27/06/2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Watanzania wasipotoshwe kuhusu deni la serikali na ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu deni hilo amezungumza hayo wakati akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Dodoma , leo tarehe 27 Juni, 2025.
Tufuatilie kwa taarifa zaidi