ERICK PETER OG

ERICK PETER OG CEO. ERICK OMONDI TZ
FOLLOW ME BACK. ONE
LOVE MY FAMILY🥰💥✊
BILA KUCHOKA WANANGU
WHATSAPP+255749796308

  Able man
24/04/2025

Able man

23/04/2025

23/04/2025


Celebrating my 2nd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
16/04/2025

Celebrating my 2nd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Watoto wawili waliotekwa majuzi wamepatikana Nyegezi Kona(Mbele kidogo kabla haujafika weekend Car wash) wakiwa nyumbani...
09/02/2025

Watoto wawili waliotekwa majuzi wamepatikana Nyegezi Kona(Mbele kidogo kabla haujafika weekend Car wash) wakiwa nyumbani kwa watekaji,polisi wamefanikiwa kuwaokoa watoto wote wawili.

Wanafunzi hao ni Magreth Juma (8) wa darasa la tatu na Fortunata Mwakalebela (5) wa darasa la pili katika Shule ya Blessing Modern, iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela mkoani Mwanza waliotekwa Februari 5,2025.

Tukio la kutekwa watoto hao lilitokea saa 12:30 asubuhi eneo la Capri Point, jijini Mwanza wakiwa kwenye basi lililokuwa linawapeleka shuleni.

Akizungumza leo Jumamosi Februari 8, 2025 akiwa eneo walikopatikana watoto hao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema taarifa za kikachero zilifanikisha kubaini kuwa watekaji wamewaficha watoto ndani ya nyumba namba nane iliyopo Mtaa wa Nyaburogoya, Kata ya Nyegezi jijini Mwanza.

Kamanda Mutafungwa amesema baada ya kuonekana wakitishia usalama wa maofisa wa polisi waliofichua maficho yao kutokana na watuhumiwa hao (wawili) kuwa na silaha, yakiwamo mapanga na nondo, polisi waliwarushia risasi zilizowajeruhi na kusababisha vifo vyao.

“Walipoona wamebainika wakataka kupambana na askari wetu, kwa sababu askari wamefunzwa namna ya kulinda usalama wao na wananchi wengine walilazimika kutumia risasi za moto na watu wawili ambao walikuwa na silaha hizo walijeruhiwa kwa risasi kisha kufariki dunia,” amesema.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
09/02/2025

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

TSHEKEDI NCHI INAELEKEA KUMSHINDA Wakati Dunia inasimama pamoja kwa ajili ya kuleta amani Congo, Rais Tshekedi anaonekan...
09/02/2025

TSHEKEDI NCHI INAELEKEA KUMSHINDA

Wakati Dunia inasimama pamoja kwa ajili ya kuleta amani Congo, Rais Tshekedi anaonekana hayupo seriously kuleta diplomasia sahihi katika ardhi yake

Jeshi la Serikali ya Congo inaonekana dhaifu dhidi ya Waasi wa M23 kwani Jeshi lina Silaha butu za kuwindia Sungura na Karungu-yeye ukilinganisha na jeshi la M23 wenye vifaa na bunduki za kisasa

Jeshi la Serikali linaonekana kuelekea kushindwa katika mapambano na M23 lakini athari zinawaungikia watu wa kawaida ikiwemo watoto, wazee na wanawake.

Ilikuwa ni muda sasa wa Rais wa DRC kushiriki mkutano huu wa wakuu wa nchi na serikali wa Jumaiya za EAC na SADC kwa Sababu alionekana kuituhumu Rwanda kila siku juu Ya kuwaunga M23. Inasitikisha Yeye Tshekedi kupuuzia mkutano huu wa kutafuta amani kati nchi yake

Hivi kweli anaitakia amani nchi yake ? Ameamua kumutuma muwakilishi wake ambae ni waziri mkuu wa DRC Dr. SUMINWA TULUKA. Raisi Kagame ni muungwana na mtiifu kwani tayari kawasili Dar es Salaam kwa ajili ya suruhu la kutafuta amani DRC

Itoshe kusema Rwanda wanasingiziwa kwa kiasi kikubwa juu ya Vurugu za Congo. Huyu Rais matatizo anayatengeneza mwenyew halafu anaogopa kuyasolvye. Wacha M23 waendelee kuchanja mbuga sasa

Je ni sifa zipi unazifahamu juu ya wadada wa ain𝐚͢ 𝐡͢𝐢͢𝐢͢
08/02/2025

Je ni sifa zipi unazifahamu juu ya wadada wa ain𝐚͢ 𝐡͢𝐢͢𝐢͢

PLEASE WANA SIMBA MSIWE NA BAYA NA MIMI NIPO PAMOJA NA NYIE
08/02/2025

PLEASE WANA SIMBA MSIWE NA BAYA NA MIMI NIPO PAMOJA NA NYIE

04/02/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Israel Mawanda, Dede OG Desire, Floribert Irutavyose, Jonas James, Shantelo G. Yasini, Dative Irambona

Address

Mbezi
Dar Es Salaam
MWANZA

Telephone

+25762037320

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ERICK PETER OG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share