
25/06/2025
HUU APA.. UKURASA WANGU MPYA KWENYE MZIKI WANGU IKIWA NIMETUMIA MUDA NA AKILI KUWAANDALIA MASHABIKI ZANGU EP MPYA KALI YENYE NYIMBO 5..🔥
NIPENDE KUWAKALIBISHA KWA MOYO MMOJA KUNISAPOTI KIJANA WENU KWA KUSIKILIZA, KU SHARE EP YANGU🥶👽
“(IamKennyEp)” Out now + Enjoy on All Digital platforms 🍾💸🥶
bxtrarecords