Africa TV2 TZ

Africa TV2 TZ Link ya kujiunga Diploma ya Sharia ya Kiislam
https://africaacademy.com/sw/?page_id=4745&lang=sw

25/07/2025

“MKATABA WA NDOA NI MKATABA UNAOTAKIWA KUHESHIMIWA”

🎤SHEIKH OTHMAN SINGA
👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha"

30 Muharram 1447 Hijria | 25 Julai 2025 Mwenye kutaka kusalimika yeye, jamii yake na mazingira yake basi aifanyie islah ...
25/07/2025

30 Muharram 1447 Hijria | 25 Julai 2025

Mwenye kutaka kusalimika yeye, jamii yake na mazingira yake basi aifanyie islah (matengenezo) nafsi yake na asijitenge peke yake kwa ibada bali awaite wengine kwenye kheri na kutengamaa. Hili litazuia kushuka kwa adhabu na balaa za Allah kwa jamii nzima.

Kufanya wema ni sababu ya Allah kutoangamiza watu na kuwazidishia neema zake, kwani Allah si mwenye kudhulumu waja wake na watendao wema hawastahiki kulipwa isipokuwa wema.

24/07/2025

“WAMELAANIWA KWA WATAKAOLIFANYA HILI”

🎤SHEIKH OTHMAN SINGA
👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha"

29 Muharram 1447 Hijria | 24 Julai 2025 Mwenye kutaka kusalimika yeye, jamii yake na mazingira yake basi aifanyie islah ...
24/07/2025

29 Muharram 1447 Hijria | 24 Julai 2025

Mwenye kutaka kusalimika yeye, jamii yake na mazingira yake basi aifanyie islah (matengenezo) nafsi yake na asijitenge peke yake kwa ibada bali awaite wengine kwenye kheri na kutengamaa. Hili litazuia kushuka kwa adhabu na balaa za Allah kwa jamii nzima.

Kufanya wema ni sababu ya Allah kutoangamiza watu na kuwazidishia neema zake, kwani Allah si mwenye kudhulumu waja wake na watendao wema hawastahiki kulipwa isipokuwa wema.

23/07/2025

FAIDA YA KUTOA SWADAKA

🎤SHEIKH HASHIMU RUSAGANYA
👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha"

23/07/2025

“NI MAKOSA MAKUBWA MUISLAM KUYAFANYA HAYA”

🎤SHEIKH SALIM SHAMSI
👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha"

28 Muharram 1447 Hijria | 23 Julai 2025 Daawah ya Tauhidi ni eneo lililotiliwa umuhimu pamoja na kutangulizwa na manabii...
23/07/2025

28 Muharram 1447 Hijria | 23 Julai 2025

Daawah ya Tauhidi ni eneo lililotiliwa umuhimu pamoja na kutangulizwa na manabii wote na wafuasi wao (waumini), na haliwashugulishi jambo lolote au shida zozote zikawasahaulisha na wajibu huu, kuingia jela hakukumfanya Naboi Yusuf asahau daawah ya kumpwekesha Allah.

Kutumia hoja za kiakili katika Daawa kiujumla wake na katika Tauhidi kihususi ni miongoni mwa njia bora zaidi za kuwakinaisha wanaofanyiwa daawah.

22/07/2025

ASILIMIA 80 YA VIJANA TANZANIA WANATEGEMEA CONTENT ZA SOCIAL MEDIA ( MITANDAO YA KIJAMII )

🎤SHEIKH SHAMSI ELMY
👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha"

22/07/2025

“MUHUNI NI MTU MWENYE MAMBO HAYA MATATU”

🎤SHEIKH NURDEEN KISHKI
👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha"

27 Muharram 1447 Hijria | 22 Julai 2025 Nabii Yusuf aliwaambia vijana wawili alioingia nao jela akiwafanyia daawa ya kum...
22/07/2025

27 Muharram 1447 Hijria | 22 Julai 2025

Nabii Yusuf aliwaambia vijana wawili alioingia nao jela akiwafanyia daawa ya kumpwekesha Mola Wao, je miungu dhaifu isiyo na uwezo wa kunufaisha wala kudhuru, ni bora kuliko Allah ambaye ni mwenye nguvu na kila kitu kimetii amei yake?

Na tunajifunza usulubu na namna bora ya kufanya daawah kwa kuonyesha urafiki kwa wale tunaowafanyia daawah, kwank hilo ni miongoni mwa sababu za kukubaliwa yale tunayoyatangaza kwa wepesi zaidi.

🌍 "Unajifunza kukata miti kwa kukata miti." 🌴🗣️ Hekima ya Kibantu🔹 Maisha ni somo – na uzoefu ni mwalimu bora, ujuzi, he...
21/07/2025

🌍 "Unajifunza kukata miti kwa kukata miti." 🌴

🗣️ Hekima ya Kibantu

🔹 Maisha ni somo – na uzoefu ni mwalimu bora, ujuzi, hekima na busara havipatikani kwa kuangalia tu bila kutenda, kwa kutenda na kukosea ndiyo mtu anajifunza. Kufikiria sana bila kutenda hakuzalishi wenye hekiima.

📺 Tazama Africa TV Two kupitia Azam TV Channel No. 457
.

21/07/2025

“MWANAUME MUISLAM NI HARAM KUVAA DHAHABU”

🎤SHEIKH SHARIF ABDULQADIR AL-AHDAL
👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha"

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africa TV2 TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Africa TV2 TZ:

Share