Tradora.tz

Tradora.tz Welcome to Reality | making ordinary chats into unforgettable lessons.
(4)

Je, umechoka earbuds zenye sauti ya chini na betri zinazoisha haraka? __________________________________________________...
04/09/2026

Je, umechoka earbuds zenye sauti ya chini na betri zinazoisha haraka?

_________________________________________________________
Sauti ndogo na charge inayoisha haraka zinaweza kuharibu starehe yako ya muziki na kukuacha ikiwa imekata wakati wa mazungumzo muhimu.
_________________________________________________________

Pata suluhisho kamili ya earbuds za Soundcore K20i kutoka Anker.

Furahia muziki wenye sauti ya nzuri na yenye base yenye nguvu (Powerful Bass).
Zina Mic mbili ambazo zitakusaidia wakati unaongea na simu
Endelea kusikiliza kwa muda mrefu ukitumia Extended Playtime kutokana na batri imara
Kutoka kwa watengenezaji wa Anker, bidhaa zinazojulikana kwa ubora wao.
Unaweza kuwa na uhakika kwamba vifaa vyako vya sauti vitadumu na kufanya kazi vizuri.
Agiza vifaa vyako vya sauti Soundcore K20i vya Anker leo na ufurahie sauti ya kipekee na maisha marefu ya betri!
_________________________________________________________

Wasiliana Nasi Kuweka Oda:
πŸ“ž Simu / WhatsApp: +255 693 221 541
Instagram: .tz
πŸ“ Eneo / Duka: Mlimani City, Survey Road, Dar Es Salaam

Je, umewahi kupoteza deal la hela au simu kukatika katikati ya maongezi ya muhimu kisa charger kukata?__________________...
04/09/2026

Je, umewahi kupoteza deal la hela au simu kukatika katikati ya maongezi ya muhimu kisa charger kukata?

_________________________________________________________

Kukosa charge ukiwa nje ya nyumba yako au nje ya ofisi ni changamoto inayowakumba watu wengi kila siku na sio kila mara utapata soketi ya umeme.

Suluhisho la uhakika liko mkononi mwako: Anker 10,000mAh Power Bank (22.5W).

________________________________________________________

Inakupa uhuru wa kutembea na umeme wako popote:

- Inachaji simu yako mara 2 hadi 3.

- Design yake ni ndogo na inakuja na kamba ya kushikia vizuri ukiwa unatembea.

- Hii ndio brand inayoongoza duniani ikiaminiwa na mamilioni ya watumiaji kwa ajili ya kulinda afya ya betri ya simu zao.

- Toleo Maalum: Nunua leo upate na Warranty ya miezi 06 pamoja na punguzo la bei!

_________________________________________________________

Wasiliana Nasi Kuweka Oda:
πŸ“ž Simu / WhatsApp: +255 693 221 541
Instagram: .tz
πŸ“ Eneo / Duka: Mlimani City, Survey Road, Dar Es Salaam

03/09/2026

Unboxing iphone 17 Pro Max

255GB / eSim

03/09/2026

⚑ ANKER 20W PD FAST CHARGER

Simu yako inachaji taratibu kila siku? πŸ˜©πŸ”‹
Muda wa kuchaji kwa masaa mengi umeisha!

Charger zisizo na ubora zinaweza kuchaji taratibu, kupata joto sana na kukufanya usubiri muda mrefu kabla ya kutumia simu yako.

Pata ANKER 20W PD Charger β€” compact, portable na designed kwa high-speed charging.
βœ… 20W Max Output
βœ… PD Fast Charging
βœ… Compact & Portable
βœ… Universal Compatibility
βœ… Inafaa kwa Apple, Samsung na vifaa vingine vinavyotumia USB-C

πŸ”₯ Upgrade charger yako leo!
Usisubiri simu izime β€” DM sasa ku-order yako.
πŸ“¦ Delivery inapatikana.

CONTACT DETAILS πŸ“

πŸ“ Mlimani City, Survey Road, Dar es Salaam
πŸ“² DM: Δ°PHONE | SAMSUNG | PLAYSTATION | JBL SPEAKERS | GAMING LAPTOPS
🚚 Delivery available
πŸ’° Bei: 45,000/=

Burudika na muziki wa kiwango cha hali ya juu mahali popote ulipo! πŸ”Šβœ¨JBL GO 4 mpya kabisa inakupa sauti nzuri ya JBL Pro...
02/09/2026

Burudika na muziki wa kiwango cha hali ya juu mahali popote ulipo! πŸ”Šβœ¨

JBL GO 4 mpya kabisa inakupa sauti nzuri ya JBL Pro Sound, bass yenye nguvu na betri inayokaa na chaji hadi masaa 7 mfululizo. Ni ndogo, nyepesi na haiingii maji wala vumbi (IP67)β€” kamili kwa safari na matumizi ya kila siku.

* Sauti Bora: JBL Pro Sound yenye bass ya nguvu
* Betri Imara: Inadumu hadi masaa 7 mfululizo
* Kudumu: Inahimili maji na vumbi (IP67)
* Muundo Rahisi: Ndogo, nyepesi, na ina kishikio cha kubeba kwa urahisi
* Teknolojia: Mfumo wa kisasa wa Bluetooth 5.3

Wasiliana Nasi Kuweka Oda:
πŸ“ž Simu / WhatsApp: +255 693 221 541
Instagram: Δ°PHONE | SAMSUNG | PLAYSTATION | JBL SPEAKERS | GAMING LAPTOPS πŸ“Έ
πŸ“ Eneo / Duka: Mlimani City, Survey Road, Dar Es Salaam

01/09/2026
Iwe upo safari, ofisini  au unapambana na shughuli za siku nzima, Anker Power Bank Original zitahakikisha simu na vifaa ...
01/09/2026

Iwe upo safari, ofisini au unapambana na shughuli za siku nzima, Anker Power Bank Original zitahakikisha simu na vifaa vyako vyote vinapata chaji ya haraka na ya uhakika.

✨ Anker High-Power (25,000mAh, 165W Max Output):
* Inachaji vifaa vingi kwa pamoja (Multi-Device Charging).
* Inakuja na kamba ya USB-C iliyojengewa ndani (Built-In & Retractable Cable).
* Output ya nguvu hadi 100W Single-Port Fast Charging kwa ajili ya simu na hata laptop!
* Display ya kidijitali inayokuonyesha asilimia ya chaji sahihi.
*
✨ Anker Zolo Power Bank (10,000mAh, 30W Fast Charging):
* Ndogo, nyepesi na rahisi kubeba (Hassle-Free Charging).
* Inakuja na kamba yake ya USB-C (Built-In USB-C Cable).
* Ina port ya USB-C na USB-A kwa matumizi rahisi.
* Zinapatikana za rangi tofauti (Black & Light Blue).
*
Zote zinafanya kazi vizuri kwenye Apple, Samsung, na simu zote. Pata kifaa chako Original kutoka kwa wauzaji wanaoaminika!

πŸ“Œ Wasiliana nasi au tembelea duka letu:
πŸ“ Tupo: Skycity Mall, Mlimani City, Survey Road-Dar es Salaam
πŸ“ž Piga / WhatsApp: +255 693 221 541
πŸ“² Instagram: .tz
πŸ“© Tuma DM sasa kuweka order yako πŸ›’πŸ”₯

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tradora.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share