WADEY TV

WADEY TV HABARI NA MATUKIO YA KILA KONA

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
20/05/2025

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

  Ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Charles Hilary, inaendelea kwenye Kanisa la Mtakatifu Botholomayo Anglikana, Ubung...
13/05/2025

Ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Charles Hilary, inaendelea kwenye Kanisa la Mtakatifu Botholomayo Anglikana, Ubungo Dar es Salaam.

Ibada hii itatoa nafasi ya wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na viongozi mbalimbali waliojitokeza kwa ajili ya kutoa salamu za mwisho kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Zanzibar kwa ajili ya maziko.

BODI ya Ligi Kuu Tanzania imesitisha matumizi ya uwanja wa Jamhuri uliopo mjini Morogoro kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC ...
10/03/2024

BODI ya Ligi Kuu Tanzania imesitisha matumizi ya uwanja wa Jamhuri uliopo mjini Morogoro kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC kutokana na mapungufu kadhaa kwenye miundombinu ya uwanja inayosaidia urushaji wa matangazo mbashara ya runinga.

Uamuzi wa kusitisha matumizi ya uwanja huo umekuja baada ya mdhamini mwenye haki za matangazo ya runinga, Azam Media Limited kuieleza Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kuhusu changamoto walizoendelea kukutana nazo katika maandalizi na urushaji matangazo mbashara ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC, hata baada ya kufanya jitihada mbalimbali za kuboresha miundombinu hiyo.

Klabu ya Simba ambayo ilikuwa ikiutumia uwanja huo kwa michezo yake ya nyumbani, ilishiriki kikamilifu katika majadiliano yaliyozaa maamuzi ya kusitisha matumizi ya uwanja huo na kwamba klabu hiyo sasa itatumia uwanja wa Azam Complex uliopo Dar es Salaam kwa michezo yake ya nyumbani.

Hata hivyo, uwanja wa Jamhuri utaendelea kutumika kwa michezo ya mashindano mengine yote yaliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ikiwemo Ligi ya Championship ya NBC na First League zinazoendeshwa na kusimamiwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.

tv

Karibu Msimbazi, Pa Omar Jobe.
16/01/2024

Karibu Msimbazi, Pa Omar Jobe.

03/01/2024
Hassan Mwakinyo~"Mwambieni Dada yenu wa Morogoro kuwa sihofii watu wenye miili mikubwa, sana sana nafurahi kuziona piko ...
03/01/2024

Hassan Mwakinyo~"Mwambieni Dada yenu wa Morogoro kuwa sihofii watu wenye miili mikubwa, sana sana nafurahi kuziona piko zake kwakuwa Marehemu Mama yangu Bi.Fatma alikuwa kungwi hivyo nimeziona sana piko nyumbani, k**a Mapromota wapo na wanalitaka pambano basi hakuna shida, tuendelee kuvuta uradi na kumswalia sana Mtume

📝 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo Saleh Masoud Karabaka kwa mkataba wa miaka mitatu kutok...
03/01/2024

📝 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo Saleh Masoud Karabaka kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka JKU FC ya Zanzibar.

tv

Messi Abeba tena
03/11/2023

Messi Abeba tena

Manchester United imefanikiwa kuwa mikononi mwa shekh jassim's bid
03/07/2023

Manchester United imefanikiwa kuwa mikononi mwa shekh jassim's bid

Address

Mabibo
Dar Es Salaam

Telephone

+255782585696

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WADEY TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category