Mipasho Ya Soka

Mipasho Ya Soka Habari za Michezo kiganjani kitaifa na kimataifa pia

HTYanga 2:0 TP MazembeMusonda ⚽ ,dk 7Mudathir ⚽ dk 12
19/02/2023

HT
Yanga 2:0 TP Mazembe
Musonda ⚽ ,dk 7
Mudathir ⚽ dk 12

WANANCHI JOGINGLeo asubuhi mashabiki wa klabu ya Yanga wakiongozwa na viongozi wao Eng,Hersi Said,C.E.O Andre Mtine,Afis...
18/02/2023

WANANCHI JOGING
Leo asubuhi mashabiki wa klabu ya Yanga wakiongozwa na viongozi wao Eng,Hersi Said,C.E.O Andre Mtine,Afisa Habari,Mkurugenzi wa Wanachama Haji Mfikirwa wamefanya jogging kuanzia makao makuu ya klabu kuzunguka mitaa mbalimbali ya jiji la DSM kuelekea mchezo wa wa kesho dhidi ya TP Mazembe K**a hamasa na ishara ya umoja

Kikosi cha timu ya Simba SC kimekamilisha maandalizi ya mwisho tayari kuwakabili Raja Athletic Club hapo kesho ndani ya ...
17/02/2023

Kikosi cha timu ya Simba SC kimekamilisha maandalizi ya mwisho tayari kuwakabili Raja Athletic Club hapo kesho ndani ya dimba la Benjamin Mkapa🏟️
Muda 🕠 saa 7:00 usiku

Habari njema kwa Mabashiki wa Simba SC ni urejeo wa Kiungo Mshambuliaji Saido Ntibazonkiza kuwakabili Raja A. Hapo kesho
17/02/2023

Habari njema kwa Mabashiki wa Simba SC ni urejeo wa Kiungo Mshambuliaji Saido Ntibazonkiza kuwakabili Raja A. Hapo kesho

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255623578882

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mipasho Ya Soka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share