STORY TAMU ZA Mapenzi

STORY TAMU ZA Mapenzi Tunakupa STORY TAMU ZA Mapenzi , Maisha, Mikasa, Vichekesho Nk
(1)

CHOZI LA MAMAKILA mmoja alimpa jina alijualo yeye. Wengine wakimuita kichaa mgeni, wengine chizi freshi na mengineyo men...
27/10/2025

CHOZI LA MAMA
KILA mmoja alimpa jina alijualo yeye. Wengine wakimuita kichaa mgeni, wengine chizi freshi na mengineyo mengi kulingana na wakati. Hakuna aliyejua wapi anatoka, lakini alikuwa katika kundi la vichaa pale mjini. Aliokota makopo na kuzurura nayo, alikula majalalani akigombea chakula na mbwa koko, Mungu alimwepusha na magonjwa na kumfanya acheke peke yake kila mara. Alipokasirika aliponda watu mawe, lakini licha ya hasira hizo baada ya miezi kadhaa akagundulika kuwa ni mjamzito.

Ikawa skendo mjini kumfahamu ni nani muhusika wa dhambi ile kwa mtu asiyekuwa na akili timamu. Hakupatikana!! Maisha yakendelea. Ilingojewa miezi tisa ifike aweze kujifungua ili atafutwe mchawi nani. Lakini hata miezi tisa haikufika ile mimba ikatoka, huku dhahiri shahiri yule kichaa akionekana kupitia maumivu makali. Wananchi wakanong’ona kimya kimya kuwa aliyemjaza mimba, amemvizia na kumlisha madawa makali hatimaye ile mimba imetoka.

Hadithi hii haijafika mwisho k**a unaitaji kupta muendelezo wa hadithi hii bonyeza picha hii👇👇

Ni siri gani zilizo nyuma ya Chozi la mama? Gundua hadithi ya kuvutia ya mapambano na kuishi katika mazingira yenye changamoto.

04/10/2025

Venance J Gwimo

I got 431 reactions and 26 replies on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have don...
02/10/2025

I got 431 reactions and 26 replies on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

‎BABU MKUNAJI
‎FULL STORY

‎Mambo zenu, natumai mu wazima wote. Binafsi niko poa, ingawa hapa nilipo kuna joto la kufa mtu.

‎Leo nimeamua kuwahadithia kidogo kuhusu kipindi nikiwa binti mdogo, stori ambayo nimekaa nayo kwa muda wa miaka mitano. Kwa jina naitwa Janeth na nina miaka 20. Miaka mitano iliyopita, kulikuja babu kuishi nyumbani kwa kina Mwajuma. Huyu mzee ni babu yake Mwajuma upande wa mama. Alikuja kuishi nao hapo kwa sababu umri ulikuwa umeshaenda, hivyo familia hiyo ikaona njia rahisi ya kumsaidia ni kuishi naye hapo hapo nyumbani kwao.

‎Nyumbani kwetu hakuna televisheni, kwa hiyo huwa nakwenda nyumbani kwa kina Mwajuma kuangalia vipindi ninavyovipenda. Siku moja nikiwa nimekaa karibu kabisa na babu huyo aitwaye Mzee Daniel, nikiangalia kipindi cha Isidingo, nilihisi mkono ukiyagusa mapaja yangu mazuri. Sijisifii, lakini mimi ni mrembo. Nadhani kwa uzuri huo ndiyo maana Mzee Daniel "alinikufa akaoza kabisa" kwangu. Shuleni, wanafunzi wenzangu na walimu walikuwa hawachoki kunitongoza; kwa siku nilikuwa natongozwa na wanaume wasiopungua 20. Nilikuwa na mwili mkubwa uliyojaa vyema, nina tako la haja, ziwa la nguvu, na miguu ya bia. Ingawa nilikuwa binti wa miaka 15, ilikuwa ni vigumu kuamini umri wangu kutokana na mwili niliokuwa nao.

‎Mikono ya Mzee Daniel ilipoyagusa mapaja yangu, nilipatwa na msisimko ambao sikuwa nimeuwahi kuuhisi katika maisha yangu. Hii ilikuwa mara yangu ya kwanza mapaja yangu kupapaswa na mwanaume tangu nipate akili zangu. Nilikuwa nimevaa kimini, hivyo mapaja yangu yalikuwa yanaonekana wazi. Mzee Daniel aliendelea kuyachezea mapaja yangu, lakini hakuna mtu aliyekuwa akiona kilichokuwa kikiendelea kati yangu na Mzee Daniel. Raha niliyoisikia ilinifanya nisiweze kumzuia Mzee Daniel; ....................

