Glory Sportslady Tz

Glory Sportslady Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Glory Sportslady Tz, Media/News Company, Dar es Salaam.

12/07/2022

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE 12.07.2022

Mtendaji mkuu wa Manchester United Richard Arnold na mkurugenzi wa ufundi John Murtough wako Barcelona kujaribu kukamilisha usajili wa kiungo Frenkie de Jong, 25. (Manchester Evening News)

Kiungo wa Leicester City Youri Tielemans, 25, na kiungo wa Wolves Ruben Neves, 25, wanasakwa na Manchester United iwapo watashindwa kumnasa De Jong. (Talksport)

Barcelona imekubali kutoa ada wanayotaka Leeds United ya £65m kwa ajili ya kiungo Raphinha, 25, na kipaumbele cha sasa cha klabu hiyo ya Hispania ni kumuuza De Jong kwenda Manchester United. (Mirror)

Chelsea inaonekana iko nyuma ya Barcelona kwa sasa kwenye mbio za kumsaka Raphinha ambapo badala yake "the Blues" huenda wakamgeukia winga wa Bayern Munich Serge Gnabry. (Mail)

Mkataba wa mshambuliaji Ousmane Dembele pale Barcelona umeisha, lakini nyota huyo mwenye miaka 25 anatarajia kusaini mkataba mpya kusalia Nou Camp utakaokwenda mpaka 2024. (Marca)

Wolves imekataa ofa ya £25m kwa ajili ya kiungo muingereza Morgan Gibbs-White, 22, kutoka Everton. (Mail)

Fulham iko kwenye mazungumzo na Tottenham kuhusu usajili wa mlinzi wa Wales Joe Rodon, 24. (Football Insider)

Fulham wako katika hatua za mwisho za kumsajili mlinzi Kevin Mbabu, 27, kutoka Wolfsburg ya Ujerumani kwa dau linalofikia £5m. (Evening Standard)

Prepared by

11/07/2022

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 11.07.2022

Bayern Munich inamsaka mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 28, k**a mbadala wa Robert Lewandowski, 33 kutoka Poland anayetaka kuachana na mabingwa hao wa Bundesliga msimu huu. (Kicker - in German)

Chelsea na Paris St-Germain nazo zitaingia kwenye mbio za kutaka saini ya Lewandowski k**a itashindikana kujiunga na Barcelona. (Mail)

Barcelona wanaamini watamsajili kiungo Bernardo Silva, 27, kutoka Manchester City. (Mundo Deportivo - in Spanish)

Meneja wa Chelsea Thomas Tuchel ameweka ngumu mshambuliaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo, 37, kutua Stamford Bridge msimu huu. (Mail)

West Ham imeelekeza macho yake kwa winga wa Roma Justin Kluivert, 23, baada ya kumkosa Arnaut Danjuma, 25 wa Villareall. (Gazzetta dello Sport - in Italian)

Chelsea wanajiandaa kukubaliana na ada wanayotaka Napoli ya £34m kwa ajili ya mlinzi wake wa kati raia wa Senegal Kalidou Koulibaly, 31. (Corriere dello Sport, via Sun)

Hata hivyo, Juventus wanatarajia kupata fedha za kuwezesha usajili wa Koulibaly kutokana na ada ya £90m wanayotarajia kupata kwa kumuuza mlinzi mholanzi Matthijs de Ligt, 22 anayesakwa na Bayern Munich na Chelsea. (Tuttosport - in Italian)

Everton wanatarajia kumpa mkataba mpya kipa wake wa England Jordan Pickford, 28. (Liverpool Echo)

Arsenal iko kwenye mazungumzo na Benfica baada ya kupeleka ofa ya £6.4m kwa ajili ya kumsajili beki wa kushoto mhispania Alex Grimaldo, 26. (Express)

Manchester City itasajili beki mpya wa kati msimu huu k**a mlinzi Nathan Ake, 27, atajiunga na Chelsea. (Fabrizio Romano)

Arsenal na Newcastle zinamtaka kiungo mshambuliaji wa Lyon na Brazil Lucas Paqueta lakini ada ya 65m Euro inayotakiwa na wafaransa hao kwa ajili ya nyota huyo mwenye miaka 24 inaonekana ni maji marefu. (CBS Sports)

Chelsea inataka £7m kutoka kwa Barcelona kwa ajili ya mlinzi wake Cesar Azpilicueta, 32, ambaye ameshakubaliana kuhusu maslahi binafsi na klabu hiyo ya Catalan. (Evening Standard)

Arsenal inachuana na Manchester United katika harakati za kumsajili kiungo wa Chelsea N'Golo Kante, 31. (Express)

Prepared by

30/03/2022
20/03/2022

RATIBA YA SOKA LEO JUMAPILI.

