Ommy Ky

Ommy Ky Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ommy Ky, Digital creator, Dar es Salaam.

13/12/2025
Usiogope kuchekwa kwenye kutafuta 😎😎😎πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
20/01/2023

Usiogope kuchekwa kwenye kutafuta 😎😎😎πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

25/12/2020

Heri ya sikukuu ya Krismasi kwa Wanasimba wote πŸŽ„

β€”

Merry Christmas to all Simba fans πŸŽ„

07/12/2020
29/11/2020

Baada ya mchezo wa na kuibuka na ushindi kikosi cha wawakilishi wa nchi KIMATAIFA kesho jumatatu kitaanza safari kurudi Tanzania kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi Plateau United.

Safari itaanza alfajiri kutoka Jos hadi Abuja, mchana kikosi kitaondoka Abuja kwenda Addis Ababa, Ethiopia ambapo kitafika usiku na kupumzika hapo. Kikosi kitatua Tanzania (uwanja wa ndege wa Kilimanjaro) siku ya jumanne saa 10:00 jioni.

23/11/2020

Hii ni orodha ya wachezaji 24 ambao watakuwa kwenye kikosi ambacho kesho jumanne Novemba 24, 2020 kitaondoka nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwenda Nigeria kwa kupitia Ethiopia. Safari itaanza saa 11:45 jioni na kufika usiku jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo kikosi kitapumzika mjini hapo na kuendelea na safari ya kwenda Abuja, Nigeria siku ya jumatano asubuhi.

--
Here’s the list of 24 players that have been included in the squad travelling on tuesday November 24, 2020. The squad will depart through Kilimanjaro International Airport for their trip to Nigeria via Ethiopia. The journey will begin at 5:45 pm and arrive in Addis Ababa, Ethiopia where the squad will rest for the night and begin the final leg of their trip the next day to Abuja, Nigeria in the morning.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ommy Ky posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share