
22/09/2025
⚽
🚨 PROFESSOR NASREDIN NABI KUJIUNGA NA SIMBA SC
Tetesi zinasema huenda Kocha wa zamani wa Yanga na Kaizer Chief Nasredin Nabi akajiunga na Klabu ya Soka ya Simba k**a Kocha Mkuu akichukua nafasi ya Fadlu David aliyeachana na Klabu hio mapema leo hii.
Wanalunyasi vipi?? mtampokea Professor Nabi??🤷
| | 🧠