Dunia Duara Tv

Dunia Duara Tv Creator

โ€ฆ Ukitoa tukio la Fuentes kwa Dube, sijaona matukio makubwa ya kiwango cha watu kumshambulia Cent. Referee Ally Mnyupe k...
16/03/2026

โ€ฆ Ukitoa tukio la Fuentes kwa Dube, sijaona matukio makubwa ya kiwango cha watu kumshambulia Cent. Referee Ally Mnyupe kutoka Morogoroโ€ฆ alichezesha vizuri sana na aliendana kasi ya mchezoโ€ฆ kosa moja lisihalalishe aonekane hajui zaidi tuendelee kumsupport awe bora zaidi.๐Ÿ’ช๐Ÿผ

๐ŸšฉBeki wa kati na nahodha msaidizi wa klabu ya Yanga SC, Dickson Job, amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini ba...
11/03/2026

๐ŸšฉBeki wa kati na nahodha msaidizi wa klabu ya Yanga SC, Dickson Job, amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini baada ya kukumbwa na tatizo la kiafya lililokuwa likimsumbua kwa muda. Upasuaji huo umefanyika kwa lengo la kurekebisha tatizo hilo na kumsaidia kurejea katika hali bora ya kiafya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu, operesheni hiyo imefanikiwa na sasa mchezaji huyo anatarajiwa kupumzika na kufuata maelekezo ya madaktari ili kuharakisha mchakato wa kupona.

Madaktari wa timu hiyo wameeleza kuwa Dickson Job hatakuwa sehemu ya kikosi kwa muda uliosalia wa msimu wa 2025/2026, hivyo hatashiriki katika mechi za Ligi Kuu wala mashindano mengine ya klabu. Hata hivyo, klabu ya Yanga SC imesisitiza kuwa itaendelea kumhudumia na kumpa msaada wa kitabibu pamoja na uangalizi wa karibu hadi atakapopona kikamilifu.

MCHEZO WA LEO ๐Ÿ† ๐Ÿฆ Singida BS ๐Ÿ†š Simba SC๐Ÿ—“๏ธJumatano, March 11, 2026๐Ÿ•“ Saa 10:00 Jioni ๐ŸŸ๏ธAirtel Stadium, Mtipa - Singida๐Ÿ† NB...
11/03/2026

MCHEZO WA LEO ๐Ÿ† ๐Ÿฆ

Singida BS ๐Ÿ†š Simba SC

๐Ÿ—“๏ธJumatano, March 11, 2026
๐Ÿ•“ Saa 10:00 Jioni
๐ŸŸ๏ธAirtel Stadium, Mtipa - Singida
๐Ÿ† NBC Premier League
unampa nani

REDIONIYupi Mtuma salamu maarufu sana Redion kila ulipokuwa ukiwasha kila redio tangu zamani hukosi kumsikia akituma sal...
11/03/2026

REDIONI
Yupi Mtuma salamu maarufu sana Redion kila ulipokuwa ukiwasha kila redio tangu zamani hukosi kumsikia akituma salamu au kuchangia maada ?

Nyanda za juu kusini tunae "Baba mzazi" Lawena Nsonda

Yupi wamkumbuka?

Ikiwa kila March 8 ni siku ya Wanawake ulimwengu, niandike jina la mchezaji mmoja wakike unayemfahamu?Funguka kwenye Com...
08/03/2026

Ikiwa kila March 8 ni siku ya Wanawake ulimwengu, niandike jina la mchezaji mmoja wakike unayemfahamu?

Funguka kwenye Comments:-

Wachezaji  wanne wa Klabu ya Simba Gibril Kasali, Ismail Toure,  Anicet Oura na Libasse Gueye,wamekabidhiwa gari zao na ...
08/03/2026

Wachezaji wanne wa Klabu ya Simba Gibril Kasali, Ismail Toure, Anicet Oura na Libasse Gueye,wamekabidhiwa gari zao na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vyote vya michezo vya Simba SC Jayrutty.

Ikumbwe kuwa gari hizi zitakuwa mali ya Simba SC endapo wachezaji hao wataamua kwenda kutafuta changamoto nyingine au kuvunjiwa mkataba.

Ameandika Mtangazaji wa (Crown Fm)Mwanadada โ€œJesca Mhagamaโ€ Kuhusu Klabu ya Simba na Mashabiki Wake Juu ya Mchezaji wao ...
06/03/2026

Ameandika Mtangazaji wa (Crown Fm)
Mwanadada โ€œJesca Mhagamaโ€ Kuhusu Klabu ya Simba na Mashabiki Wake Juu ya Mchezaji wao wa Zamani โ€œMohamed Hussein Zimbwe Jrโ€ ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

Kitu pekee nachofahamu Mohamed Hussein anatakiwa kuheshimiwa na kila aliyeshabiki wa mpira wa nchi hii.

