Mrr BARO

Mrr BARO Mr BARO is:
Journalist
Content creator
Teacher
Founder of BARO TV
☎️+255758619451

14/08/2026

Chris brown ameanguka kwenye stage na kujifanya k**a akujatokea chochote

14/08/2026

CARDI B alewa mpaka ameshindwa kutembea

14/08/2026

Jama akusanya hela za kutosha kisa kufanana na diamond

14/08/2026

Rayvanny machawa wa DR CONGO 🇨🇩 wamsifia mpaka amepagawa

14/08/2026

Harmonize aishiwi matukio

14/08/2026

Harmonize aachia nyimbo mpya kwenye album yake

14/08/2026

Kiukweli huyu jama anapambana kwaajili ya muziki wa burundi 🇧🇮

14/08/2026

Harmonize amefanya hili zanzibar

Msanii Tanasha Donna amekutana na Mama Dangote pamoja na mtoto wake, Naseeb Jr, katika tukio lililowakutanisha watu hao....
14/08/2026

Msanii Tanasha Donna amekutana na Mama Dangote pamoja na mtoto wake, Naseeb Jr, katika tukio lililowakutanisha watu hao.

Tanasha na Mama Dangote wameonekana wakiwa pamoja katika picha, huku Naseeb Jr akiwa sehemu ya tukio hilo na kuonyesha ukaribu wa kifamilia.

Kukuta huko jumeibua hisia mbalimbali kwa mashabiki, hasa kutokana na historia ya Tanasha na familia ya Diamond Platnumz.

Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na Maimatha, Diamond Platnumz na producer wake wa muziki S2kizzy wanadaiwa kuwa wamegom...
14/08/2026

Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na Maimatha, Diamond Platnumz na producer wake wa muziki S2kizzy wanadaiwa kuwa wamegombana.

Maimatha anadai kuwa chanzo cha sintofahamu hiyo ni suala la “michupuko” ya Diamond, akidai kuwa S2kizzy amekuwa akitoka na watu ambao Diamond amewahi kuwa nao, jambo ambalo linadaiwa kumkera Diamond.

Madai hayo yanaenda mbali zaidi yakisema kuwa baada ya Diamond kugundua jambo hilo, wawili hao waligombana na kufikia hatua ya S2kizzy kufuta picha zote alizowahi kupiga pamoja na Diamond kwenye mitandao ya kijamii.

Baada ya kusikia madai hayo, Maimatha anasema alimpigia simu S2kizzy ili kutaka kujua ukweli wa suala hilo.

Hata hivyo, kwa njia ya simu, S2kizzy amekanusha madai hayo, akimweleza Maimatha kuwa hakuna jambo k**a hilo na kwamba taarifa hizo hazina ukweli wowote.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mrr BARO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share