Lolo Jikoni

Lolo Jikoni Simplifying Cooking and Home Management

03/01/2026

Ukifika kwa ndugu, jiko linakuhusu k**a mimi au nikuache wewe ni mgeni rasmi😂🙊

Viungo vya ni muhimu, uzuri hadi kijijini kabisa viungo hivi unavipata. Ni Royco Sotojo Cube na Royco Mchuzi Mix, ladha k**a zoteee👌🏼😋

mapishi yako,

Good Morning from this side☀️❤️Having some leftover Nyama Choma for breakfast☺️🙊
27/12/2025

Good Morning from this side☀️❤️
Having some leftover Nyama Choma for breakfast☺️🙊

24/12/2025

Najua mtakula nyama sana wiki hii basi unaweza badilisha mapishi kidogo na ukajaribu Tambi na Maini☺️. Hii kitu ni tamu aisee😋🙌🏽.

Jipatie Royco Sotojo Cubes na Mchuzi Mix mapemaaa, Ufurahie ladha tamu za chakula sikukuu hii

Maandalizi mema Wapendwa🎄❤️

Kachumbari ya Nanasi🍍Kata kitunguu na kukitoa ukali🍍Toa mbegu za nyanya ili kupunguza maji maji kwenye kachumbari🍍Kata n...
21/12/2025

Kachumbari ya Nanasi

🍍Kata kitunguu na kukitoa ukali
🍍Toa mbegu za nyanya ili kupunguza maji maji kwenye kachumbari
🍍Kata nanasi vipande vidogo vidogo
🍍Unaweza kuongeza pilipili hoho ukipenda
🍍Weka chumvi, limao na pilipili

Enjoyyyyy☺️👌🏼

12/12/2025

Wali huu unafahamika pia k**a Bhukari Rice au Kabuli Pilao au wengine tunaita tu Wali wa Karoti na Zabibu.

Pilau Paste kutoka kwa

08/12/2025

Supu ya Babaa 😍🙈
Unaweza ukatumia Royco Sotojo Cube kunogesha supu na michemsho ya aina zote

📌 Sotojo Cube ina chumvi tayari hivyo utaiweka kwanza kabla ya kuongeza chumvi zaidi. Enjoyy😊

17/11/2025

Hii nayo ni 10/10 minus nothing🥭💃💯
Spiced Mango Smoothie😋

Mahitaji:
Embe lililoiva
Tangawizi kidogo
Mdalalini - ¼ kijiko kidogo
Maziwa ½ kikombe (Mtindi au Fresh)
Asali (si lazima, ila inabalance utamu vizuri)

12/11/2025

Chakula kipi ni rahisi kwako kupika ukiwa na njaa kali?😅 ...Mimi ni tambi au kitu chochote cha kukaanga😊

Viungo:
• Curry Powder na Mixed Herbs kutoka
• Pilipili Manga
•Soysauce
• Vinegar/Ndimu/Limao

Mambo Wapendwa! Ratiba na Bajeti za mapishi ziliandaje hapo nyumbani kwako?Vitu vilipanda bei, magengeni vitu hakuna, mi...
04/11/2025

Mambo Wapendwa! Ratiba na Bajeti za mapishi ziliandaje hapo nyumbani kwako?

Vitu vilipanda bei, magengeni vitu hakuna, mikate hakuna tena madukani, gesi inauzwa hadi mara mbili ya gharama yake ya kawaida🙌

Kwangu mimi kitu kilichonisaidia zaidi ni BATCH COOKING..yaani kupika kwa mara moja kwa wingi na kuhifadhi.

Kwa mfano, vyakula k**a maharage, mchuzi wa nyama, kuku, mboga za majani, vitafunwa n.k. Ni vitu ambayo ukipika mara moja na kuhifadhi, inakupunguzia gharama sana.

All in all, Tushukuru kwa uhai, tuzidi kuombea amani, utulivu na upendo. Ndugu zetu tuliowapoteza, wapumzike kwa amani🙏.

We g*t this! 🇹🇿❤️

01/09/2025
A very Beetful Morning😊Beetroot, Watermelon & Ginger. So Good😋.... Best Served Cold😅💯
29/07/2025

A very Beetful Morning😊
Beetroot, Watermelon & Ginger. So Good😋.... Best Served Cold😅💯

Mbinguni itakuwaje?😊💃... Happy Sunday Wapendwa❤️
20/07/2025

Mbinguni itakuwaje?😊💃... Happy Sunday Wapendwa❤️

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lolo Jikoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share