16/07/2026
Another year, another chapter. ππ
Leo siadhimishi tu siku yangu ya kuzaliwa, bali naadhimisha neema ya Mungu iliyonifikisha hapa. Kila hatua, kila changamoto, na kila ushindi umekuwa sehemu ya safari yangu.
Nashukuru kwa zawadi ya maisha, ukuaji wangu binafsi, na taaluma yangu ambayo inaendelea kunifungulia milango ya fursa. Bado nina ndoto nyingi, na ninaamini Mungu ambaye amenifikisha hapa ataendelea kuniongoza mbele.
Happy Birthday to me. ππ₯ To God be all the glory. β€οΈ