HII SEHEMU SIMULIZI HAIJAFIKA MWISHO K**A UNAITAJI MWENDELEZO WA SEHEMU HII TUTAFUTE:-

whatsapp tukuunge kwenye channel ya FULL STORY Bonyeza link hii👉👇
wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1 TUKUUNGE KWENYE CHANNEL YETU

Jiunge na channel yetu ya bure kwa kubonyeza link hii 👉 whatsapp.com/channel/0029VbB2NaAA2pLGdeJDzo29

Tufollow kwenye page yetu ya clubzila kwa kubonyeza link hii 👉 clubzila.com/STORY?ref=11084 upate simulizi kali

USIKU USIO NA JINA                        FULL STORYNdege wa angani pekee ndio walikuwa wakitoa uhai kwa anga lililotand...
27/09/2025

USIKU USIO NA JINA
FULL STORY
Ndege wa angani pekee ndio walikuwa wakitoa uhai kwa anga lililotanda kwa giza nene, huku nyota zikishindwa kabisa kuleta nuru. Anga lilipoanza kutoa miale mikali inayong’ara, ndege walikumbuka viota vyao. Makundi kwa makundi, walitoweka, na anga likabaki katika hali ya upweke, miale mikali pekee ikiwa ndio uhai mdogo uliosalia.

Miale hiyo haikuishia kutoa uhai angani pekee, bali ilivijaza pia katika chumba kimoja ambamo mwanamke alikuwa amekaa. Alikuwa amevaa nguo za kulalia, na macho yake yalionekana makavu. Taa ilikuwa imezimwa, hivyo mwanga ule wa miale ukaibua uhusiano wa siri kati ya macho na ukimya wa usiku.
Ilikuwa yapata saa tisa usiku. Yule bwana aliyemuoa kwa mbwembwe zote na mapenzi miaka miwili iliyopita alikuwa bado hajarejea nyumbani.

Ni kweli alikuwa ameanza tabia za kuchelewa, lakini siku hii alipitiliza mipaka.
Felista (tunamjua jina sasa) alikunja uso wake kwa uchungu mkuu, akajiziba uso kwa viganja vya mikono yake. Alitambua kuwa alikuwa amebanwa na donge la hasira kooni, ambalo hangeweza kulihimili bila kulia. Hapo akaamua kutimua mbio kuelekea chumbani kwake.

Alifika na kusimama, machozi yakimtoka mfululizo. Aliliendea kabati la nguo ili achukue kitambaa cha kujifuta.
Mara ‘paah!’ Kitu kikaanguka, kikitoa mlio mfano wa sarafu. Aliinama haraka kutazama ni kitu gani. Hofu ikazidi kumtanda.

Ilikuwa pete ya ndoa, pete ambayo kwa mikono yake alimvisha mume wake siku ya harusi. Pete hiyo ilikuwa imetolewa kidoleni na kufichwa kabatini. Hapa uvumilivu ulimshinda Felista. Alikimbilia kitandani, akajirusha, na kuanza kugalagala huku akilia kilio cha uchungu mkubwa. Alijitahidi sana kuizuia sauti isipenye chumba kilichofuata, kwani hakutaka mtu aliyekuwa humo atambue kuwa alikuwa akilia.

Kilio hiki kilikuwa na mengi ndani yake. Alijiuliza iwapo huo ndio ulikuwa uhitimisho wa safari ya ndoa yake, au k**a hiyo ndiyo ilikuwa talaka aliyokuwa ameandaliwa kwa vitendo. K**a sivyo, kwanini pete imetolewa na kufichwa? Kwanini anachelewa kurejea nyumbani? Alijiuliza maswali haya bila kupata majibu.

Mawazo mengi aliyokuwa nayo yalimfanya asisikie mchakato wowote wa mtu akitembea koridoni kisha kukifika chumba na kugonga mlango. Mlango ulipogongwa kwa mara ya pili ndipo akili zikamkaa sawa. Akajifuta machozi kwa shuka, kisha akaenda kufungua bila kuuliza aliyekuwa mlangoni.

Alitambua kuwa lazima atakuwa mumewe, na hakika ilikuwa hivyo. Felista alimtazama mumewe kidoleni akidhani atakutana na pete, na kujitoa mawazo kuwa huenda aliifananisha tu ile iliyoanguka.
Kapa! Hakuona kitu.
“We Felista…..” mumewe aliita, huku harufu kali ya pombe ikitambaa chumbani..........

