Tony store

Tony store Tony store

UFAHAMU UGONJWA WA  TEZI DUME NA MADHARA YAKE. Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiun...
23/04/2022

UFAHAMU UGONJWA WA TEZI DUME NA MADHARA YAKE.

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.

Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.

Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.

Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume,

mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.

Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13 .

Kwa tiba na ushauri piga namba
0625266524.

23/04/2022
21/04/2022
bawasiri inatibika
24/02/2022

bawasiri inatibika

Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri kwa muda mrefu licha ya kutumia dawa mbali mbali:1...
24/02/2022

Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri kwa muda mrefu licha ya kutumia dawa mbali mbali:

1.Kutopata dawa sahihi.
-Si kila dawa inayotangazwa kutibu Bawasiri inaweza kutibu Bawasiri bali dawa yenye ufanisi wa kutibu ndio inaweza kutibu Bawasiri.

2.Kutofuata ushauri unaopewa.
-Usipofuata yale ambayo daktari anakuelekeza ili kupata suluhisho la Tatizo lako ni ngumu kupona tatizo lako.

3.Kutoziacha sababu zilizopelekea upate Bawasiri. Katika hili wengi wamefeli kwani haiwezekani ukapona Bawasiri ikiwa sababu zilizopelekea upate Bawasiri hutaki kuziacha. (mfano)
-Pombe
-Uzito mkubwa
-Ulaji mbovu
-Kuingiliwa kinyume
-Kula sana pilipili
-Kukaa sana chini
-Kunyanyua vitu vizito
-Kutotibu Magonjwa k**a Ngiri na Vidonda vya TUMBO
-Kutokula vyakula vya kulainisha choo k**a vile Mboga za majani & matunda
-Kula udongo(wajawazito)
-Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa.
-Kuharisha mara kwa mara
-Kujisaidia choo Kigumu NK.

Hata utumie dawa zaid ya 100,usipoziacha sababu hizo ni ngumu sana kupona Bawasiri na matokea yake kila mtoa tiba utamuona Tapeli kumbe sababu ni wewe mwenyewe kutofuata miongozo,maelekezo na USHAURI kutoka kwa mtoa huduma ya afya.

Kwa ushauri na tiba piga simu namba 0625266524

KWA NINI SIPONI?ni swali ambalo limekuwa likikosa jibu lake.Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,mati...
23/02/2022

KWA NINI SIPONI?
ni swali ambalo limekuwa likikosa jibu lake.

Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.
Watu wengi wa naamini kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatizo kwa muda mrefu sana bila mafanikio na kupelekea kukata tamaa ya kutafuta tiba na badala yake humuona kila mtoa huduma ni tapeli,

kwa ushauri na tiba piga simu namba 0625266524

WANINI KUINGILIWA SEHEMU YA HAJA KUBWA(kulawitiwa ) NI KATIKA SABABU ZA MTU KUPATA BAWASI⤵⤵⤵⤵⤵-Kuingiliwa sehemu ya haja...
22/02/2022

WANINI KUINGILIWA SEHEMU YA HAJA KUBWA(kulawitiwa ) NI KATIKA SABABU ZA MTU KUPATA BAWASI
⤵⤵⤵⤵⤵
-Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa ni katika sababu za mtu kupata Bawasiri kwasababau sehemu ya haja kubwa ni sehemu maalumu kwaajili ya haja kubwa hivyo Kuingiliwa sehemu hiyo hupelekea mgandamizo na kupasuka kwa mishipa ya damu kwasababu ya ufinyu wa eneo hilo hivyo hupelekea kupata Bawasiri.

Huu ni mchezo mchafu sana na wengi ambao huufanya mchezo huu hufikia hatua ya kupata Kansa ya utumbo (Colorectal cancer) hivyo watu wajiepushe kabsa na huu Ushetani kwani ni hatari kwa afya yako na ni Madhambi Makubwa kwa Muumba.

kwa msaada zaidi piga simu namba 0625266524

KWANINI KUJISAIDIA CHOO KIGUMU NI KATIKA SABABU ZA MTU KUPATA BAWASIRI??⤵⤵⤵⤵⤵-Kujisaidia choo Kigumu/Constipation ni kat...
22/02/2022

KWANINI KUJISAIDIA CHOO KIGUMU NI KATIKA SABABU ZA MTU KUPATA BAWASIRI??

⤵⤵⤵⤵⤵
-Kujisaidia choo Kigumu/Constipation ni katika sababu za kupata Bawasiri kwasababau mtu hutumia nguvu nyingi wakat wa kujisaidia hivyo hupelekea mgandamizo wa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa/puru hali hii hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa ya damu na kusababisha Bawasiri

Miongoni mwa sababu za mtu kujisaidia choo Kigumu ni:⤵⤵⤵⤵⤵

▶️ Ulaji duni -Kutohusisha vyakula vyenye nyuzi nyuzi(fibres) katika mlo k**a vile Mboga za majani na matunda pia kutokunywa maji ya kutosha.Pia kula vyakula vilivyokobolewa k**a Sembe na Wali bila kuhusisha vyakula vya kusaidia mmeng’enyo wa chakula ni katika sababu ya kupata choo Kigumu.

▶️ Vidonda vya TUMBO
-Vidonda vya tumbo husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu vidonda huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu.

