Meddy mbumba Media

Meddy mbumba Media Habari, Burudani, Michezo na story

Jioni ya leo   amefunguka sababu za kutoshirikiana Kwa wasanii wa Mbeya kwenye sanaa ya Muziki wa Bongo Fleva na HipPop....
23/11/2021

Jioni ya leo amefunguka sababu za kutoshirikiana Kwa wasanii wa Mbeya kwenye sanaa ya Muziki wa Bongo Fleva na HipPop.
Alipo kuwa anafanya Interview katika kituo cha RADIO cha WASAFIfm

Lakini pia amewaambia shabiki zake na wana mbeya kuwΓ  kwasasa Yupo mbioni kutoa Kolabo na msanii

Gusa link ku follow ukurasa wetu wa Instagram
https://www.instagram.com/meddy_mbumba/feed/

Harmonize Anapenda watoto wa Gym GymπŸ˜‚ Sema Huyu  Ndio wanaendana Sasa Na HarmonizeπŸ™ŒπŸΏπŸ˜‚πŸ˜‚ Au wewe unasemajeGusa link ku fol...
23/11/2021

Harmonize Anapenda watoto wa Gym GymπŸ˜‚ Sema Huyu Ndio wanaendana Sasa Na HarmonizeπŸ™ŒπŸΏπŸ˜‚πŸ˜‚ Au wewe unasemaje

Gusa link ku follow ukurasa wetu wa Instagram
https://www.instagram.com/meddy_mbumba/feed/

  amempost  , ikiwa ni siku 2 zimepita tangu   afanye mahojiano ya kuelezea jinsi alivyoondoka WCB.
20/11/2021

amempost , ikiwa ni siku 2 zimepita tangu afanye mahojiano ya kuelezea jinsi alivyoondoka WCB.

Leo Nisiku ya Kuzaliwa kwa Producer wa WCB    Happy birthday to you big brother
17/11/2021

Leo Nisiku ya Kuzaliwa kwa Producer wa WCB

Happy birthday to you big brother

 Awalalamikia wasanii wakubwa wa Tz Ambao wanawapa support kubwa wasanii wanjee Kuliko wasanii wa nchi Yao β€¦πŸ™ƒJAMBO HILI ...
17/11/2021

Awalalamikia wasanii wakubwa wa Tz Ambao wanawapa support kubwa wasanii wanjee Kuliko wasanii wa nchi Yao β€¦πŸ™ƒ

JAMBO HILI UNALIONAJE NA WEWE TUPE MTAZAMO WAKO

Tupia jina la sehem anayokaa  X wako tufanye vituuπŸ˜ŒπŸ˜‚πŸ˜…
16/11/2021

Tupia jina la sehem anayokaa X wako tufanye vituuπŸ˜ŒπŸ˜‚πŸ˜…

πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€”πŸ€”
16/11/2021

πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€”πŸ€”

kwa mwaka 2021 mpakaaa sasa harmo akuna aliko mzidi rayvanny Tuanziee kwenye kukuza msanii kwa macvoice na ibraah ,rayva...
13/11/2021

kwa mwaka 2021 mpakaaa sasa harmo akuna aliko mzidi rayvanny

Tuanziee kwenye kukuza msanii kwa macvoice na ibraah ,rayvanny ameweza kumpandisha macvoice kimataifa mpaka kafika kwenye tuzo kubwa africa na ibraah miaka miwili akiwa na tuzo ya Efm πŸ™ˆπŸ€­πŸ˜‚ pia mpaka sasa macvoice kampita stream ibrahim na anjela wake kwenye mauzo ya Ep kwenye platform za kuuzia Audio πŸ™ŒπŸ™Œ

Tuje kwa mwaka huu rayvanny ndo msanii wa kwanza kupafomu kwenye show kubwaa duniani inayofanyika MTVEMA na wasanii wakali Duniani πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ pia ameweza kuombwa kolabo na msanii mkubwa duniani ambae ni maluma msani ambae hadi billboard anajulikana na anajina kubwa duniani πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Chakumalizia ningekuwa harmo huyu ibrahim nngempeleka tu kulima korosho ana msaada msanii hasara sjaona k**a huyooo miaka miwili kwenye game tuzo eti ya EFM πŸ™ˆπŸ˜‚πŸ€­πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

05/11/2021
Richa Ya Kutajwa Kwenye Tuzo Mbalimbali K**a Mshiriki Kwenye Vipengele Kadhaa  Amekanusha Nominations Hizo Huku Akikazia...
04/11/2021

Richa Ya Kutajwa Kwenye Tuzo Mbalimbali K**a Mshiriki Kwenye Vipengele Kadhaa Amekanusha Nominations Hizo Huku Akikazia Kuwa Mashabiki Zake Wasijisumbue Kumpigia Kura Maana Hajachaguliwa Popote
-
-
Kupitia Insta Story Yake Ameandika Ujumbe Ambao Tafsiri Yake Ni Kuwa Hajachaguliwa Kwenye Tuzo Zozote Zile Hivyo Mashabiki Zake Wasipoteze Bando Zao Kupiga Kura.

πŸ’˜       😍Follow, Like, Comment na Share na rafiki zako
04/11/2021

πŸ’˜

😍


Follow, Like, Comment na Share na rafiki zako

Star wa Bongofleva Enock Bella Amefunguka Juu ya Kua na Matamanio K**a Aliyo Kua Nayo Star wa Bongofleva Mbosso Kutokea ...
04/11/2021

Star wa Bongofleva Enock Bella Amefunguka Juu ya Kua na Matamanio K**a Aliyo Kua Nayo Star wa Bongofleva Mbosso Kutokea Kundi la WCB Wasafi.

Enock Bellah Amesema:- "Mimi Wivu Wangu Natamani Kufanya Vitu Vile Vile K**a Anavyo Fanyiwa Mbosso Kwenye Management Yake"

Ikumbukwe Kua, Mbosso Kabla Hajajiunga na WCB Wasafi, Mbosso Alitoke Kundi la Yamoto Band Akiwemo na Enock Bella.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Meddy mbumba Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share