📚 HII SIMULIZI HAIJAFIKA MWISHO

K**a Unataka muendelezo, Chagua njia ya kupata muendelezo👇

1️⃣ KUJIUNGA NA CHANNEL YA WHATSAPP

Wiki – Tsh 1,500
💳 Lipa 👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5cqt80rnj30f86yef3ha4fm

Mwezi – Tsh 3,500
💳 Lipa 👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5crhh1d3rq2ndppfdns5abd

📩 Baada ya malipo tuma Screenshot WhatsApp:
👉 wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1
(Utaunganishwa moja kwa moja kwenye channel)

2️⃣ KUPATA FULL STORY

Story 1 Kamili – Tsh 1,000
💳 Lipa 👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5nyry49y4vygfzthxjwzn9f

📩 Baada ya malipo tuma Screenshot WhatsApp:
👉 wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1
(Simulizi kamili litakufikia moja kwa moja WhatsApp)

🙏 Asante kwa kuchagua huduma zetu – Tafadhali wasiliana nasi ukiwa huko tayari kulipia.

MTIKISIKO WA HIRIZISEHEMU YA  5“Huyo mtu kasemaje?” Panga Sakanyoka alimdaka.“Kwamba Mzee Songoro anaishi na mkewe na mw...
27/09/2025

MTIKISIKO WA HIRIZI

SEHEMU YA 5

“Huyo mtu kasemaje?” Panga Sakanyoka alimdaka.

“Kwamba Mzee Songoro anaishi na mkewe na mwanae mmoja tu, ambaye amekuja majuzi kutoka Dar. Anadai kuwa yeye anaishi nyumba ya tatu kutoka kwa Mzee Songoro, na huwa anamwona Shaka kila asubuhi akinawa uso nje ya nyumba hiyo.”

Banda na Panga Sakanyoka walitazamana kisha Banda akasema, “Naona twende. Matokeo yote tutayapata hukohuko. K**a yupo au hata hakulala hapo tutajulia hukohuko.”

Maandalizi yakafanyika chapchap. Askari wengine kumi wenye silaha wakawekwa tayari. Muda mfupi baadaye Land Rover ilikuwa barabarani ikielekea Mtaa wa Mabatini.

Walipoikaribia nyumba hiyo waliteremka na kuanza kupangiana majukumu.

Hawakutaka kuivamia nyumba hiyo mapema kiasi hicho. Ilikuwa ndiyo kwanza inatimu saa 12.20. Bado kijigiza kilitawala anga. Hivyo Panga Sakanyoka aliwapanga wale askari, akawapa majukumu ya kuizingira ile nyumba na kuhakikisha kuwa hakuna mtu atakayetoka.

“Lakini msifanye chochote,” Panga Sakanyoka aliwaambia askari hao. “Kuweni makini, mkihakikisha hatoki mtu humo ndani, na wala isije ikatokea kuwa jamaa yumo ndani na akagundua kuwa tumemzingira! Na kuweni makini kwa huenda ana silaha. K**a ana silaha, akigundua kuwa amezingirwa hataacha kuitumia. ”

ILIKUWA ni kawaida kwa Mzee Songoro kuzinduka usingizini saa 11 alfajiri. Na alfajiri hii, k**a alfajiri nyingine zilizopita pia alizinduka saa 11 lakini hakutoka kitandani. Alibaki amekodoa macho huku akihisi hirizi iliyokuwa kiunoni mwake ikicheza.

Kucheza kwa hirizi hiyo, kwake ilikuwa ni ishara kuwa kuna tukio kubwa mbele yake. Na wazo lililomjia kichwani ni kumhusu mwanawe, Shaka. Tangu Shaka arejee kutoka Dar, amekuwa mtu wa kutoka mara kwa mara, na majuzi aligundua kuwa alikuwa na pesa nyingi....

Hapa kuna toleo lililofupishwa likiwa na link zote zikiwa wazi na zinazoonekana vizuri ili wateja waweze kubofya moja kwa moja:

📚 HII SEHEMU YA 5 HAIJAFIKA MWISHO

K**a Unataka muendelezo!, Chagua njia moja wapo hapo chini kupata muendelezo👇

1️⃣ KUJIUNGA NA CHANNEL YA WHATSAPP

Wiki – Tsh 1,500
💳 Lipa Hapa👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5cqt80rnj30f86yef3ha4fm

Mwezi – Tsh 3,500
💳 Lipa Hapa👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5crhh1d3rq2ndppfdns5abd

📩 Baada ya malipo tuma Screenshot WhatsApp:
👉 wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1
(Utaunganishwa moja kwa moja kwenye channel)

2️⃣ KUPATA FULL STORY

Story Ndefu (zaidi ya sehemu 5) – Tsh 5,000
💳 Lipa Hapa👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5crtykcegbzp53e256hgc9f

Story Fupi (sehemu 5 Tu) – Tsh 3,000
💳 Lipa Hapa👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5cs1qfyyb4x6mxb43k7zhf8

Story 1 Kamili – Tsh 1,000
💳 Lipa Hapa👇
checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5nyry49y4vygfzthxjwzn9f

📩 Baada ya malipo tuma Screenshot WhatsApp:
👉 wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1
(Simulizi kamili litakufikia moja kwa moja WhatsApp)

🙏 Asante kwa kuchagua huduma zetu – Tafadhali wasiliana nasi ukiwa huko tayari kulipia.

