda, UPDF wamehitimu.
Hao ni pamoja na marubani, wakufunzi na wahandisi, wote sasa wakiwa na ujuzi wa kuchangia katika harakati za utaalamu za UPDF.

Akihudhuria hafla hiyo Mkuu wa Majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba alisisitiza onyo lake dhidi ya matumizi mabaya ya pesa za UPDF, akibaini kuwa hakutakuwa na huruma kwa wafisadi

Mapepo ya risasi
17/06/2025

Mapepo ya risasi

Billy mwangi Asema ana wosia wakutafuta kiti cha seneti eneo la Embu huku Aliye kuwa naibu Rais Rigathi Gachagua akisema...
01/06/2025

Billy mwangi Asema ana wosia wakutafuta kiti cha seneti eneo la Embu huku Aliye kuwa naibu Rais Rigathi Gachagua akisema yupo tiyari kumpa Mguvu....

- Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga amemtaka Rais William Ruto kuwafidia familia waliopoteza watoto wao katika...
01/06/2025

- Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga amemtaka Rais William Ruto kuwafidia familia waliopoteza watoto wao katika maandamano ya Gen Z, yaliyoishia kwa ghasia mwaka jana.
- Raila, aliyekuwa akizungumza katika sherehe ya maadhimisho ya Madaraka Day 62, siku ya uhuru wa Kenya, alisisitiza kuwa japo wako kimya kwa sasa, wengi wa waioathiriwa kwa kupoteza wapendwa wao katika maandamano hayo hawajapona machungu hayo.

TOMMOROWS HEADLINESVICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI NCHINI KENYA KUANZIA SITA USIKU...
30/05/2025

TOMMOROWS HEADLINES
VICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI NCHINI KENYA KUANZIA SITA USIKU...

wameonekana Wakipiga Tabasamu Ya dola leo kisumu
29/05/2025

wameonekana Wakipiga Tabasamu Ya dola leo kisumu

Majarida yetu Nchini
29/05/2025

Majarida yetu Nchini

Address

Spine Road
Nairobi
00518

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapambo Swahili Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mapambo Swahili Media:

Share