Wallenivo

Wallenivo Sports and Entertainment

14/01/2025
TAARIFA KWA UMMABasi la timu ya JKT Tanzania FC likiwa na wachezaji, benchi la ufundi na wafanyakazi wengine wa timu, li...
27/10/2024

TAARIFA KWA UMMA
Basi la timu ya JKT Tanzania FC likiwa na wachezaji, benchi la ufundi na wafanyakazi wengine wa timu, likitokea Dodoma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Dodoma Jiji, limepata ajali na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine waliokuwemo kwenye basi hilo.
Basi hilo likiendeshwa na MT 92327 Cpl Hassani Bakari Darajani, limepata ajali 27 October 2024, saa 1:00 asubuhi eneo la Mbweni baada ya kuacha njia na kuanguka mtaroni.
Baadhi ya wachezaji waliopata maumivu na wako chini ya
uangalizi wa madaktari ni Dany Lyanga, John Bocco, Salum Gado na Gamba Matiko.
HAM
Wengine ni Said Ndemla, Yakoub Suleiman, Hassan Dilunga, Maka Edward, Hassan Kapalata, Hassan Machezo na Mohamed Bakari.
JKT
717
IL CLUB
Tunawaombea wachezaji hawa wapate nafuu na kurejea katika afya yao ya kawaida.
Imeandaliwa na;

Afisa Mtendaji Mkuu (CEO)
JKT Tanzania FC
Jemedari Said Kazumari

Half TIME 90COASTAL UNION 0 : 1 YANGA SCUMEKIONAJE KIPINDI CHA KWANZA?
26/10/2024

Half TIME 90

COASTAL UNION 0 : 1 YANGA SC

UMEKIONAJE KIPINDI CHA KWANZA?

Klabu ya Namungo imemtangaza rasmi Juma Mgunda kuwa kocha mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera ambaye kw...
23/10/2024

Klabu ya Namungo imemtangaza rasmi Juma Mgunda kuwa kocha mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera ambaye kwasasa amebadilishiwa majukumu yeye atakuwa mashauri wa benchi la Ufundi.

Klabu ya Simba Sc leo hii itashuka dimbani kukipiga dhidhi ya Tanzania Prisons, ikiwa ni muendelezo wa michuano ya NBC P...
22/10/2024

Klabu ya Simba Sc leo hii itashuka dimbani kukipiga dhidhi ya Tanzania Prisons, ikiwa ni muendelezo wa michuano ya NBC Primer League.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezeka majira ya saa 10 jioni katika dimba la Sokoine Stadium.

Je unaiona Simba ikishinda mchezo wa leo ?

Kikosi cha DRC Congo kimeanza safari ya kuja Tanzania kwaajili ya Mchezo wa marudiano dhidi ya Timu ya Taifa ya Tanzania...
13/10/2024

Kikosi cha DRC Congo kimeanza safari ya kuja Tanzania kwaajili ya Mchezo wa marudiano dhidi ya Timu ya Taifa ya Tanzania ( TAIFA STARS) Utakao chezeka October 15.

Ikumbukwe Kuwa Mchezo wa kwanza DRC Congo ilifanikiwa kupata ushindi wa goli moja dhidi ya Taifa Stars.



Ni kipa yupi unatamani adake mechi ya Derby ya tarehe 19 kati ya Simba Sc dhidhi ya Yanga?...….......
13/10/2024

Ni kipa yupi unatamani adake mechi ya Derby ya tarehe 19 kati ya Simba Sc dhidhi ya Yanga?...….......

Kikosi cha Timi ya Taifa ( Taifa Stars) jioni ya leo kimeanza safari ya kuelekea Nchini DRC CONGO kwaajili ya Mchezo wao...
08/10/2024

Kikosi cha Timi ya Taifa ( Taifa Stars) jioni ya leo kimeanza safari ya kuelekea Nchini DRC CONGO kwaajili ya Mchezo wao dhidi ya Congo utakao chezeka tarehe 10/10/2024

Mchezaji wa simba Jean Charles Ahoua amekabishiwa hundi ya shilingi milioni moja ( 1000,000 ) k**a zawadi ya tuzo kwakuf...
26/09/2024

Mchezaji wa simba Jean Charles Ahoua amekabishiwa hundi ya shilingi milioni moja ( 1000,000 ) k**a zawadi ya tuzo kwakufanikiwa kuwa mchezaji bora wa Mwezi.

📸

Kikosi cha Simba Sc  kitaondoka jumatano alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa kombe la shirikisho ...
10/09/2024

Kikosi cha Simba Sc kitaondoka jumatano alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa kombe la shirikisho Afrika dhidhi ya Al Ahly Tripoli utakao chezeka September 15.

Kikosi cha Simba kitaondoka na msafara wa watu 50 .

Mshambuliaji wa Portugal Cristiano Ronaldo amefikisha Jumla ya magoli 901 leo hii , ni mara baada ya kushinda katika mch...
08/09/2024

Mshambuliaji wa Portugal Cristiano Ronaldo amefikisha Jumla ya magoli 901 leo hii , ni mara baada ya kushinda katika mchezo wa leo dhidi ya Scotland.

Mchezo huo umemalizika Portugal akiibuka na ushindi wa magoli 2- 1 dhidhi ya Scotland .

JE Ronaldo ataivunja historia ya Pele kufikisha mabao 1000 ?

Kikosi cha DRC CONGO tayari kimeshawasili nchini kwaajili ya Mchezo wao dhidhi ya Ethiopia,- Mchezo huo unatarajiwa kuch...
08/09/2024

Kikosi cha DRC CONGO tayari kimeshawasili nchini kwaajili ya Mchezo wao dhidhi ya Ethiopia,

- Mchezo huo unatarajiwa kuchezeka hapo kesho majira ya saa 4:00 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa.

Address


Telephone

+255764551817

Website

https://youtube.com/c/Wallenivo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wallenivo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wallenivo:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share