Bongo brush

Bongo brush WELCOME TO BRASH TV

05/10/2025

Jamani hiki sio kicheko πŸ˜‚

05/10/2025

Nani ni nani

05/10/2025

Noma

  Diva the bawse amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusema kuwa hajawahi kutumia choo cha shimo na hawezi ...
05/10/2025


Diva the bawse amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusema kuwa hajawahi kutumia choo cha shimo na hawezi kujisaidia kwenye choo cha shimo.

''Unajua mimi sijawahi kuona bafu la choo shimo unaona hivi kila kitu unajua mimi nimeishi mjini maisha yangu yote ''
Alisema "Diva the Bawse"

  Mtangazaji wa wasafi Diva the Bawse ameweka wazi kuwa hawezi kuolewa na mwanaume asiyejua kuongea kingereza vizuri.'Ha...
05/10/2025


Mtangazaji wa wasafi Diva the Bawse ameweka wazi kuwa hawezi kuolewa na mwanaume asiyejua kuongea kingereza vizuri.

'Hamna kitu sikipendi mwanaume asiyejua kingereza na sipendi mtu anayetamka kingereza vizuri hamna kitu kinachoboa k**a mtu anamuonekano mzuri alafu anatamka kingereza vibaya '' Alisema -Diva the Bawse

Je ni yapii Maoni yako juu ya kauli hii ya Diva?

Toa maoni yako πŸ‘‡πŸΎ

Mimi mpaka kesho nampenda Ali, siyo Kwa sababu ni Staa, hapana, nilijikuta tu nampenda hata yeye analijua Hilo.Kuna siku...
05/10/2025

Mimi mpaka kesho nampenda Ali, siyo Kwa sababu ni Staa, hapana, nilijikuta tu nampenda hata yeye analijua Hilo.

Kuna siku nililipia room aje hotel tuenjoy, akaniambia Yuko mazoezini akimaliza atakuja, nilimsubiri mpaka Giza lika ingia lakini hakutokea, nilimpigia simu tena na tena akawa hapokei, ilibidi nilale pale pale hotelini lakini usiku kucha sikupata usingizi.

Kesho yake asubuhi alikuwa mtu wakwanza kunitafuta aliniomba sana msamaha, Kwa vile the bawse napenda kubembelezwa nikamsamehe Ali, but it was a bad day

Diva the bawse mtangazaji wa wasafi Media

Toa maoni yako πŸ‘‡πŸΎ

  Ikiwa jana ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa bosi wake wa zamani Diamond Tumeona Lava lava amemuwish happy birthday bosi w...
04/10/2025


Ikiwa jana ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa bosi wake wa zamani Diamond Tumeona Lava lava amemuwish happy birthday bosi wake wa zamani ila kwa upande wa Mbosso hakutaka kabisa kumtakia hata heri ya kuzaliwa ni kwamba ugomvi wao bado unaendelea kuna chuki ndani yao au?

Ila ikumbukwe leo ni Birthday ya Mbosso ngoja tuone yatakayojiri.

Toa maoni yako πŸ‘‡πŸΎπŸ”₯

Tobaaaaaaaa!"Maswali Yanayo husu yule mwanamke Kwa Sasa huwa sitaki kuyajibu, Mimi nikisha malizana na mtu huwa sirudi n...
04/10/2025

Tobaaaaaaaa!
"Maswali Yanayo husu yule mwanamke Kwa Sasa huwa sitaki kuyajibu, Mimi nikisha malizana na mtu huwa sirudi nyuma, mwanamke siku ya kwanza tu kuonana naye nilimvua chupi ofisini kwake Sasa huoni Mimi ni levo kubwa kuzidi yeye,,Kaka, tuachane na hizo mada niulize kuhusu mama mitano tena, na tarehe 29 tuna tikiiii"

Sheikh abdullazack aliye wahi kuwa mume wa Diva.

Mrembo Poshy Queen yupo tayari kwaajili ya ndoa usiku huuNeno Moja kwa kwake πŸ˜‚πŸ˜‚
04/10/2025

Mrembo Poshy Queen yupo tayari kwaajili ya ndoa usiku huu
Neno Moja kwa kwake πŸ˜‚πŸ˜‚

Kocha anaonekana ni mtu WA vitu sana tutegemee kupishana nae maeneo yetu πŸ˜‚πŸ˜‚
04/10/2025

Kocha anaonekana ni mtu WA vitu sana tutegemee kupishana nae maeneo yetu πŸ˜‚πŸ˜‚

  Star wa muziki kutokea wcb, Zuchu amezidi kuutangaza Mziki wake kwa kuandika historia kimataifa baada ya kutajwa Kweny...
04/10/2025


Star wa muziki kutokea wcb, Zuchu amezidi kuutangaza Mziki wake kwa kuandika historia kimataifa baada ya kutajwa Kwenye jarida maarufu la muziki Billboard kwenye orodha ya β€œSeptember Reggae/Dancehall Fresh Picks of the Month”.

Billboard imemtaja Msanii Zuchu kupitia wimbo wake amandaremix
aliofanya na Queen Of Dance Hall ,Rapa , hii itaweza kumuinua na kuweza kumpatia nafasi kubwa ya kuonekana kwenye muziki duniani.

Toa maoni yako πŸ‘‡πŸΎπŸ”₯

Address

Goba
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo brush posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share