26/09/2025

Wadada kuna ujumbe wenu

KWA WATEJA WALIO NA UITAJI WA HUDUMA ZETU: ✨ **KARIBU TUKUHUDUMIE** ✨  Chagua huduma unayoitaka 👇  1️⃣ **KUJIUNGA NA CHA...
21/09/2025

KWA WATEJA WALIO NA UITAJI WA HUDUMA ZETU: ✨ **KARIBU TUKUHUDUMIE** ✨
Chagua huduma unayoitaka 👇

1️⃣ **KUJIUNGA NA CHANNEL YA SIMULIZI (WhatsApp)**

• WIKI= **1500** 👉 [🌐 LIPIA HAPA](checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5cqt80rnj30f86yef3ha4fm)

• MWEZI= **3500** 👉 [🌐 LIPIA HAPA](checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5crhh1d3rq2ndppfdns5abd)

2️⃣ **KUPATA FULL STORY**

• STORY NDEFU (inakuwa na sehemu zaidi ya 5 )= **5000** 👉 [🌐 LIPIA HAPA](checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5crtykcegbzp53e256hgc9f)

• STORY FUPI (inakuwa na sehemu 5 tu)= **3000** 👉 [🌐 LIPIA HAPA](checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5cs1qfyyb4x6mxb43k7zhf8)

• STORY 1 KAMILI **1000** 👉 [🌐 LIPIA HAPA](checkout.flutterwave.com/v3/hosted/pay/flwlnk-01k5nyry49y4vygfzthxjwzn9f)

📩 Baada ya malipo, **TUMA SCREENSHOT** hapa 👉 [WhatsApp] (wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1)
Tutakuunganisha au kukutumia simulizi zako mara moja.

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!
21/09/2025

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!

MTIKISIKO WA HIRIZISEHEMU YA 4HAUKUMCHUKUA muda mrefu kachero Kisu kupata picha halisi ya kile alichokifuata katika Baa ...
17/09/2025

MTIKISIKO WA HIRIZI

SEHEMU YA 4

HAUKUMCHUKUA muda mrefu kachero Kisu kupata picha halisi ya kile alichokifuata katika Baa ya Bigabiro. Aliwahoji wahudumu wawili tu wa k**e na wakampa majibu ya kuridhisha.

“Jamaa yule anajisikia sana, na hana tabia za kistaarabu,” yalikuwa ni maneno ya mhudumu wa kwanza.

Mwingine alisema, “Yule bwana haeleweki-eleweki. Ni ka’ jambazi vile! Mambo yake!”

Maneno hayo pamoja na yale aliyoambiwa na yule kijana juzi, yalitosha kumfanya ayaamini macho yake na kuziamini hisia zake. Isitoshe, alikwishaiona picha iliyotumwa kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Sura ya mtu huyu haikutofautiana na ile picha. Hivyo hakutaka kupoteza muda. Alimfuata hukohuko msalani.

Vyoo vya baa hiyo vilikuwa katika sehemu ambayo wateja wengine wasingeweza kujua kinachoendelea endapo watu wangeamua kukutana huko na kuzungumza au kufanya chochote.

Alipofika huko alisimama mlangoni, akaichomoa bastola na kuishika katika mkono wa kulia.

MLANGO ulipofunguka Shaka alishtuka. Mbele yake alimwona Kisu akiwa amesimama kikak**avu huku akimwelekezea bastola! Hiyo tu ilitosha kumthibitishia kuwa askari mjini humo wameshatambua kuwa yupo. Kwa hali hiyo hakutaka kuchezea shilingi chooni.

Alimrushia kachero Kisu teke la kushtukiza, teke zito lililoipeperusha bastola umbali wa hatua takriban kumi nyuma yake. Na hakumpa muda wa kujiandaa kuyakabili mashambulizi, kwa kasi ya ajabu alimvurumishia makonde matatu mfululizo yaliyoivuruga kabisa programu yake, yakamsomba mzima-mzima na kumbamiza ukutani kabla ya kuanguka sakafuni ti!

Sasa Shaka hakutaka kuchelewa katika eneo hilo. Aliiwahi ile bastola na kuichukua kisha akatoka. Wakati akiondoka hakujua kuwa askari wengine wawili walikuwa nje na walipomwona akitoka walimfuata kwa hadhari huku wakijiuliza ni vipi kachero Kisu awe ‘amemwachia huru mtu wao.’

Shaka alitembea taratibu, moyoni mwake akijisikia raha kwa kupata chombo kilichokuwa na umuhimu mkubwa kwake kwa kipindi hicho.

