arisonisports

arisonisports Ukurasa huu uko Kwajili ya michezo na burudani na siasa kitaifa na kimataifa

Pumzika kwa Amani mzee wetu mwalimu wetu mpedwa wetu guli wa soka Watu hakika Umeachwa pengo kubwa San kwenye soka letu ...
19/08/2021

Pumzika kwa Amani mzee wetu mwalimu wetu mpedwa wetu guli wa soka Watu hakika Umeachwa pengo kubwa San kwenye soka letu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tutakukumbuka San guli wetu mungu ailaze roho ya malehem mahali pema peponi ameni mwalimu Alex kashasha inshallah πŸ™πŸ™πŸ˜­πŸ˜­

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‡΅πŸ‡±πŸ‡΅πŸ‡±πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’―β­•β­•

Tufanye ku follow mwana sports wetu

Follow
Follow
Follow

 πŸ‘ˆNi mchezaji πŸ”₯ mwenye sifa zote za kuwa winga, kijana mdogo na mwenye shauku ya kufika mbali, Jimmyson Steven Mwanuke (...
18/08/2021

πŸ‘ˆ

Ni mchezaji πŸ”₯ mwenye sifa zote za kuwa winga, kijana mdogo na mwenye shauku ya kufika mbali, Jimmyson Steven Mwanuke (18) atakuwa sehemu ya kikosi chetu msimu ujao.

Karibu Simba,

Fanya uni follow












15/08/2021

πŸ‘ˆ
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Congo DRπŸ‡¨πŸ‡© na beki kisiki, Henock Inonga Baka (26) ni mchezaji halali wa Simba SC.πŸ‡΅πŸ‡±

Bienvenue à Simba, Henoc! 🦁

Na mwakaa huu lazima wachuchumaee πŸ”₯🀣🀣🀣

Follow πŸ‘ˆπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Mtu wa kazi Atambulishwa  🦁Beki kisiki henock Inonga baka (26) ni mchezaji halali wa mnyamaaaaa  Rai wa DR KONGO  anache...
15/08/2021

Mtu wa kazi Atambulishwa 🦁
Beki kisiki henock Inonga baka (26) ni mchezaji halali wa mnyamaaaaa Rai wa DR KONGO anacheza na tim ya faifa ya Congo Dr tutengemee bakap ya onyango vs Henock πŸ”₯πŸ”₯ mwakaa huu litakfa jitu 🀣🀣

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Follow OfficialAsunga_TZ onπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

26/07/2021

Mashambiki wa 🦁simba tulivya na fraha saivi 🀣🀣🀣

USIACHE KUN FOLLOW

πŸ‘‡πŸ”₯🦁tztztz

Chunga boy anasimama na bwana Bugati  πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
22/07/2021

Chunga boy anasimama na bwana Bugati



πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘ˆ πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Simba SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa nne mfululizo; Ni baada ya kuichapa Coastal Union 2-0 na ...
11/07/2021

πŸ‘ˆ
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Simba SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa nne mfululizo;

Ni baada ya kuichapa Coastal Union 2-0 na kufikisha alama 79 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote.

07/07/2021

πŸ‘ˆ Ma shekhe wangu wadogo πŸ”₯πŸ”₯ Hawa ndo tunawakuza etyyyyyyyy watakuja GA wawe mashambiki wa simba San Hawa inshallah πŸ™

β“πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ™‹β€β™‚οΈ

Follow .tz
Follow .tz
Follow .tz

Ata kwetu wapo mwana simba dam dam
07/07/2021

Ata kwetu wapo mwana simba dam dam

04/07/2021

πŸ‘ˆ

Football πŸ”₯πŸ”₯
Una shida ya nguvu za kiume na uliwahi kujichua?
wana program za lishe kusaidia kuondoa tatizo kuanzia kwenye chanzo

Simba bhan πŸ™…β€β™€οΈπŸ™…β€β™€οΈ
04/07/2021

Simba bhan πŸ™…β€β™€οΈπŸ™…β€β™€οΈ

πŸ‘ˆKikosi cha Simba Sc dhidi ya Yanga ScπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Follow .tz        .tz
03/07/2021

πŸ‘ˆ
Kikosi cha Simba Sc dhidi ya Yanga Sc

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Follow .tz

.tz

Address

Igoma
Dar Es Salaam

Telephone

0785625967

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when arisonisports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to arisonisports:

Share

Category