Chamazi Music

Chamazi Music Chamazi Music Tanzania is a place where artists can show their talents. We welcome that and support the artists with all we have. Join us in creating a new future for Tanzania's music industry!

The best music is being made!

Join us in creating a new future for Tanzania's music industry! Chamazi Music is a full-range entertainment company out of Africa that aims to provide the ultimate entertainment products and services, from the freshest music to the most creative movies, from premium live concerts to high-class corporate soirees. Through the creative and groundbreaking management and promotion of talent strategies,


Chamazi Music has been responsible for the discovery/ promotion/management of award-winning artists like Mabuah Bway, DattyTz, Wizzy Mp, Munta Dee, Sele Minamba, Msomali, Tyoza, Bey Mc, Ematalent Tz, Producer Adasco M2 M'bad, Kapaso Bkp, Budah G, e.t.c. For any bookings, performances, appearances, etc- anything professional at all- please email: [email protected]. o thank you. We love you.
Chamazi Music has been responsible for the discovery/ promotion/management of award-winning artists like Mabuah Bway, DattyTz, Wizzy Mp, Kifurushi, Budah G, e.t.c. For any bookings, performances, appearances, etc... anything professional at all.. please email: [email protected], thank you, we love you.

https://www.youtube.com/watch?v=ErQGgWebklY
28/06/2025

https://www.youtube.com/watch?v=ErQGgWebklY

β€œImba” is the explosive final track of Msomali’s Vitamin Music EP – a pure Singeli & Mchiriku anthem. Powered by unfiltered truth and street wit, Msomali use...

https://www.youtube.com/watch?v=Ub8sqaEfX4w
28/06/2025

https://www.youtube.com/watch?v=Ub8sqaEfX4w

About the Song:"Tumeachana" is not your usual heartbreak jam. Msomali takes a calm, reflective approach to ending a relationship β€” showing that love can end ...

11/06/2025
πŸ”₯ RAHA YA TUNDA imefikia 10,000 plays kwenye !Asanteni sana kwa upendo wenu na sapoti isiyoisha! πŸ’›πŸπŸ“Hii ni hatua kubwa k...
04/06/2025

πŸ”₯ RAHA YA TUNDA imefikia 10,000 plays kwenye !
Asanteni sana kwa upendo wenu na sapoti isiyoisha! πŸ’›πŸπŸ“
Hii ni hatua kubwa kwangu k**a Msanii β€” bila nyie mashabiki, hii isingekuwezekana πŸ™

Shoutout kwa Producer Adasco M2 M'bad kwa kazi safi k**a kawaida!
Tunaendelea kukomaa – huu ni mwanzo tu! πŸ’ͺπŸ”₯

Msomali ameachia rasmi picha mpya za brand identity kwa mwaka 2025!Zitatumika kwenye matamasha, media appearances na pro...
18/04/2025

Msomali ameachia rasmi picha mpya za brand identity kwa mwaka 2025!
Zitatumika kwenye matamasha, media appearances na promos mbalimbali.
Tegemea mwaka wa kipekee kutoka kwa Msomali

10/04/2025

"Wakati mwingine mapenzi yanakuacha mtupu... watoto wameenda, mali imechukuliwa, hata nguo huna... Unabaki na maumivu, pombe, na beat..." πŸ˜”πŸ₯ƒπŸŽΆ

"Hii ni story yangu, na nimeiimba kwa ajili yako – kwa ajili ya wote waliowahi kuachwa na kubaki na moyo unaovuja damu..." πŸ’”

"Sikiliza wimbo wangu mpya YANA WENYEWE, produced na Adasco M2 M’bad – mchanganyiko wa Singeli na Bongo Flava. Beat kali, lyrics zinalia!" πŸ”₯🎧

"Mapenzi yanawenyewe – na siyo sisi wote..." πŸ₯€

πŸ‘‡
Play | Like | Share | Comment
πŸ”— Link kwenye bio kusikiliza full track!

Eid Mubarak kwa mashabiki wetu wote! πŸŒ™βœ¨ Tunawatakia sikukuu yenye furaha, upendo, na baraka tele kwenu na wapendwa wenu....
31/03/2025

Eid Mubarak kwa mashabiki wetu wote! πŸŒ™βœ¨ Tunawatakia sikukuu yenye furaha, upendo, na baraka tele kwenu na wapendwa wenu. πŸ•ŒπŸ€

NO BODY CAN STOP SINGELI" by Sele Minamba sasa inapatikana kwenye mitandao yote ya dijiti! οΏ½πŸ“²  Tembelea Spotify, Apple M...
25/03/2025

NO BODY CAN STOP SINGELI" by Sele Minamba sasa inapatikana kwenye mitandao yote ya dijiti! οΏ½πŸ“²

Tembelea Spotify, Apple Music, Boomplay, YouTube & platform zingine kuipakua na kuisikiliza leo!

πŸ”Š Singeli Reggae iliyotengenezwa na Good Master – beat kali, vibe haizuiliki! πŸŽ§πŸ’ƒ

Msaada wenu ni motisha yetu! Endeleeni kutusapoti kwa kubonyeza LIKE, SHARE & FOLLOW.

🎢 Love & Life sasa inapatikana! Tuendelee kusikiliza na kuonyesha upendo kwa Bite Starr! πŸ™Œ Mziki mzuri unahitaji sapoti ...
24/03/2025

🎢 Love & Life sasa inapatikana! Tuendelee kusikiliza na kuonyesha upendo kwa Bite Starr! πŸ™Œ Mziki mzuri unahitaji sapoti yenu, twende kazi! 🎧πŸ”₯

Address

Chamazi Music
Dar Es Salaam
15116

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chamazi Music posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chamazi Music:

Share

Category