Bastola!

NGUVU zilimrudia kachero Kisu muda mfupi tu baada ya kunyweshwa ‘mvua’ ya makonde na Shaka. Akajizoazoa pale sakafuni akidhamiria kuendelea kumwandama Shaka.

Sasa alichanganyikiwa kwa kiasi kikubwa. Kuzidiwa ubavu na Shaka na hata kufanikiwa kuchomoka huku pia akiwa ametwaa bastola, ilikuwa ni aibu kwake na kwa jeshi zima la Polisi.

Kupokonywa bastola!

Atamweleza nini mkuu wake wa kazi? Chochote atakachomweleza kitaeleweka na kukubalika kichwani mwa bosi wake? Kwamba hana cha kumweleza mkuu wake wa kazi, na wala chochote atakachosema hakitaeleweka wala kukubalika ni imani iliyojengeka kichwani mwake wakati huo.

Hata hivyo aliondoka, akielekea nje ya baa hiyo bila ya kujua matokeo ya operesheni aliyoendelea nayo. Hakuwajali wateja wachache waliomtazama kwa mshangao, alijali kuitekeleza kazi iliyompeleka hapo.

Huko nje aliwafuata askari wenzie na wakamwonyesha njia aliyopita Shaka. Wawili kati yao walikuwa na bastola. Kisu akatwaa bastola moja na kutangulia, akifuata njia aliyoelekezwa na hao wenzake. Nao wakamfuata.

Muda mfupi baadaye walifanikiwa kumwona Shaka akitembea kwa hatua ndefu katika mtaa wa Legeza Mwendo. Hakuwa mbali sana, ni kiasi cha k**a hatua hamsini hivi mbele yao.

Papohapo Kisu akapaza sauti: “Shaka! Shaka! Simama! Jisalimishe!”

Shaka alishtuka, akageuka nyuma. Akahisi hatari ikizidi kumjia. Hakuwa tayari kuitii amri ya Kisu. Akaendelea kwenda mbele, safari hii akikaza mwendo zaidi.

Risasi ikafyatuka katika bastola ya Kisu.

Patupu!

Risasi ya pili!

Patupu!

Alifyatua risasi ya kwanza kwa kudhamiria kumtegua Shaka mguu. Risasi ya pili alitaka itue mgongoni, na zote zilimkosa!

Hata hivyo hakumwacha, alifyatua risasi ya tatu lakini nayo, k**a zile mbili za awali iliishia kuchana anga. Akashangaa! Hakuwa na kumbukumbu ya kukosa shabaha tangu alipotoka mafunzoni kiasi cha miaka mitano iliyopita.

Hii ilikuwa ni mara ya kwanza!

Akasimama na kuwatazama wenzake huku jasho likimtoka usoni. Akahema kwa nguvu akionyesha dhahiri kukumbwa na mshangao kwa hali iliyojiri. Akataka kutamka neno lakini hakuipata sauti yake.

Wakati akiwa katika hali hiyo, alikuwa akitumbua macho ilhali haoni. Ndiyo, ni k**a pia hakumwona Shaka akisimama na kugeuka kisha akafyatua risasi moja tu kwa shabaha kali! Hakumwona, lakini alihisi kitu cha baridi kikipenya kifuani kwa namna ya kipekee na kisha ubaridi huo kutoweka ghafla na nafasi yake kutwaliwa na joto kali lililoambatana na maumivu makali!

Maumivu hayo yalizinyong’onyesha nguvu maungoni mwake kwa kasi ya kutisha. Punde kiza kikaanza kutanda machoni pake.

Hakuvuta pumzi zaidi ya nusu dakika!.......

HII SEHEMU YA NNE(4) HAIJAFIKA MWISHO
Iwapo ungependa kupata muendelezo wa simulizi hii, tafadhali jiunge nasi kupitia njia zifuatazo:

1️⃣ TUMA SMS WHATSAPP TUKUPE MWENDELEZO
👉 wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1

2️⃣ JIUNGE NA WHATSAPP CHANNEL YA BURE
👉whatsapp.com/channel/0029VbB2NaAA2pLGdeJDzo29

3️⃣ TEMBELEA PAGE YETU YA "CLUBZILA" UPATE MWENDELEZO
👉 clubzila.com/STORY?ref=11084

MTIKISIKO WA HIRIZISEHEMU YA 3“N’na maana kuwa Shaka hakutoroka. Aliruhusiwa kuondoka!”“Aliruhusiwa? Aliruhusiwa na nani...
15/09/2025

MTIKISIKO WA HIRIZI

SEHEMU YA 3

“N’na maana kuwa Shaka hakutoroka. Aliruhusiwa kuondoka!”

“Aliruhusiwa? Aliruhusiwa na nani?”

