
23/07/2025
KOCHA WA BOLI ATUA KWA WANANCHI
Anaitwa Romain Folz (35) Kocha mpya wa Yanga,ambae alizaliwa Bordeaux,Ufaransa 🇫🇷
amefundisha klabu mbalimbali
✅ 2025 Alikuwa Mkurugenzi wa michezo wa Olympique Akbou ya Algeria 🇩🇿
✅ 2024 Alikuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundown ya South Africa 🇿🇦
✅ 2023 Alikuwa kocha mkuu wa Horoya ya Guinea 🇬🇳
✅ 2022 Alikuwa kocha mkuu wa Amazulu ya South Africa 🇿🇦
✅ 2021 Alikuwa kocha Mkuu wa Township Rollers ya Botswana 🇧🇼
✅ 2019 Alikuwa kocha Msaidizi wa Pyramid ya Egypt 🇪🇬
✅ 2018 Alikuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Uganda 🇺🇬
Huyu kocha ana UEFA Pro Licence na Pro Licence ya CONMEBOL