AMSHA MUSIC

AMSHA MUSIC Habar Na Matukio
Digital Platform
Sponser.. Job Vodka
Call..0769795619
0788595055

  Msaniii Mkubwa Wa Muziki Wa Singeli   Ni Msanii Ambae Anaefanya Vizur Zaid Kwenye Muziki Wa  Lakin Cha Ku Habarisha Za...
24/04/2025



Msaniii Mkubwa Wa Muziki Wa Singeli Ni Msanii Ambae Anaefanya Vizur Zaid Kwenye Muziki Wa

Lakin Cha Ku Habarisha Zaidi Kwamba Kwenye Mitandao Ya Kijamiii Kutrend Zaid Kwambaa Amepost Kuwa K*m Coppy Ngoma Yake Ya Afande

Na Ukiangaria Dogo Paten Ni Msanii Ambae Anaepambana Sana Kwenye Kuweka Sawa Muziki Wake

Sasa We K**a Shabiki Je Umekubaliana VIP Huu Ya Hili Dondosha Comment Zako Hapo Chin



23/04/2025

Brand Kubwa Kutokea Ndani Ya Kuja Na Kibao Kipya Ambao Kitakachoenda Kufanya Vyema Sana Hiv Karibuni Alichoshilikishwa na Paten Kikiwa chin ya Prod

Naitwa   nawaomba mashabiki zangu Wote , ikiwa mnanipenda, basi twendeni Instagram na Tiktok Ty support   tu twende mkam...
22/04/2025

Naitwa nawaomba mashabiki zangu Wote , ikiwa mnanipenda, basi twendeni Instagram na Tiktok Ty support tu twende mkam follow ili kupata habar kem kem na story MPYA Kila Siku kutoka Kwa Wakari Kila aina

Nawapenda sana.

 Tunakutakia Heri Njema Ya Eid Mubarak Wewe na Familia yako ☪️❤️
31/03/2025



Tunakutakia Heri Njema Ya Eid Mubarak Wewe na Familia yako ☪️❤️

  K*mekuwa na sito fahamu zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa video Hii  zinazomuonyesha msan...
25/03/2025



K*mekuwa na sito fahamu zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa video Hii zinazomuonyesha msanii kutokea NEXT LEVEL Macvoice akifanya shoo za mtaani kwenye moja ya kibanda umiza cha kuoneshea mpira.

Maswali yamekuwa mengi sana watu wamekuwa wakijiuliza je inawezekanaje msanii huyo afanye shoo katika mazingira yake na je? kuna nini kinachoendelea kati yake na Rayvanny huku wengi wakiamini huenda Macvoice na boss wake Rayvany wameshabwagana.

Mpaka sasa hakuna ripoti zozote kuhusiana na msanii huyo Macvoice ambaye video zake zimesambaa sana hivi sasa.



    Azungumza Kuwa "Mahusiano yake Kati Ya Yeye  Na Jacqueline Wolper Hayakudumu Sana Yeye K*mpata Mtu Mwingine Mwenye P...
25/03/2025



Azungumza Kuwa "Mahusiano yake Kati Ya Yeye Na Jacqueline Wolper Hayakudumu Sana Yeye K*mpata Mtu Mwingine Mwenye Pesa Kipindi Mimi Nimeenda Kusoma China kusoma

Je Unachochote unachofaham Kati ya wolper na Jux Dondosha Comment Yako Hapo Chin

  Msaniii Mkongwe Wa Muziki Wa   ..   Tunapenda Kukutakia Heri Njema Kwa Siku Yako Ya Kuzaliwa Na Team Nzima Ya   Na Tea...
24/03/2025



Msaniii Mkongwe Wa Muziki Wa ..

Tunapenda Kukutakia Heri Njema Kwa Siku Yako Ya Kuzaliwa Na Team Nzima Ya Na Team Kwa Jumla Tunakutakia Maisha Marefu Yenye Baraka Na Kukuongoz Zaid Kwenye Mafanikio


  Ostazi Juma Na Musoma Ameziweka Hisia Zake Wazi  Kwa Mwanadada  Msanii Wa Muziki Wa Bongofleva   Kutokea Lebo Ya Wcb ....
24/03/2025



Ostazi Juma Na Musoma Ameziweka Hisia Zake Wazi Kwa Mwanadada Msanii Wa Muziki Wa Bongofleva Kutokea Lebo Ya Wcb .