“Hilo ni jambo lingine. Lakini mimi binafsi hainiingii akilini kuwa Shaka alitoroka. Atatoroka vipi chini ya ulinzi, akiwa ni mtu mwenye rekodi mbaya sana anayepaswa kuchungwa k**a mtu yeyote anavyoichunga mboni ya jicho lake?”

Inspekta Banda aliguna.

“Unasikia afande,” Kessy aliendelea. “Shaka alihukumiwa jela akiwa ni mtu hatari, jambazi sugu ambaye vyombo vyote vya dola vinamtambua. Pale Keko wanamjua vizuri Shaka. Walimpokea wakiwa wanamjua vizuri. Kwa vyovyote, walipaswa kumchunga vilivyo.”

“Lakini nadhani hujaisahau ripoti ya kutoweka kwake pale gerezani,” Banda alisema. “Shaka aliondoka katika mazingira ya kutatanisha…”

“Kutatanisha vipi afande wakati inasemekana kuwa yule askari aliyekuwa na kundi la wafungwa alibaki ameduwaa tu wakati Shaka akiondoka taratibu?” Kessy alikuwa king’ang’anizi.

“Kwa hiyo unataka kusema kwamba kulikuwa na njama za kumtorosha?”

“Ndivyo picha inavyojionyesha.”

“Ok, lakini hilo silo jambo linalotuhusu kwa sasa,” Banda alisema. “Twende kwanza Magomeni. Ni huko tutakapopata la kufanya.”

Walipofika Magomeni na kuwahoji Mado na Temba wakapata picha ya matumaini. Wakatoka.

“Anaweza kuwa yeye?” Kessy alimuuliza Banda wakati akiondoka hapo kituoni.

“Ndiye,” sauti ya Inspekta Banda ilikuwa kavu. “Niliepuka kusema hivyo mbele ya wale vijana ili kuepusha usumbufu ambao wangetupa. Kwa vyovyote wangetaka kujua watazipataje milioni zao kumi.”

Kicheko kikamtoka Kessy. Akauliza, “ Wana ndoto za milioni kumi kabla hata mtuhumiwa hajapatikana?”

Inspekta Banda hakujibu.

SHAKA alitambua fika kuwa alipaswa kuwa makini dhidi ya askari, hivyo alipoingia ndani ya treni, alikwenda moja kwa moja kwenye behewa la vinywaji na vyakula. Huko aliketi na kuagiza chupa ya maji lita moja. Akatulia kitini akinywa taratibu.

Hadi treni ilipofika kituo cha Saranda hali ilikuwa shwari. Kituoni hapo akashuka na kuagiza kuku na viazi mbatata kisha akarudi behewani. Akiwa na miwani yake mieusi usoni, miwani ambayo hakuwa tayari kuitoa bila ya sababu muhimu, huku kofia ikiwa imeganda kichwani pake, Shaka alianza kukifakamia chakula hicho kwa pupa na baada ya dakika chache tu zoezi hilo likawa limehitimishwa.

Akaingiza mkono mfukoni na kutoa noti zilizokuwamo. Alipozihesabu, akafarijika. Zilikuwa ni pesa za kumtosha kiasi. Kwa kiwango hicho hakuiona sababu ya kumfanya ashindwe kunywa bia mbili, tatu katika kuiliwaza akili yake k**a alivyoamini. Saa moja baadaye koo likawa limeshateremsha bia mbili. Akaongeza ya tatu.

Hadi treni ilipokuwa inaingia Tabora, bia tano zilikuwa zimeshatua tumboni mwake na kuichangamsha akili yake. Naam, kwa kiasi fulani alijihisi kuwa timamu kisaikolojia huku pia akijali kuwa makini katika maongezi na mtu yeyote.

Kwa jumla hakutaka kuzoeana na yeyote kwa kiwango kikubwa, na hilo alilifanya kwa kuwa hakumwamini yeyote kwa kipindi hicho.

Aliendelea kukaa humo katika behewa la vinywaji na maakuli hadi saa 7 usiku. Na wakati huduma ilipositishwa na wateja kutakiwa kuondoka, yeye alimwita mmoja wa wahudumu wa behewa hilo na kunong’ona naye pembeni. Muda mfupi baadaye kijana huyo alikuwa na shilingi 5,000 kibindoni.

“Us’konde mwanangu,” Shaka aliambiwa. “Pumzika humu hadi kunakucha. Na k**a unataka bia unaweza kuendelea kuagiza.”

