LESHU STAR KIND

LESHU STAR  KIND karibu ni follow tuwe pamoja.
(4)

LIBASSE GUEYE ni mnyama, club ya simba sc imemtangaza rasmi LIBASSE GUEYE kuwa mchezaji wao hali, Simba sc inaendelea ku...
17/01/2026

LIBASSE GUEYE ni mnyama, club ya simba sc imemtangaza rasmi LIBASSE GUEYE kuwa mchezaji wao hali, Simba sc inaendelea kutangaza wachezaji wake walio sajiliwa dirisha dogo la usajili, tetesi ni nyingi ila simba sc inatafuta wachezaji wazuri na imara kwajili ya michuano ya ndani na nje, Simba sc itacheza kesho mchezo wake wa NBC premium league dhidi ya Mtibwa sugar. Simbaaaaaa

Wanasimba timu inahitaji support kubwa kutoka kwa mashabiki wake usidanganywe usiende uwanjani kuipa simba sports club n...
17/01/2026

Wanasimba timu inahitaji support kubwa kutoka kwa mashabiki wake usidanganywe usiende uwanjani kuipa simba sports club nguvu ya kushinda ni support kubwa kutoka kwa mashabiki wake penda timu yako nyakati zote iwe inashida shabikia na ikipoteza shabikia mafanikio siyo rahisi hivyo vilabu vyote duniani vinapitia hali zote wakati wa kuimarika. Nenda uwanjani mwanasimba support yako muhimu sana wanasimbaaaaaaaaa
Simba sc dhidi ya Mtibwa ni kesho 18/01/2026 saa 16:00 ijioni uwanja wa mej gen isahmuyo

Rasmi Nickson Kibabage atajiunga na simba akitokea Singida black stars, kibabage alikuwa mchezaji wa Yanga sc kabla ya k...
16/01/2026

Rasmi Nickson Kibabage atajiunga na simba akitokea Singida black stars, kibabage alikuwa mchezaji wa Yanga sc kabla ya kujiunga na singida black stars, kwa sasa amejiunga na miamba wa msimbazi bure akitokea Singida black stars, Mashabiki wa simba sc hapo vp??? Maswali ni mengi kichwani ila majibu tunayo sisi wenyewe twende kazi.

Kikosi cha simba sc katika maandalizi ya mechi ya Jumapili 18/01)2026 dhidi ya mtibwa sugar katika uwanja wa Mej gen isa...
16/01/2026

Kikosi cha simba sc katika maandalizi ya mechi ya Jumapili 18/01)2026 dhidi ya mtibwa sugar katika uwanja wa Mej gen isamhuyo ,Kikosi cha simba sc chini ya kocha mkuu Steven barker anawanoa vijana kwajili ya mechi ijayo kabla ya safari za kimataifa kuwafuata Espernace de Tunis nchini Tunisia, wachezaji wanaimarisha misuli na utimamu wa mwili, wachezaji wote wapo imara isipokuwa wale ambao hawapo vyema kiafya,mousaa Camara na wengine. Simbaaaaa

Awesu Awesu ametolewa kwa mkopo kwenda nchi Kenya katika Club ya Kenya police, mpaka mwisho wa msimu Awesu Awesu atareje...
15/01/2026

Awesu Awesu ametolewa kwa mkopo kwenda nchi Kenya katika Club ya Kenya police, mpaka mwisho wa msimu Awesu Awesu atarejea katika club ya Simba Awesu Awesu bado ana mkataba na Simba, Kwenda kenya police kwa mkopo ni kupisha nafasi ya wachezaji wanao sajiliwa katika dirisha dogo la usajili januari hii. Club ya simba ipo sokoni kutafuta wachezaji wazuri kwa michuano ya ndani na ya kimataifa

Mashabiki wa soka ligi kuu bara imerejea rasmi baada ya mechi za AFCON na NMB Mapinduzi cup kumalizika michezo rasmi sas...
15/01/2026

Mashabiki wa soka ligi kuu bara imerejea rasmi baada ya mechi za AFCON na NMB Mapinduzi cup kumalizika michezo rasmi sasa zipo nyingi tu zitachezwa ndani ya mwezi huu wa kwanza kabla ya michuano ya kimataifa ya CAFCL na CAFCC

Ligi Kuu ya NBC inarejea kwanzia Ijumaa hii

Jan 16/2026, Dodoma JIJI FC dhidi ya Singida BS.
Jan 17, Azam FC Vs Coastal Union,
Jan 18, Simba SC Vs Mtibwa Sugar,
Jan 19, Yanga SC Vs Mashujaa FC,
Jan 20, Azam FC Vs Fountain Gate,
Jan 20, Singida BS Vs JKT Tanzania,

Mechi ijayo ya simba sc ndani ya ardhi ya Tanzania ni dhidi ya Mtibwa sugar siku ya jumapili kabla ya kucheza kimataifa ...
15/01/2026

Mechi ijayo ya simba sc ndani ya ardhi ya Tanzania ni dhidi ya Mtibwa sugar siku ya jumapili kabla ya kucheza kimataifa dhidi ya Esperance de Tunis, Simba sc chini ya kocha mkuu Steven barker anajiandaa na mechi yake ya kwanza ya Ligi kuu katika mitaa ya msimbazi, Mechi itachezwa 18/01/2026 uwanja wa Meja jenerali isamhuyo.
Simba wafanye kweli wapate morali ya kucheza vyema kimataifa CAFCL simbaaaaaa

Kwa mashabiki wa simba sc hii ni uhakika kabisa Kibu Denis prosper na Elie mpanzu ni wachezaji bora sana katika kikosi c...
14/01/2026

Kwa mashabiki wa simba sc hii ni uhakika kabisa Kibu Denis prosper na Elie mpanzu ni wachezaji bora sana katika kikosi cha simba sc , katika misimu miwili iliyopita Kibu Denis amefanya makubwa sana CAF katika kuipaisha simba kimataifa, Kibu denis na Elie mpanzu katika mechi ngumu wamekuwa na maamuzi mazuri zaidi yenye manufaa makubwa sana kwa club ni wachezaji wa kujivunia zaidi wakipata support kwa wachezaji wenzake wapo bora sana katika kuipa simba sc ushindi kwa namna yoyote ile ubora wao ni mkubwa sana.

14/01/2026

nusu fainali ya AFCON 2025 Morroco inachezwa leo usiku mechi mbili.
Senegal vs Egypt 8:00 usiku
Nigeria vs Morocco 11:00 usiku
nani atatangulia kutinga fainali???

14/01/2026

kombe la NMB mapinduzi 2026
yanga bingwa wa kombe hili mbele ya Azam fc kwa penalti 4_5 ubora mkubwa umeonyesha ukomavu wa club

14/01/2026

Camara pona haraka timu yako ina kuhitaji

Mashabiki wa simba sc kijana wenu huyo hapo wangapi mnamkubali jean Charles Ahoua mchezaji wa simba sc , katika ufundi w...
14/01/2026

Mashabiki wa simba sc kijana wenu huyo hapo wangapi mnamkubali jean Charles Ahoua mchezaji wa simba sc , katika ufundi wake pamoja na upigaji wa faulu yupo vyema sana , je katika dirisha dogo la usajili linalo endelea aendelee na kazi katika kikosi cha simba sc au atafute kazi kwingine kwa sasa?? Maoni yako muhimu mwana simba na shabiki wa mpira.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255755523413

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LESHU STAR KIND posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LESHU STAR KIND:

Share