14/07/2022
Njia 10 za kutengeneza Pesa Kiurahisi Kupiatia E- Book za Baking.
1. Unaweza kufungua Bekari ya Mikate na Scons,
2. Unaweza Kufungua Bekari ya Keki, Birthday, Harusi,
Graduation etc
3. Unaweza kutengeneza vitafunwa tu k**a chapati, sambusa,
maandazi, kabab etc na ku supply maofisini au kuuza mitaani
4. Unaweza ku pack keki ndogo ndogo na kusambaza na kuuza
supermarket
5. Unaweza kupack Cookies na Kusambaza madukani na
supermarkets
6. Unaweza kufungua kioski cha Burger na Pizza,
7. Unaweza kuwa na side husle k**a “Dei Waka” wa kupamba
keki za harusi
8. Unaweza kuajiriwa full time katika Bekari au Hotel k**a Chef
wa Mikate, Bites, Snacks, Keki etc
9. Unaweza kufundisha watu wengine ku bake,
10. Unaweza kuwa Hodari wa Kutengeneza Maua ya Fondant na
Gumpaste, Pamoja na Cake Dolls na kuuzia baker wa Keki za harusi
Katika hali ya kawaida utahitaji kuwa na mda wa kutosha pamoja na pesa nyingi sana kupata ujuzi wa kuanzisha biashara yoyote kati ya hizo zilizotajwa.
Na ukishaenda "kozi" huko utafundishwa kivitendo kuoka kitu kimoja tu na mara moja tu kwa mda mrefu sana na kwa hela nyingi sana.
Lakini sasa sio lazima uharibu pesa zako na mda wako kujifunza baking skills kwani unaweza kujifunza skills zifuatazo ukiwa nyumbani kwako kupitia E-Book kwenye simu yako. Agiza sasa Vitabu vifuatavyo na utavipata mara moja kupitia smart phone yako
1. Kitabu (E-Book) cha Ku Bake keki k**a vile za Vanilla,
Chocolate, Red Velvet etc
2. Kitabu (E-Book) cha Kupamba keki kwa Fondant na
Buttercream
3. Kitabu (E-Book) cha Kutengeneza Cookies
4. Kitabu (E-Book) cha Kupika Mikate na Scons
5. Kitabu (E-Book) cha Kutengeneza na Kupamba Keki Kubwa, za
Ngazi za Harusi (Giant Cakes)
6. Kitabu (E-Book) cha Kutengeneza Vitafunwa (Chapati,
Sambusa, Maandazi, Egg Chop )etc
7. Kitabu (E-Book) cha Snacks( Burger, Pizza, Pie, Croissant)
8. Kitabu (E-Book) cha Ku kupamba keki za maumbo mbalimbali
9. Kitabu (e-Book) cha Kutengeneza Maua ya Fondant na
Gumpaste
Vitabu vyote vipo kwenye punguzo la asilimia 50% la bei. Kila kitabu kimoja kinagharimu (Bei) Ksh 250/- kasoro kitabu namba 5 ambacho sasa ni ksh 500/- kutoka Ksh 1,000/-. Punguzo hili ni la mda tu.