Alichohitaji Shaka siyo kuendelea kukaa humo ili anywe bia, hapana. Shida yake ilikuwa ni kupata nafasi ya kulaza mbavu hadi kunakucha. K**a angekuwa na pesa za kutakata asingesita kuonana na TT na kumpa nauli ya chumba cha daraja la kwanza. Baada ya hapo angemtafuta ‘mrembo’, kati ya ‘warembo’ wengi wanaozagaa-zagaa ndani ya mabehewa, na ‘mrembo’ huyo angeifanya safari kuwa fupi kuliko ilivyo.

ASUBUHI ya siku iliyofuata treni iliingia Kigoma mjini. Na k**a alivyokuwa makini safarini, hata pale stesheni Shaka hakupachukulia kwa uzito wa kawaida. Alijua fika kuwa askari nchi nzima watakuwa na taarifa kuhusu yeye, hivyo watakuwa wakimsaka k**a gaidi au haini.

Hadhari ikapewa kipaumbele. Akatulia behewani akiwaacha wenye haraka zao wateremke, yeye akawa miongoni mwa wachache wa mwisho. Na alipoteremka alikwenda moja kwa moja kukodi teksi moja kati ya nyingi zilizokuwa zimefurika mbele ya jengo la kituo hicho........

HII SEHEMU YA PILI HAIJAFIKA MWISHO K**A UNAITAJI MWENDELEZO WA SEHEMU HII YA PILI TUTAFUTE :-

1) whatsapp tukuunge kwenye channel ya FULL STORY Bonyeza link hii👉👇
wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1 TUKUUNGE KWENYE CHANNEL YETU

2) Jiunge na channel yetu ya bure kwa kubonyeza link hii 👉 whatsapp.com/channel/0029VbB2NaAA2pLGdeJDzo29

3) Tufollow kwenye page yetu ya clubzila kwa kubonyeza link hii 👉 clubzila.com/STORY?ref=11084 upate simulizi kali

MTIKISIKO WA HIRIZISEHEMU YA 2Kwa hesabu ya muuzaji, hata k**a angeuza mavazi hayo kwa shilingi 12,000 bado angekuwa na ...
14/09/2025

MTIKISIKO WA HIRIZI

SEHEMU YA 2

Kwa hesabu ya muuzaji, hata k**a angeuza mavazi hayo kwa shilingi 12,000 bado angekuwa na faida. Isitoshe, hakuwa ameuza hata nguo moja katika nguo hizo tangu alipozileta kiasi cha mwezi mmoja uliopita. Hivyo, hakuwa na sababu ya kukataa.

“Leta pesa.”

Muda mfupi baadaye Shaka alikuwa katika mwonekano tofauti. Alitumia chini ya dakika mbili kuvaa zile nguo za uraiani juu ya mavazi ya jela huku yule muuzaji akiwa amepigwa butwaa.

Bado Shaka hakuwa amehitimisha kilichomleta humo. Akaendelea kuangaza huku na kule. Macho yakagota sehemu ambayo kulitundikwa visu vya aina mbalimbali na vya ukubwa uliotofautiana.

“Kile kisu bei gani?”
“Alfu mbili na mia tano.”
“Nipe.”

Kisu kikatua mfukoni mwake. Akatoka hapo kwa mwendo wake uleule, mwendo wa taratibu na wa kujiamini. Na sasa hakutaka kuchelewa katika eneo hilo, alikodi teksi iliyomfikisha Magomeni Kondoa ambako alipata chumba katika gesti moja isiyokuwa na hadhi.

Mara tu alipokwishaingia chumbani na kujifungia, alizivua zile sare za jela na kuzifutika chini ya kitanda. Akabaki na zile nguo mpya pekee. Kisha akatoka na kwenda dukani ambako alinunua lita moja ya mafuta ya taa na kurejea pale gesti.

“Nionyeshe sehemu ya kuweza kuchomea makabrasha nisiyoyahitaji,” alimwambia mhudumu wa gesti.

Mhudumu huyo, akiwa hajui hili wala lile, alimwonesha sehemu kulikokuwa na shimo dogo lililotumika kwa kutupia taka. Shaka aliporudi chumbani alizitwaa zile nguo za jela, zilizokuwa ndani ya fuko la nailoni, akatokanazo hadi huko shimoni ambako alizimwagia mafuta na kuzitia moto.

Alirudi chumbani mwake baada ya kuhakikisha kuwa zile nguo zote za jela zimeteketea.

ASKARI jela aliyesimamia kundi la wafungwa waliopaswa kwenda Viwanja vya Maonesho, aliendelea kuduwaa huku akimtazama Shaka aliyekuwa akiyoyoma taratibu machoni pake. Huenda alipaswa kuchukua hatua pale tu Shaka alipokaidi amri ya kuingia garini, lakini hakufanya hivyo. Na alipokuja kuzinduka, Shaka alikuwa ameshatokomea machoni pake.

Akakurupuka kupuliza filimbi. Eneo hilo lote likazingirwa na askari, na wengine wakamwagwa mitaani kumsaka mfungwa aliyetoroka katika mazingira ya kutatanisha.