ENGLAND: Premier League
17:00 Leicester vs Brentford
19:30 Tottenham vs West Ham

FRANCE: Ligue 1
15:00 Monaco vs Paris SG
17:00 Angers vs Brest
17:00 Bordeaux vs Montpellier
17:00 Lorient vs Strasbourg
19:00 Rennes vs Metz
19:05 Reims vs Lyon
22:45 Marseille vs Nice

GERMANY: Bundesliga
17:30 RB Leipzig vs Eintracht Frankfurt
19:30 Wolfsburg vs Bayer Leverkusen
21:30 FC Koln - Dortmund

ITALY: Serie A
14:30 Venezia vs Sampdoria
17:00 Empoli vs Verona
17:00 Juventus vs Salernitana
20:00 AS Roma vs Lazio
22:45 Bologna vs Atalanta

NETHERLANDS: Eredivisie
14:15 Utrecht vs Groningen
16:30 Ajax vs Feyenoord
18:45 PSV vs Sittard
18:45 Vitesse vs Waalwijk
22:00 Willem II vs AZ Alkmaar

SPAIN: LaLiga
16:00 Espanyol vs Mallorca
18:15 Cadiz CF vs Villarreal
18:15 Celta Vigo vs
Betis
20:30 Sevilla vs Real Sociedad
23:00 Real Madrid vs Barcelona

AFRICA: CAF Confederation Cup
16:00 Al Masry (Egy) vs Cotonsport (Cmr)
16:00 Zanaco (Zam) vs CS Sfaxien (Tun)
19:00 Al-Ittihad (Lby) vs Royal Leopards (Esw)
19:00 ASEC Mimosas (Ivo) vs Simba (Tan)
19:00 Otoho d'Oyo (Con) vs Mazembe (Drc)
19:00 US Gendarmerie (Nig) vs Berkane (Mar)
22:00 Al Ahly Tripoli (Lby) vs Pyramids (Egy)
22:00 Saoura (Alg) vs Orlando Pirates (Rsa)

BELGIUM: Jupiler Pro League
15:30 Club Brugge KV vs Genk
18:00 Kortrijk vs St. Liege
20:30 Gent vs Anderlecht
23:00 St. Truiden vs Beerschot VA

ENGLAND: Championship
15:30 QPR vs Peterborough

ENGLAND: FA Cup
15:30 Crystal Palace vs Everton
18:00 Southampton vs Manchester City
21:00 Nottingham vs Liverpool

KENYA: Premier League
15:00 Leopards vs Police FC

RWANDA: Premier League
16:00 APR vs Rutsiro
16:00 Bugesera FC vs Marines
16:00 Espoir vs Gasogi United
16:00 Etincelles vs Gorilla
16:00 Gicumbi vs Police
16:00 Musanze vs AS Kigali

TURKEY: Super Lig
15:30 Antalyaspor vs Giresunspor
17:30 Sivasspor vsAltay
19:00 Gaziantep vs Galatasaray
21:00 Fenerbahce vs Konyaspor

ZAMBIA: Super League
14:00 Kafue Celtic vs Nkwazi
16:00 Green Buffaloes FC vs Nkana

Prepared by

17/09/2021
19/08/2021

Mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.💔🙏🏽

19/02/2021
05/06/2020

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA IJUMAA 05.06.2020

Beki wa kushoto wa England Ben Chilwell 23, anashawishiwa na kujiunga na Chelsea baadae msimu huu lakini bado hajaomba kuondoka Leicester City . (Mirror)
Liverpool haitapambana na Chelsea kwa ajili ya kupata sahihi ya Timo Werner wakati mshambuliaji huyo,24, anayekipiga RB Leipzig yuko kwenye mpango wa kuelekea Stamford Bridge. (Evening Standard)
Tottenham wanamsubiri mchezaji wa nafasi ya ulinzi, Jan Vertonghen,33, kuamua k**a ataendelea kubaki mpaka msimu utakapomalizika au ataondoka kabla msimu kuisha (Sky Sports)
Kiungo wa kati wa Newcastle Matty Longstaff hajakuwa mazoezini wiki hii wakati kukiwa hakuna uhakika kuhusu mustakabali wake kwenye klabu hiyo, huku klabu ya Udinese ya Serie A ikiripotiwa kutoa ofay a mshahara wa pauni 30,000 kwa wiki kwa mchezaji huyo, 20, ambaye mkataba wake utakwisha msimu huu. (Mail)
Manchester City wanatarajia kuanza mazungumzo na mchezaji wa nafasi ya ulinzi Mhispania Eric Garcia huku klabu yake ya zamani Barcelona ikimtaka mchezaji huyo. (Mail)
Manchester United wanajiandaa kutoa mkataba mpya kwa mchezaji wa nafasi ya ulinzi Brandon Williams ukiwa na marekebisho katika mshahara wake wa sasa wa pauni 40,000 kwa wiki, baada ya kufanya kazi nzuri msimu huu. (Athletic)
Arsenal wanaweza kuwa tayari kumuuza mchezaji wa nafasi ya ulinzi Kieran Tierney,23, kwa Leicester City, miezi 12 tu baada ya kuhamia Emirate(Express)
Kocha wa England Gareth Southgate hatahudhuria michezo ya ligi ya primia msimu utakapoanza kwa kuwa anahisi kuwa uwepo wake kwenye viwanja hauna umuhimu. (Star)

Prepared by

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Glory Sportslady Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share