07/08/2025
Damu Yako Isipotee Bure!”
Kila chupa ya damu isiyotumika ni nafasi iliyopotea ya kuokoa maisha.
👉 Jifunze nini cha kufanya kabla ya kuchangia
👉 Toa taarifa sahihi
👉 Fuata maelekezo ya wataalamu
Usiruhusu damu yako itupwe.