University Media Tanzania

  • Home
  • University Media Tanzania

University Media Tanzania Our Official Page. Number One Universities Media.

Voice Of Universities on |Lifestyle| News| Sports| Entertainment| Talents |Other News|
www.youtube.com/channel/UCW3tKXCx6tyqwUgDnNto-LQ

29/12/2024

Shakira anaamini kuwa kila binti anastahili nafasi ya kung’aa na kuwa kile anachotamani kuwa. Kwa vipaji vyake vya kipekee na maono yake makubwa, ana ndoto ya siku moja kuwa mfano mzuri wa mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tunapomsaidia mwanamke k**a Shakira, si tu tunambadilishia maisha, bali pia tunaijenga jamii na kizazi chenye matumaini, maadili, na mustakabali bora.
Kwa imani yake thabiti, Shakira ana hakika kwamba bado ana nafasi kubwa ya kufanikisha malengo yake. Kwa maana, “Ndoto zetu ni kubwa kuliko changamoto zetu,” akiamini kuwa kupitia juhudi na msaada wa watu wenye nia njema, siku moja atafika mbali na kuwa chanzo cha matumaini kwa wengine
✍️
_______________________________________________

K**A WEWE NI WANACHUO NA UNA KIPAJI HAKIKISHA UNASHIRIKI

𝗝𝗜𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗕𝗔 𝗪𝗔 𝗨𝗡𝗜 𝗔𝗪𝗔𝗥𝗗𝗦

𝗟𝗶𝗻𝗸 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘀𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗽𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗯𝗶𝗼 👆INSTAGRAM
| @𝘂𝗻𝗶𝗺𝗲𝗱𝗶𝗮𝘁𝘇


Follow | Like | share | save📥
📽

04/11/2024

MTAG RAFIKI YAKO MWENYE JINA LA MZEE MAJID.
𝗝𝗜𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗕𝗔 𝗪𝗔 𝗨𝗡𝗜 𝗔𝗪𝗔𝗥𝗗𝗦
Link ipo kwenye bio. 👆👆👆


Follow | Like | share | save📥

07/10/2024

Bila D Mbili huwezi elewa hapa. Vijana wa first Year wa Moto sana.
Follow | Like | share | save📥



🔊

MILANGO IKO WAZI | JIPAKULIE UNACHOWEZAHii ni kwaajili yako wewe mwenye vigezo na sifa zilizotajwa hapo juu.We are Looki...
15/09/2024

MILANGO IKO WAZI | JIPAKULIE UNACHOWEZA

Hii ni kwaajili yako wewe mwenye vigezo na sifa zilizotajwa hapo juu.

We are Looking for marketing manager

Deadline ya Application ni 30th September, Send Your CV kupitia email ya [email protected]

All the best familia👋🏽👍🏿

Cc:

*Life is like a Camera focus on what's important.**Capture the good Times. And if things don't work    out just take ano...
12/07/2024

*Life is like a Camera focus on what's important.*

*Capture the good Times. And if things don't work out just take another shot.*

* *LifeofJN*

Eti Shabiki wa Timu gani ameshika ilo jiwe?Yanga au SimbaDrop comment yako hapa na mtag tumjue🫵🏻💪🏻👇🏻Follow | Like | shar...
20/04/2024

Eti Shabiki wa Timu gani ameshika ilo jiwe?
Yanga au Simba
Drop comment yako hapa na mtag tumjue🫵🏻💪🏻👇🏻

Follow | Like | share | save📥




Shukrani BASATA TANZANIA na BODI YA FILAMU TANZANIA.
17/04/2024

Shukrani BASATA TANZANIA na BODI YA FILAMU TANZANIA.

Tunawatakia Waislamu wote Ulimwenguni EID MUBARAK.Follow | Like | share | save📥
10/04/2024

Tunawatakia Waislamu wote Ulimwenguni EID MUBARAK.

Follow | Like | share | save📥



Ndugu yetu  anauliza.Kwanini huwa tunafanya kazi ambazo Hatujasoma Chuoni?Nani Alaumiwe? Kuna umuhimu wa Career Guidance...
04/04/2024

Ndugu yetu anauliza.
Kwanini huwa tunafanya kazi ambazo Hatujasoma Chuoni?
Nani Alaumiwe? Kuna umuhimu wa Career Guidance?
✍️
Cc

Kabla ya kuoa unatakiwa uwe unamililki nini?Follow | Like | share | save📥 ✍️
04/04/2024

Kabla ya kuoa unatakiwa uwe unamililki nini?
Follow | Like | share | save📥



✍️

Kheri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa Mtu wamaana kabisa kijana uliyeamua kujitoa na kupigania Talanta za wanavyuo 🙏🏻🫵🏻Ul...
04/04/2024

Kheri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa Mtu wamaana kabisa kijana uliyeamua kujitoa na kupigania Talanta za wanavyuo 🙏🏻🫵🏻
Uliamini kwenye kutenda bila kuchoka na kuwa daraja kwa wengine wenye vipaji na leo hii umeongeza mwaka mwingine wa mafanikio 🙏🏻🎂
Sisi k**a Familia ya Uni media na Uni Awards tunatumia Lugha ya kigeni kukutakia kheri ya siku hii kubwa kwako 😁 basi tunasema HAPPY BIRTHDAY CODE DREEZ 🎥
Voice : Jitahidi kunywa maji mengi

Msemaji wa Team Gani Anakuvutia kazi yake?Follow | Like | share | save📥 ✍️
03/04/2024

Msemaji wa Team Gani Anakuvutia kazi yake?
Follow | Like | share | save📥



✍️

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when University Media Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to University Media Tanzania:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share