Habari Wise

Habari Wise HabariWise – Habari za Kiswahili, Ajira, Magazeti, Usaili, Michezo na Taarifa Muhimu za Tanzania. Habari Sahihi kwa Wakati

I'm Romann Fitz, an Information Security professional with a passion for cyber security, networking, and system troubleshooting. When I’m not immersed in the tech world, I’m out exploring Tanzania’s hidden gems on my bike. Through my journeys, I aim to inspire others to discover the beauty of my country and the thrill of adventure. Join me as I lead by example in both my career and my travels."

Good Morning from your favorite nurse 🥰🤪
06/10/2025

Good Morning from your favorite nurse 🥰🤪

Simba SC Yaigaragaza Namungo FC 3-0 Katika Ligi Kuu
01/10/2025

Simba SC Yaigaragaza Namungo FC 3-0 Katika Ligi Kuu

Simba SC yaiangamiza Namungo FC 3-0 Ligi Kuu! Soma kuhusu magoli ya Karaboue (44'), De Reuck (63'), na Mwalimu (85'). Matokeo yote hapa.

Matokeo Simba vs Namungo FC Leo 01 Oktoba 2025
01/10/2025

Matokeo Simba vs Namungo FC Leo 01 Oktoba 2025

Matokeo Simba vs Namungo FC Leo 01 Oktoba 2025, Simba SC yaivaa Namungo FC leo Mkapa kwenye Ligi Kuu NBC, Matola akiongoza kikosi huku rekodi ikiibeba Simba dhidi ya Namungo.

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 16/09/2025 Ngao ya Jamii
16/09/2025

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo 16/09/2025 Ngao ya Jamii

Yanga SC na Simba SC wakutana leo 16/09/2025 katika fainali ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkapa. Angalia kikosi, historia na rekodi za watani wa jadi.

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo
16/09/2025

Kikosi cha Yanga Vs Simba Leo

Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo, Fainali Ngao ya Jamii 16/09/2025
16/09/2025

Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo, Fainali Ngao ya Jamii 16/09/2025

Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo, Fainali Ngao ya Jamii 16/09/2025
16/09/2025

Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo, Fainali Ngao ya Jamii 16/09/2025

Simba na Yanga wanakutana leo 16/09/2025 kwenye fainali ya Ngao ya Jamii. Angalia kikosi cha Simba, historia na rekodi za timu hizi kongwe.

Medali ya kwanza ya dhahabu Tanzania.Asante sana  kwa heshima hii kubwa.Asante Bingwa wa Dunia wa Marathoni. Alphonce Fe...
16/09/2025

Medali ya kwanza ya dhahabu Tanzania.
Asante sana kwa heshima hii kubwa.
Asante Bingwa wa Dunia wa Marathoni.

Alphonce Felix Simbu, ameandika historia ya kipekee kwa taifa lake baada ya kutwaa medali ya dhahabu kwenye Mashindano ya Dunia ya Riadha (World Athletics Championships 2025) yaliyofanyika jijini Tokyo, Japan, katika Uwanja wa Kitaifa (National Stadium).

Katika mbio za marathon Simbu alikamilisha mbio hizo kwa muda wa saa 2:09:48, akipambania ushindi hadi sekunde za mwisho dhidi ya Amanal Petros wa Ujerumani.

Ushindi huo ulipatikana kwa tofauti ndogo ya sekunde 0.03 kupitia teknolojia ya photo-finish, jambo lililoleta msisimko mkubwa kwa mashabiki wa riadha duniani.

Hii ni mara ya kwanza katika historia kwa Tanzania kushinda medali ya dhahabu kwenye Mashindano ya Dunia ya Riadha, tangu kuanzishwa kwake mwaka 1983.

Rekodi za Simba na Yanga Ngao ya Jamii
16/09/2025

Rekodi za Simba na Yanga Ngao ya Jamii


Angalia rekodi kamili za Simba na Yanga kwenye Ngao ya Jamii, historia ya mashindano tangu 2001, mfumo wa michuano na mafanikio ya kila klabu.

Yanga Vs Simba Ngao ya Jamii Leo 16/09/2025
16/09/2025

Yanga Vs Simba Ngao ya Jamii Leo 16/09/2025


Yanga na Simba wanakutana leo 16/09/2025 kwenye fainali ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11 jioni. Fahamu ratiba na maelezo kamili.

Matokeo Yanga vs Bandari FC Leo 12/09/2025
12/09/2025

Matokeo Yanga vs Bandari FC Leo 12/09/2025

Angalia matokeo ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Bandari FC Kenya leo 12 Septemba 2025 kwenye Tamasha la Yanga Day 2025. Matokeo Yanga vs Bandari FC Leo 12/09/2025

Matokeo Simba vs Gor Mahia 10/09/2025
10/09/2025

Matokeo Simba vs Gor Mahia 10/09/2025


Angalia matokeo ya mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC na Gor Mahia FC kwenye Simba Day 2025, unaopigwa Benjamin Mkapa leo 10 Septemba 2025. Matokeo Simba vs Gor Mahia 10/09/2025

Address

Mpakani B
Dar Es Salaam
14113

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Wise posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari Wise:

Share