DStv Sales Tanzania

DStv Sales Tanzania My lIfE� iS uNiQuE� pLeAsE� dOn'T CoPy iT�

👇
14/09/2025

👇

KAZI IMEANZA ⚽ 🫵🏾Wikiendi ilikua yakupasha misuli, sasa kazi kazi 🔥 sehemu ni moja tu   ndani ya DStv pekee, LIVE bila c...
18/08/2025

KAZI IMEANZA ⚽ 🫵🏾

Wikiendi ilikua yakupasha misuli, sasa kazi kazi 🔥 sehemu ni moja tu ndani ya DStv pekee, LIVE bila chenga❗️

Piga *150*53 # kulipia kifurushi chako mapema na k**a bado hujajiunga nasi, hujachelewa, ni 0692929591.

⚽🫵🏾

17/08/2025

Celebrating my 5th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

KIVUMBI CHA MABINGWA 🏆   Msako wa kumtafuta bingwa la mabingwa 😂. Usipitwe na mtanange huu kati ya PSG na Tottenham, nda...
11/08/2025

KIVUMBI CHA MABINGWA 🏆

Msako wa kumtafuta bingwa la mabingwa 😂. Usipitwe na mtanange huu kati ya PSG na Tottenham, ndani ya DStv❗️

Piga *150*53 # kulipia mapema.

⚽🫵🏾

IT’S ON ⚽🔥 Dakika 90 za historia, presha, kuvunjika mioyo na kushuhudia nani msimu wake utaisha kwa machozi 😭Gunners wan...
10/08/2025

IT’S ON ⚽🔥

Dakika 90 za historia, presha, kuvunjika mioyo na kushuhudia nani msimu wake utaisha kwa machozi 😭

Gunners wanakuja na “Trust the Process”, huku United wakikimbia na “Trust the Refund”.😂

Nani kuwa na safari ya ushindi na kuwa kichekesho cha msimu (memes)🤭🍿

Piga *150*53 # kulipia mapema.

Hatucheki na wowote 😂 hapa ni nyundo tu 🔨 WAMEINGIA KWENYE MFUMO 🫆Usipitwe na mechi hii kati ya   vs   saa 2:00 usiku nd...
09/08/2025

Hatucheki na wowote 😂 hapa ni nyundo tu 🔨 WAMEINGIA KWENYE MFUMO 🫆

Usipitwe na mechi hii kati ya vs saa 2:00 usiku ndani ya DStv Ch. 227 | KESHO

Piga *150*53 # kulipia kifurushi chako mapema.

⚽🏆🔥💥

WAFALME WA LOKO 👑📺Jipatie dikoda pekee kwa tshs 39,000 tu, na ukitaka vyote (full set) utapata kwa tshs 99,000 tu. Utaza...
31/05/2025

WAFALME WA LOKO 👑📺

Jipatie dikoda pekee kwa tshs 39,000 tu, na ukitaka vyote (full set) utapata kwa tshs 99,000 tu. Utazame burudani kemkem kuanzia katuni, filamu, tamthilia bila kusahau kabumbu n.k.

Fanya weledi sasa tupigie 0692 929591 tukuhudumie leo.

🔌⚡️

Umeshampigia kura mshiriki wako umpendae kwenye   ⁉️ Wahi sasa www.africamagic.tv/nigerianidol ili aendelee kubaki kweny...
29/05/2025

Umeshampigia kura mshiriki wako umpendae kwenye ⁉️

Wahi sasa www.africamagic.tv/nigerianidol ili aendelee kubaki kwenye shindano.

LIVE show ni kila Jumapili saa 3:00 usiku | Ch 151 na 154 | DStv

🔌⚡️

WIKI YA VIKOMBE ⚽️🏆🎉Nani kubaki na ubingwa🏆⁉ na mechi ipi unaingoja kwa hamu⁉️Usikubali kupitwa na mitanange hii ya fain...
26/05/2025

WIKI YA VIKOMBE ⚽️🏆🎉

Nani kubaki na ubingwa🏆⁉ na mechi ipi unaingoja kwa hamu⁉️

Usikubali kupitwa na mitanange hii ya fainali ndani ya DStv!

Lipia kifurushi chako mapema kwa kupiga *150*53 # au 0692 929591 kujiunga nasi.
⚽🏆🔥💥
🔌⚡️

MBUNGI LA FAINALI    ⚽️🏆🔥🎉  vs   ⚽️📍Kaa mkao wa kula, jumamosi hii ndani ya chaneli 227 📺 saa 10:00 jioni ⏰💰Kulipia piga...
21/05/2025

MBUNGI LA FAINALI ⚽️🏆🔥🎉

vs ⚽️

📍Kaa mkao wa kula, jumamosi hii ndani ya chaneli 227 📺 saa 10:00 jioni ⏰

💰Kulipia piga *150*53 #

🔌⚡️

Kwa Ubaya au Ubwela ..... KOMBE bado TUNABEBA   🏆🎉⚽️ Mei 25, tuna malizia kitoweo chetu pale Amaan Stadium, Zanzibar.📍Ka...
20/05/2025

Kwa Ubaya au Ubwela ..... KOMBE bado TUNABEBA 🏆🎉

⚽️ Mei 25, tuna malizia kitoweo chetu pale Amaan Stadium, Zanzibar.

📍Kaa mkao wa kula, ndani ya chaneli 227 📺 saa 10:00 jioni ⏰

💰Kulipia piga *150*53 #

🔌⚡️ ✊🏽

MBUNGI LA FAINALI 😁⚽️🏆🎉Ni vita ya mabingwa, mechi kubwa, Timu kali💥🏆Furahia Fainali za    kiulaini kupitia Ch. 222 ndani...
19/05/2025

MBUNGI LA FAINALI 😁⚽️🏆🎉

Ni vita ya mabingwa, mechi kubwa, Timu kali💥🏆

Furahia Fainali za kiulaini kupitia Ch. 222 ndani ya kifurushi cha COMPACT 😍📺 📣

Piga *150*53 # kulipia mapema ili usipitwe.

⚽🏆🔥💥
🔌⚡️

Address

Kinondoni Road
Dar Es Salaam
14108

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DStv Sales Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DStv Sales Tanzania:

Share