Gusa Achia Sports

Gusa Achia Sports Gusa achia twende kwao bila kuchoka

20/10/2025

9 seconds · Clipped by Gusa Achia Sports TV · Original video "ROMA - Teremsha Bunduki (Official Audio)" by VIVAROMA

20/10/2025

Hii Simba ya msimu huu sio nyau ni yamoto🔥
Kibu D amezaliwa upya.

14/08/2025

Hii inasikitisha sana😰
inawezekanaje hii,itazame mpaka mwisho😭

  Yanga SC wamemtambulisha Mohamed Hussein "Zimbwe JR' kwa mkataba wa kudumuSasa Zimbwe JR' ni Mwananchi 🌙
05/08/2025

Yanga SC wamemtambulisha Mohamed Hussein "Zimbwe JR' kwa mkataba wa kudumu
Sasa Zimbwe JR' ni Mwananchi 🌙






ILE PROMO YA YANGA YA KUMZALILISHA BILIONEA NAMBA MOJA TANZANIA HATA ZIMBWE AKIONA ATAUMIA SANAKiufupi Wananchi wamefany...
05/08/2025

ILE PROMO YA YANGA YA KUMZALILISHA BILIONEA NAMBA MOJA TANZANIA HATA ZIMBWE AKIONA ATAUMIA SANA

Kiufupi Wananchi wamefanya kitu cha hovyo kuwahi kutokea , hata k**a ni Utani wa jadi lakini huwezi weka kibonzo k**a kile alafu ukamdhalilisha kwa Vitu visivyovya kawaida

Tujiulize ile Picha aliyeichana Sowa iliharibu image ya Kiongozi wa Yanga? Hii Video yenu inaenda kugusa Maisha ya Watu na Familia zao kumdhalilisha Mtu Mwenye heshima kubwa ndani ya Nchini na nje ya Mipaka ya Tanzania ni kukosa weledi

Professor Zouzoua🏔️🌠
05/08/2025

Professor Zouzoua🏔️🌠

05/08/2025

🦔

Jezi "U*i mpya wa yanga kwaajili ya mazoezi na mechi za kirafiki💛💚👕
05/08/2025

Jezi "U*i mpya wa yanga kwaajili ya mazoezi na mechi za kirafiki💛💚👕

05/08/2025

Elie Mpanzu amewasili kambini kuungana na wachezaji wenzake Pre Season 🤸

KUTOKA KWA AHMED ALLY:Mdogo wangu Hansi Rafaeli nimeona andiko lako umenipopoa kuwa napambana kuzima utambulisho wa Zimb...
04/08/2025

KUTOKA KWA AHMED ALLY:
Mdogo wangu Hansi Rafaeli nimeona andiko lako umenipopoa kuwa napambana kuzima utambulisho wa Zimbwe, kwakua umemtaja Zimbwe hili siwezi kujibu maana umemtaja mtu ninaemuheshimu na kumpenda sana.

Lakini kwakua umenivaa maungoni nami siwez kufunika kombe

Kwanza naomba nikuulize tuu hii vita ni yako binafsi au umetumwa na wale wanaoliliana harusini

K**a wamekutuma basi wamekubebesha mzigo mkubwa sana mdogo wangu

Hao wenzio wameshanishindwa hawaniwezi na wananiogopa k**a Mjumbe wa CCM

Wameshanishtaki Mahak**ani, wamenishtaki TFF na nikawabwaga vibaya vibaya

Sasa wamekuongeza na wewe hakikisha umejipanga maana umekaa upande dhaifu

Kingine ninachoomba kujua tu unataka vita na mimi k**a Mwandishi au Wakala mtiifu wa kikundi cha kuliliana harusini

Ni muhimu nijue haya ili nikishambulia nijue namshambulia adui wa aina gani?

Ukiwa unasimama k**a Mwandishi basi niache kukushambulia maana kawaida yangu naheshimu sana Waandishi na tena naheshimu sana Media yako na k**a haitoshi naheshimu sana Viongozi wa idara yako

Ila k**a umekaa upande wa wapinzani wangu jipange mdogo wangu mimi sio mtu wa kawaida na sijalibiwi!!

03/08/2025

JONATHAN SOWAH😅

Yanga wamemtambulisha mchezaji wao mpya Mohammed DoumbiaYanga inaonesha wapo seriously sana
03/08/2025

Yanga wamemtambulisha mchezaji wao mpya Mohammed Doumbia
Yanga inaonesha wapo seriously sana






Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gusa Achia Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gusa Achia Sports:

Share