Our Truth

Our Truth OUR TRUTH, we are activating, enhancing and bring people to JESUS CHRIST through social networks.

was established previously but in 2019 we were taken decision to reach more people and more youth through social networks.

12/04/2024

to invite people to sell and to buy plots, farms and house in zanzibar

24/12/2020

Kumfuata yesu sio lazima Ni hiyari ya mtu binafsi

14/09/2020
17/05/2020

Petro katka kitabu Cha matendo ya mitume 10: 35 alitoa vigezo viwili vya mtu kukubaliwa na mungu billa upendeleo na kukubaliwa na mungu.tusome matendo 10:35( Bali Katia kila taifa mtu amchaye nankutenda haki ukubaliwa na yeye.) Mambo maziwi Ni muhimu kuyaelewa 1) kumcha mungu ,(2) kutenda haki .
Mtu yeyote wa taifa lolote akifikia hatua ya kumcha mungu katika jina la yesu na kutenda haki akiwa na yesu mtu uyo akiomba Dua kwa mungu ,mungu atamkubali .wapenda hela na wajipao vyeo vikubwa katika nyumba za ibada wameficha ukweli huu na hawafundishi ili mtu asije akafumbua macho na kuielewa kweli ya kuwa MUNGU Hana upendeleo.
Ubarikiwe

17/05/2020

IBADA IlIYO KUBALIWA NA MUNGU.
Ndugu nawatakia ibada njema wakristo wote na wale wasio wakristo yaani watu wa madhehebu ya kikristo,na wa dini nyenginezo.MUNGU Hana upendeleo .tofauti na wanadamu Ni watu waliojaa upendeleo.nimelijua ili niliposoma katika biblia kitabu cha matendo ya mitume 10:34 (Petro akafumbua kinywa chake akasema ,hakika natambua ya kuwa mungu Hana upendeleo).Petro hapa halielewa vizuri sana mwanzo alijua yesu alikuja kiubaguzi ivyo hata habari ya yes kupewa maji na yule mwanamke msamariya hakuwa nayo .kitendo Cha yesu kuomba maji kwa mwanamke msamaria kilionesha wazi kuwa anavunja kuta za ubaguzi au upendeleo .maana wayaudi walikuwa hawachangamani na na wasamalia (mataifa) .lakini siku ilifika hatimaye Petro alijua mungu Hana upendeleo .alopoona na watu wa mataifa nao awaende.koronelio alikuwa mtu wa mataifa Petro alishangaa kuona aliombiwa na ROHO aende kwa koronelio mtu was mataifa Soma matendo ya mitume 10:28(akawambia, ninyi mwajua kuwa sio halali mtu aliye muyaudi ashikamane na muyu aliye was taifa lingine Wala kumuendea ,lakini mungu amenoonya ,nisimwite mtu awaye yote mchafu wala najisi) Petro alielewa vizuri kile ROHO alichomwambia .
Ndugu inashangaza Leo kuona watu wamejibagua wao wenyewe.wakajitenga kwa kujopa vyeo vikuwa wakisema wait ndio mungu anasema na wao tu.wamejita mchungaji mkuu ,mtume mkuu, nabii mkuu, askofu mkuu, nafasi ya yesu ya ukuu wamebeba wao.wakawabagua washirika wao na kusema mungu anazungumza na wao tu so washirika wakatengeneza mazingira ya kujopatia pesa au Mali kutoka kwa washirika wao au watu wengine pale wanapoende ili waombe kwa jili ya mgonjwa au mwenye shida wao hawawafundishi ukwe kuwa MUNGU Hana upendeleo hakutoa kibali Cha baadhi ya watu tu ndio waondee nao Bali yoyote yule ndio msingi hasa wa maana halisi ya pazia la hekalu kupasuka siku ile yesu aliposurubiwa.sio tu kahani pekee afanye upatanisho au kuongea na mungu Bali yoyote .henyi viongozi wa madhehebu na wa dini nyengine semeni kweli .

Siku ya mwisho .Wapo watu wasemao mwisho wa dunia umefika .wengine uona magonja, au maajabu ya aina ya utapeli au maajab...
16/05/2020

Siku ya mwisho .
Wapo watu wasemao mwisho wa dunia umefika .wengine uona magonja, au maajabu ya aina ya utapeli au maajabu ya viumbe na Mambo kadha was kadhaa wao usema dunia imeisha au umefika mwisho.
Bible inasemaje ?
Yesu alieleza dunia kufikia mwisho akazitaja dariri nyingi za kuonesha kuwa dunia ipo ukingoni na yeye yesu kurudi.kataja dalili tu.ila hakutaja mwisho lini Soma injili ya matayo. 24:36(walakini habari ya siku ile hakuna ajuaye.hata malaika walio mbinguni,Wala mwana ,ila baba peke yake) hakuna anaeijua siku ya mwisho Ni lini.jee wale wasemao kuwa usho wa dunia umefika au dunia imeisha .hawaoni kuwa wanageuka kuwa waongo ?tujiepusheni na I'll
Lakini pia
Tulionywa kuwa siku iyo itatukia kwa ghafla pasipo mtu yoyote kujua Soma matayo 24:37-41 .tulicho ambiwa Ni kuwa macho sababu haijulikani siku iyo .matayo 24:42..na tunaelewa mwivi akija hatoi taarifa ndivyo itakavyo kuja 2petro 3:10.tuweni makini .

20/04/2020

Inasikitisha Sana kuona kuwa Kuna watu wengine wanamiliki kanisa ,makanisa .sijui wamepata wapi ruhusa ya kumiliki kanisa na kufanya yao wakiendesha watakavyo.ukweli kanisa ni la yes matayo 6:18 yeye ndiye lake na mjenzi pia matendo 20: 28 yesu kalinunua kwa damu yake ni Mali yake.sasa kwa Nini wanamiliki Mali ya mtu mwengine

13/04/2020

Jee unajua kwanini watu hawataki kujua uyofauti was injili bandia na injili ya kweli ya yes kristo ikoje au kivipi ?

08/04/2020

Inasikitisha Sana kuona watu wameligeuza kanisa la mungu na kulifanya lao yaani la kibinadamu wamesahau kuwa yes ndiye aliyeaidi kulijenga kanisa Hilo .matayo 6:18 Kila mtu udai kajenga yeye .galama alizo zitumia yes ni damu yake matendo 20:28 .wachungaji wengi au viongozi wengi was makanisa hayo wakikwazoka ndio utawajua na hasa pale mshiroka anapo fukuzwa na kukataa kutoka utasikia ( kanisa hili ni langu siku nilopoanzisha ukueepo na Wala maono yangu wewe huyajui toka katafute kanisa lako au jengine ufanye hivyo unavyotaka hapa sipo) na maneno mengine mengine ya kujidai kuwa kanisa ni lake .jamani tuamkeni tujiulize yesu alimpa mtu yoyote kuniliki kanisa ? Au sheria zipi za duniani zinampa my haki ya kumiliki kanisa ? Mbona wengine wanamiliki makanisa ?

03/03/2020

OUR TRUTH .invites you in the seminar of the words of God on 22/3/2020 at chulwi mbagala in dar es salam from 4:00am up to 6 pm .don't miss remember no one above the bible thanks

17/02/2020

DON'T FORGET TO STAYING IN A MEMBERSHIP OF JESUS CHRIST. Don't staying in a member of some one in a Church of some one .a book of Matthew 16:18

16/02/2020

HEY MAN OF REMEMBER .NO ONE ABOVE THE BIBLE

Address

Mbagala
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255759634755

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Our Truth posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Our Truth:

Share