▶️ Ngiri/Hernia
–Ngiri/Hernia husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu Ngiri huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu hivyo husababisha Bawasiri.

kwa msaada zaidi piga simu namba
0625266524

KWA NINI UJAUZITO HUWEZA KUPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI?⤵⤵⤵⤵⤵⤵Wajawazito kupata Bawasiri Kutokana na sababu zifuatazo:1⃣ ...
22/02/2022

KWA NINI UJAUZITO HUWEZA KUPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI?
⤵⤵⤵⤵⤵⤵

Wajawazito kupata Bawasiri Kutokana na sababu zifuatazo:

1⃣ UZITO KUZIDI & MGANDAMIZO
-Mwanamke mjamzito huongezeka uzito na Mgandamizo sehemu ya hajakubwa kwasababu ya uzito wa Mtoto na ukuaji wa mwili na Kizazi(Uterus) hali hii hupelekea mgandamizo sehemu ya haja kubwa na Puru na KUSABABISHA mishipa ya damu midogo midogo (Veins)sehemu ya haja kubwa huvimba /kupasuka na kupelekea kuota kwa vinyama/kinyama,kutoa damu ,maumivu makali na miwasho ambavyo ni viashiria vya Bawasiri.

2️⃣ KULA UDONGO
-Baadhi ya wajawazito hula sana Udongo, ukaji wa udongo hupelekea Mjamzito kupata choo Kigumu (Constipation).Choo Kigumu husababisha mgandamizo sehemu ya haja kubwa na kupelekea mishipa ya damu eneo la haja kubwa/puru kupasuka/kuvimba na kupelekea mtu kupata Bawasiri.

3️⃣ Kutokunywa maji Mengi
-Baadhi ya wajawazito hushindwa kabsa kunywa maji ingawa wakat huo maji huhitajika kwa wingi mawilin hali hii hupelekea kujisaidia choo Kigumu/Constipation na kupelekea mgandamizo kwenye mishipa ya damu eneo la haja kubwa na KUSABABISHA kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu eneo la haja kubwa na kupelekea kutokea kwa bawasiri (piles

Kwa msaada zaidi piga simu namba 0625266524

KWANINI POMBE NI KATIKA VISABABISHI VYA BAWASIRI/MGORO(Hemorrhoids)Pombe husababisha Bawasiri kwa namba kubwa mbili k**a...
21/02/2022

KWANINI POMBE NI KATIKA VISABABISHI VYA BAWASIRI/MGORO(Hemorrhoids)

Pombe husababisha Bawasiri kwa namba kubwa mbili k**a ifuatavyo⤵⤵

1⃣ Pombe husababisha UPUNGUFU wa maji mwilini.
-Pombe ina Kemikali Lupolin ambayo huathiri mfumo wa Hormone katika Ubongo,huathiri homoni inayodhibiti upotevu wa maji mwilini ( Anti-diuretic Hormone) hivyo kusababisha mwili kupoteza maji mengi (Diuretic) na kusababisha Mnywaji kujisaidia choo Kigumu na choo Kigumu hupelekea mgandamizo sehemu ya haja kubwa/puru na kusababisha mishipa ya damu (Veins) eneo hilo kupasuka/kuvimba na kusababisha Bawasiri.

2️⃣ Pombe Husababisha Presha ya damu.
-Pombe husababisha mwili kuzalisha hormone iitwayo Endothilin 1 ambayo huingia kwenye damu na kusababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu ( Vasoconstriction of blood vessels).Kusinyaa kwa mishipa ya damu hupelekea presha kupanda na baadae husababisha mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa kupata stress/straining na kupelekea kuvimba/kupasuka kwasababu ipo eneo LA haja kubwa ambalo huwa na Mgandamizo mtu anapokaa ama kujisaidia nk hivyo hali hii hupelekea mtu kupata Bawasiri ambayo huambatana na Miwasho mikali,maumivu makali,kutoa damu na kuota kinyama eneo la haja kubwa/puru

—Hivyo ndivyo pombe husababisha Bawasiri kwahyo k**a una Bawasiri halafu unakunywa pombe kupona ni ngumu sana unaweza kutumia dawa za kila aina bila mafanikio.

karibu tukusaidie kutatua changamoto yako ya bawasiri bila upasuaji.
kwa msaada zaidi piga simu namba 0625266524

kuna sababu nyingi ambazo uwa zinasababisha magonjwa kwenye  maisha yetu na sababu izo uwa tunazichukulia poa.
21/02/2022

kuna sababu nyingi ambazo uwa zinasababisha magonjwa kwenye maisha yetu na sababu izo uwa tunazichukulia poa.

kwa nini uteseke? kwa nini ukose raha ? k**a unasumbuliwa na changamoto yoyote ya kiafya tupigie tukusaidie.piga simu na...
28/12/2021

kwa nini uteseke? kwa nini ukose raha ? k**a unasumbuliwa na changamoto yoyote ya kiafya tupigie tukusaidie.
piga simu namba 0625266524

27/12/2021

bawasiri inatibika bila upasuaji. k**a una changamoto hii ya bawasiri karibu nikusaidie kutatua changamoto yako.
nipigie kwa simu namba
0625266524.

25/12/2021

bawasiri inatibika bila upasuaji, k**a unasumbuliwa na changamoto hii nipigie nikusaidie kukutatulia changamoto yako.

piga simu namba
0625266524

Address

Dar Es Salaam
128

Telephone

+255625266524

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tony store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tony store:

Share