Sauti ya Neno

Sauti ya Neno Karibu kwenye Sauti ya Neno – mahali pa kutafakari, kupata faraja, na kusikia uzima kutoka kwa Neno la Mungu kila siku. Hapa, kila mstari una maana.

Tafuta nguvu, amani, na tumaini kwa kila chapisho. 💡📖

Kabla ya dunia kuongea, naskiliza sauti ya neema.Mungu ananionyesha njia leo — siendi peke yangu.
23/05/2025

Kabla ya dunia kuongea, naskiliza sauti ya neema.
Mungu ananionyesha njia leo — siendi peke yangu.

Je, unamsikia Mungu anapozungumza na moyo wako? Wakati mwingine, sauti Yake huja katika kimya.
22/05/2025

Je, unamsikia Mungu anapozungumza na moyo wako? Wakati mwingine, sauti Yake huja katika kimya.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti ya Neno posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share