Mohamed Hussein amekuwepo Tanzania akiitumikia timu ya Taifa lakini pia kwa mapenzi makubwa na Taaluma ya hali ya Juu ameitumikia Simba kwa zaidi ya muongo 1, akiisaidia Simba kuchukua makombe na hata kwenye nyakati ngumu pia alikuwepo,

Mkimkosoa na kumpopoa MSISAHAU kuibakiza Heshima ambayo ameitengeneza kwa miaka yote aliyoishi katika Soka,

MSISAHAU Mohamed Hussein hakukata tamaa nyakati zote hata misimu 4 ambayo Simba ilikosa Ubingwa alikuwepo hapo,

MSISAHAU kuwa wengine walionekana kuchukulia kawaida tu kila kilichokua kinatokea miaka hiyo 4 lakini Mohamed Hussein alijidhihiridha kwa namna gani anatamani mazuri kwa namna alivyojituma

MSISAHAU lile chozi aliloangusha pale Benjamin mkapa wakati Simba inachapwa goli 5 vs Yanga! Sio kwa sababu alijisikia tu! La hasha ni kwasababu alitamani mazuri zaidi kwa Club aliyokua anaitumikia ,

MSISAHAU kuwa wala hakua miongoni mwa wale mliokua mnawataja kuwa ni maduka,

MSISAHAU alivyowaongoza kunyanyua makwapa kwa jasho alilovuja uwanjani akiwa na wenziwe,

MSISAHAU kumpa heshima yake k**a Legend.

MSISAHAU kuwa Mohamed Hussein si Mtu wa maneno maneno kukaa kwake kimya bila kusema lolote mara zote mishale inaporushwa upande wake haimaanishi hakuna inayomuingia na kumuumiza k**a binadamu,

MSISAHAU kuwa Mohamed Hussein yupo kazini k**a wewe unavyoweza kuhama kituo chako cha kazi vivyo hivyo kwake.

MSISAHAU hata hivyo mnavyokubali moyoni na hamtaki kuvisema hadharani.

NB: MSISAHAU KUWA ANASIKIA, ANAAMBIWA, ANAONA NA ANAJUA KUSEMA.

๐Ÿšจ_|| ๐—ฅ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—ข๐—ž๐—” ๐—Ÿ๐—˜๐—ข ๐—๐—จ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ข๐Ÿด ๐—˜๐—ก๐—š๐—Ÿ๐—”๐—ก๐——: Premier League22:30 Aston Villa vs Chelsea22:30 Brighton & Hove Albion vs Ars...
04/03/2026

๐Ÿšจ_|| ๐—ฅ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—ข๐—ž๐—” ๐—Ÿ๐—˜๐—ข ๐—๐—จ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ก๐—ข

๐Ÿด ๐—˜๐—ก๐—š๐—Ÿ๐—”๐—ก๐——: Premier League
22:30 Aston Villa vs Chelsea
22:30 Brighton & Hove Albion vs Arsenal
22:30 Fulham vs West Ham United
22:30 Manchester City vs Nottingham Forest
23:15 Newcastle United vs Manchester United

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ๐—š๐—˜๐—ฅ๐— ๐—”๐—ก: Bundesliga
22:30 Hamburger SV vs Bayer Leverkusen

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐—ฆ๐—ฃ๐—”๐—œ๐—ก: LaLiga
21:00 Rayo Vallecano vs Real Oviedo

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท ๐—™๐—ฅ๐—”๐—ก๐—–๐—˜: Coupe de France
22:30 Lorient vs Nice
23:00 Marseille vs Toulouse

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น ๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—ฌ: Coppa Italia
23:00 Lazio vs Atalanta

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐—ž๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—”: Premier League
15:00 Nairobi United vs KCB

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ ๐— ๐—ข๐—ฅ๐—ข๐—–๐—–๐—ข: Botola Pro
01:00 RS Berkane vs Hassania Agadir
01:00 Kawkab Marrakech vs Olympique de Safi
01:00 Wydad AC vs FAR Rabat

๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ๐—ฆ๐—ข๐—จ๐—ง๐—› ๐—”๐—™๐—ฅ๐—œ๐—–๐—”: Betway Premiership
20:30 AmaZulu vs Magesi
20:30 Chippa United vs Marumo Gallants
20:30 Durban City vs Sekhukhune United
20:30 Mamelodi Sundowns vs Golden Arrows
20:30 Polokwane City vs Orlando Pirates

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐—ฆ๐—ฃ๐—”๐—œ๐—ก: Copa del Rey
23:00 Real Sociedad vs Athletic Bilbao

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ ๐—จ๐—š๐—”๐—ก๐——๐—”: Premier League
17:00 URA SC vs Mbarara City
20:00 Express FC vs Maroons FC

