
02/09/2025
Clouds Media imekuletea kampeni ya “CHIZIIII MICHONGO, Mwezi wa Vichaa Wenye Maono. “Ndoto zako ulizochekwa nazo… ndizo zinakupa fedha leo! Hii ndiyo Septemba ya vichaa wenye maono!”
“Wewe siyo wa kawaida ndoto zako siyo za kawaida , WEWE NI CHIZIIII MICHONGO!
K**a wewe ni Chizi Michongo, Chizi ambaye uko Smart, Chizi ambaye unatamani kufanikisha ndoto zako, basi usiwaze, mshikaji wako yuko hapa kufanikisha hilo kwa wewe kushinda fedha wakati unaendelea kusherekea minne ya tangu ianzishe , sasa fata hizi hatua ili uweze kushiriki…
HATUA 1. Bonyeza menu yako ya malipo
HATUA 2. Chagua Lipia Bili.
HATUA 3. Kisha weka namba ya Kampuni (321333).
HATUA 4: Ingiza namba ya kumbukumbu (Andika neno PESA).
HATUA 5: Weka kiasi 1000.
Ushiriki ni kuanzia miaka 18 na kuendelea…