27/04/2026
It's sad moment I will never forget you Mzee Kambi ulikua baba kwangu sijawahi hata cku moja kujutia kukufaham upole wako na ukarimu wako hivyo havifutiki kwenye mioyo ya walio wengi nenda kamanda umetangulia tuko nyuma yako 🫡 🫡 ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