Allan Okello ni Bonge la player sana ambaye Yanga wamemsajili, mechi ya kwanza tu alionesha uwezo wake wa hali ya juu la...
04/03/2026

Allan Okello ni Bonge la player sana ambaye Yanga wamemsajili, mechi ya kwanza tu alionesha uwezo wake wa hali ya juu lakini alipoingia training na kocha Pedro na kupewa maelekezo nini cha kufanya akaanza kuonekana kiwango chake kinarudi nyuma

Game yake ikaanza kupungua why? Allan Okello Hapewi role sahihi kwa profiling yake. Huyu Allan Okello Kila Mtu aliona uwezo wake NT hadi Vipers.. alikuwa mchezaji hatari sana hata asipofunga bado alikuwa na athari chanya [Macho yalikuwa Hayadanganyi]

Na alikuwa ni mchezaji mgumu na imara katika kuficha mpira na kushinda mipambano akiwa National Team ya Uganda iliyojaaa vipaji vikubwa. Lakini sasa pale Yanga anaonekana ni legelege kabisa na hata kushinda mipambano inakuwa ngumu sana kwake..

Hii yote ni Kwasababu bado Pedro Goncalves hajamtafutua solution ya kumsaidia kuifanya kazi yake kwa ufasaha " Ndio kazi ya kocha " .. I believe kuwa Pedro Goncalves akitulia na kumsaidia Allan Okello na wachezaji wengine akawapa nafasi itakuwa ni plus point ya kurudi juu na kuwa tishio .

๐Ÿšจ_|| ๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆโžก๏ธ Irani FA inaripotiwa kutotuma mwakilishi kwenye warsha ya maandalizi ya Kombe la Dunia la 2026 iliyoandal...
04/03/2026

๐Ÿšจ_|| ๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ

โžก๏ธ Irani FA inaripotiwa kutotuma mwakilishi kwenye warsha ya maandalizi ya Kombe la Dunia la 2026 iliyoandaliwa na FIFA huko Atlanta wiki hii.

โžก๏ธ Donald Trump alisema: "Kwa kweli sijali" ikiwa Iran itacheza au la. "Nadhani Iran ni nchi iliyoshindwa vibaya sana. Wanakimbia k**a moshi."

โžก๏ธ Iwapo Iran itaamua kujitoa, ina hatari ya kupoteza angalau $10.5M katika fedha za ushiriki wa FIFA, pamoja na faini za ziada kwa kujiondoa karibu sana na michuano hiyo.

๐—ฆ๐—ผ๐˜‚๐—ฟ๐—ฐ๐—ฒ FOS

๐Ÿšจ_|| ๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆโžก๏ธ Kocha Mkuu wa Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Pedro Goncalves kuhusu matokeo ya Kariakoo Derby Machi 1, 2026โžก๏ธ Pedro am...
04/03/2026

๐Ÿšจ_|| ๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ

โžก๏ธ Kocha Mkuu wa Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Pedro Goncalves kuhusu matokeo ya Kariakoo Derby Machi 1, 2026

โžก๏ธ Pedro ameeleza kuwa kwa upande wao matokeo ya sare hayakuwapendeza lakini wapinzani wao Simba waliifurahia, hiyo ndio tofauti

๐Ÿšจ_|| ๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆโžก๏ธ "Yanga wamecheza mechi 11, wana alama 29 na wanaongoza ligi unasemaje wamefeli kwenye Scouting...? Huyo h...
04/03/2026

๐Ÿšจ_|| ๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ

โžก๏ธ "Yanga wamecheza mechi 11, wana alama 29 na wanaongoza ligi unasemaje wamefeli kwenye Scouting...? Huyo huyo (Tarimba) nimemsikia anasema watachukua ligi ya ndani, sasa unasemaje Timu imefeli kwenye Scouting halafu utegemee kubeba ubingwa?

โžก๏ธ Yaani timu ikiifunga JKT Tanzania haijafeli Scouting lakini ikitoka sare na Simba imefeli kwenye Scouting? Maana yake huyu Kiongozi aliingia kwenye mchezo dhidi ya Simba na matokeo yake mfukoni.

โžก๏ธ Tarimba ni mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga,amewahi kuwa Rais wa Yanga na ni mdhamini kupitia SportPesa anaposema timu imefeli public anajua anapeleka presha kiasi gani kwa watendaji wa chini?

โžก๏ธ Tarimba ni prominent figure, tatizo la viongozi wengi kwenye mpira huu ni zao la mashabiki...hata wachezaji walioondoka Yanga ni kukosa tu uvumilivu, kina Doumbia wameondoka kabla ya mechi 6, unamuondoaje mchezaji kabla ya mechi 6 za ligi? "

๐Ÿ”ŽJemedari Said

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dunia Duara Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dunia Duara Tv:

Share