Jambomediatz

Jambomediatz Pata habari za uhakika.

Designing
16/07/2026

Designing

Designing | Wiki ya Utumishi wa Umma
23/06/2026

Designing | Wiki ya Utumishi wa Umma

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inawatakia heri ya sikukuu ya Eid-Al-Adha waumini wa dini ya Kiislamu na Watanza...
27/05/2026

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inawatakia heri ya sikukuu ya Eid-Al-Adha waumini wa dini ya Kiislamu na Watanzania wote. Sikukuu hii ikawe yenye amani na furaha.

Eid Wishes Flyers Design!!!!!
27/05/2026

Eid Wishes Flyers Design!!!!!

📈Ripoti ya Hali ya Sekta ya Mawasiliano kwa kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2025/2026 (Januari - Machi) imeto...
26/05/2026

📈Ripoti ya Hali ya Sekta ya Mawasiliano kwa kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2025/2026 (Januari - Machi) imetoka. Ripoti hii inapatikana kwenye tovuti ya TCRA kupitia https://bit.ly/4gW6r2e au kupitia kiunganisho https://bit.ly/4nepmJM au skani kodi ya QR iliyopo kwenye bango.

📌Nakala kwa Lugha ya Kingereza (English version): https://bit.ly/4n8fAsq

Music Cover Design!!!!
24/05/2026

Music Cover Design!!!!

Poster Design!
14/04/2026

Poster Design!

Event Booth Design!
24/03/2026

Event Booth Design!

23/02/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Dkt. Rose Reuben, akisisitiza umuhimu wa vyombo vya habari kueneza maudhui yenye tija ili kuendelea kujenga jamii iliyowezeshwa na taarifa sahihi na muhimu.

Dkt. Rose alizungumza hayo wakati akichangia mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji (ABC), uliofanyika jijini Dodoma kuanzia tatehe 12 hadi 13 Februari, 2026.

Mkutano wa ABC 2026 umejadili kaulimbiu isemayo "Matumizi ya Teknolojia katika Kupanua na Kuboresha Huduma za Utangazaji Vijijini"; ikichokoza mchango wa fikra za wadau wa habari na utangazji kwa lengo la kuhamasisha uandaaji na uenezaji wa maudhui bora, yanayokidhi mahitaji ya walaji hasa wa vijijini, na kuondoa mwaya wa kukosekana kwa taarifa makini.


Address

Creative Media Tanzania, Survey
Dar Es Salaam

Telephone

+255756549180

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jambomediatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jambomediatz:

Shortcuts

Share