
08/08/2025
🌾 Happy Nane Nane – Farmer’s Day! 🌾
Leo tunasherehekea kazi ngumu ya wakulima wetu na mchango wao mkubwa katika uchumi wa taifa letu.
Tunajivunia kuwasherehekea kwa kujitolea na juhudi zao!
Tunaunga mkono maendeleo ya kilimo na tupo hapa kusaidia kuboresha maisha kupitia huduma na bidhaa bora.
Tunaendelea kushirikiana na wajasiriamali, watendaji na wafanyabiashara mbalimbali kwa kutengeneza matokeo bora! 💡