Amefunguka Rasmi Kwasasa Kuwa Sehemu Popote Alipo Zuchu Afahamu kuwa Anampenda Na Yupo Tayari K*muoa.

''NAMPENDA SANA ZUCHU NAOMBA KOKOTE ALIPO AFAHAMU KUWA NAMPENDA

YEYE ANIAMBIE NINI NIMSTIRI SIANATAKA NIMSTIRIWA YEYE NIMSTIRI''.Alisema Ostadhi juma na musoma

Je unahisi Zuchu anaweza kukubali kuolewa na Ostazi juma na Musoma

Comment Zako Hapo Chin


@!

  Ni Moja Kati Ya Wasanii Wakubwa Wa K**e Nchini Tanzania Ndiye Msanii Bora Ambae Anaefanya Vizur Zaid Kwenye Muziki Wa ...
23/03/2025



Ni Moja Kati Ya Wasanii Wakubwa Wa K**e Nchini Tanzania
Ndiye Msanii Bora Ambae Anaefanya Vizur Zaid Kwenye Muziki Wa

Katika Mastory Ya Apa Na Pale Kwamba Kuja Na Tishio Kubwa Na Kuwa Habarisha Zaidi Wasanii Wa K**e Kuwa Wakaae Mkao Wa Kura Kuja Kukipokea Kigongo Kikari Hivi Karibun

Sis K**a Na Kwa Ujumla Tumempokea Msanii Huyu Katika Ufanisi Wake Katika Uwandishi Uliokuwa Bora Zaid

Sasa Tukutane Kwa Hanzia Tarehe 26 Mwezi Huu Kuja Kukipokea Kigongo Kikubwa Ambach Kinachokwenda Kwa Jina La Kikiwa Chini Ya Producer pro_listen



01/02/2025



Msanii Mkubwa Wa Muziki Wa Singeri Kidochu Mc Ni Msanii Ambae Anaeonesha Makari Yake Kwenye Huu Muziki

Nani msaniii ambae Aliekuja na Kigongo Kikari Ambacho Kinachotrend Sana Kwenye Hiii Tasnia Yetu Ya Muziki

Na
NINI

Na Ni Kati Ya Ngoma Ambayo iliyopokelewa vyema na kuuja na muitikio Mkubwa Ndani Ya mwaka wa
2025

Sasa cha kushangaza Zaid Siku ya Tarehe 2/2/2025 Kidochu Mc Atakuwa Live Kwenye Matamasha Makubwa Ambayo Yatakayosumbua Sana Siku Ya kesho Ambayo


Ikiendeshwa na Fido mgaigai

Ikiendeshwa na Dulla Makabila

Sasa unaikosajeee hiii tukutan kesho mapema Ty Uwanja Wa mbagara zakhiem kwenye tamasha la

Mida ya ijion tunakutana tena ndani ya kigamboni ulongon beach Kwenye Tamasha La FESTIVAL

Sasa kaa karibu na Sisi ili kupata taharifa Zaid

Msanii Wa Muziki Wa Singeri nchini.    BITEAmetangaza Kuja Na Ujio Mkubwa Wa Ngoma Yake Mpya Inayokwenda Kwa Jina La  Na...
26/11/2024

Msanii Wa Muziki Wa Singeri nchini. BITE

Ametangaza Kuja Na Ujio Mkubwa Wa Ngoma Yake Mpya Inayokwenda Kwa Jina La

Nani Moja Ya Ngoma Ambayo Itakayokwenda Kufanya Vizur Zaid Nchini Ambapo Ikiwa Chini Ya Producer MUSHIZO UTAWAUWA Nani Producer Ambae Anaefanya Vizur Sana Kwenye Hii Industry

Sasa Team Ya MEDIA Tunapenda Kukupa Habar Kuwa Kaa Mkao Wa Kura Kwa Siku Ya Ijumaa Saa 6:00 Usiku Ngoma Ipo Kwa Hewa




www.amshamusic.com

Address


Telephone

+255769795619

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AMSHA MUSIC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AMSHA MUSIC:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share