Pamoja na msaada wa raia wema waliowaonesha njia alizopita mtu aliyekuwa amevaa nguo zilizoshabihiana kwa kila kitu na sare za wafungwa wa jela, na pamoja na mwanamke muuza duka kuthibitisha kufikiwa na mteja aliyevaa sare za jela na kuongeza kuwa mteja huyo alinunua nguo mpya na kuzivalia humohumo dukani, juu ya mavazi ya jela, bado haukuwa msaada ulioweza kutoa matunda mema.

Shaka hakuonekana, japo msako mkali uliendelea takriban kitongoji chote cha Keko.

Naam, kilikuwa ni kizungumkuti cha aina yake!

AKITAMBUA fika kuwa lazima msako mkali dhidi yake ungefanyika, Shaka hakutoka nje ya gesti hiyo siku nzima. Njaa ilipomsak**a alimtuma chipsi mhudumu wa gesti. Koo lilipomkauka aliagiza bia. Kwa jumla alihakikisha hafanyi kosa atakalolijutia baadaye. Japo aliamini kuwa kwa ‘nguvu’ za baba yake, Mzee Songoro, asingepatwa na baya lolote, hata hivyo aliamua kuwa makini.

Usiku ulipoingia alihitaji faraja ya mwanamke. Ndiyo, usiku kucha awe na mwanamke mrembo, mwanamke anayeyajua majukumu yake pale anapokumbana na mwanamume mwenye njaa ya mwanamke.

Bia tano zilizosambaa katika mishipa yake ya damu zilimpa mhemuko kiasi cha kuamua kuzungumza kiutu uzima na mhudumu mmoja wa k**e wa gesti hiyo, mazungumzo yaliyoanzia kwa ‘gia’ ndogo tu, bia mbili, chipsi-kuku na shilingi 10,000.

Usiku huo ukawa wao. Wakakesha wakizungumza kwa furaha, wakanywa kwa kujidai na wakaikanda miili yao kwa fahari, wakifanya kila walichopenda kukifanya, na wakafanya kwa namna ya kipekee kiasi cha kujikuta kukipambazuka huku kila mmoja bado akimhitaji mwenzie.

Hata hivyo, Shaka hakuwa limbukeni wa mapenzi. Kwa siku hii, zikiwa ni saa zisizozidi ishirini na nne tangu alipotoroka gerezani, aliamua kuwa makini zaidi na kuzitumia fedha zake chache alizonazo kwa uangalifu ili awe na uhakika wa kuliacha jiji hilo na aweze kufika mwisho wa safari yake.

Akiwa bado kitandani, mkono wake mmoja ukilipapasa paja la Rukia, alikuwa akiwaza hili na lile kuhusu ratiba yake ya siku hiyo huku pia akifikiria ni hatua gani ambayo askari watakuwa wameichukua baada ya kutoroka gerezani jana katika mazingira ya kutatanisha.

Aliamini kuwa kwa vyovyote vile nguvu ya msako dhidi yake itakuwa kubwa na ikiambatana na hasira kali kutoka kwa hao askari. Kwa kiasi fulani itachukuliwa kuwa amelidhalilisha Jeshi la Magereza.

Itakuwa ni habari kubwa kwa vyombo mbalimbali vya habari hususan vile vyenye sera ya kuishambulia serikali kwa dosari yoyote itakayojitokeza katika taasisi zake. Itakuwa ni kashfa kwa Jeshi la Magereza. Kwa hali hiyo alipaswa kuwa makini zaidi katika muda atakaokuwa jijini Dar es Salaam.

Alipaswa kuchukua tahadhari kubwa!

Ni Rukia aliyemwingilia katika fikra zake. “Vipi, mpenzi, na jioni tutakuwa wote?” alimuuliza..

HII SEHEMU YA PILI HAIJAFIKA MWISHO K**A UNAITAJI MWENDELEZO WA SEHEMU HII YA PILI TUTAFUTE :-

1) whatsapp tukuunge kwenye channel ya FULL STORY Bonyeza link hii👉👇
wa.me/qr/XEAQUXEYQNCEB1 TUKUUNGE KWENYE CHANNEL YETU

2) Jiunge na channel yetu ya bure kwa kubonyeza link hii 👉 whatsapp.com/channel/0029VbB2NaAA2pLGdeJDzo29

3) Tufollow kwenye page yetu ya clubzila kwa kubonyeza link hii 👉 clubzila.com/STORY?ref=11084 upate simulizi kali

14/09/2025

I got over 200 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

Address

Sabasaba
Dar Es Salaam
67100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when STORY TAMU ZA Mapenzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to STORY TAMU ZA Mapenzi:

Share