Mix tape tv

Mix tape tv Welcome to our mixtape page,
you can find us more closely through our social media accounts.

WHATSAPP : 0625254425
ISTAGRAM: mixtape_online
EMAIL :[email protected]
YOUTUBE : mixtape_tv
FACEBOOK: mixtape tv

🚨Klabu ya Al Hilal iko tayari kutoa ada ya €100m kumsajili kiungo wa Man United Bruno Fernandes.Al Hilal wameandaa kiasi...
23/05/2025

🚨Klabu ya Al Hilal iko tayari kutoa ada ya €100m kumsajili kiungo wa Man United Bruno Fernandes.

Al Hilal wameandaa kiasi cha Β£200m kwa Bruno Fernandes ikiwa atajubali kusaini mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Β£1.25m kwa wiki.

Source Fabrizio Romano

02/03/2025

Big shout-out to my newest top fans! Salma Outfits

Sanamu ya ajabu ya mungu bahari ya Neptune (Poseidon) huko Gran Canaria, Uhispania. Saamu hiyo ipo umbali wa kilomita mo...
18/02/2025

Sanamu ya ajabu ya mungu bahari ya Neptune (Poseidon) huko Gran Canaria, Uhispania. Saamu hiyo ipo umbali wa kilomita moja kutoka ufukweni ikimtukaza mungu wa kigiriki (poseidon)
Ndani ya hekaya za Kigiriki, Poseidon anatambulika kuwa mungu wa bahari na mmoja wa miungu 12 kuu ya Olimpiki iliyoabudiwa na Wagiriki wa kale. Mara nyingi anajulikana kuwa mwenye jeuri na mwenye hasira kali katika mabishano yake na miungu na wanadamu wote, huku akipanda gari la farasi wanne na kutumia pembe tatu.
WAZAZI WA POSEIDON

Cronus & rhea

NDUGU WA POSEIDON

Haden
Demeter
Zeus
Hestila
Hera

WATOTO WA POSEIDON
Theseus
Triton
Thodos
Despoina
Arion
Agenor
Atlas
Polyphemos
Benthesikyme
Belus
Chrysaor
Various
Bellerophon n.k

MAKAZI YAKE

Mlima olympus au baharini



Attacus atlas ni kipepeo mkubwa zaid duniani. Pia kipepe huyu amepewa uwezo wa kujilinda kwa kutengeza mabawa yake umbil...
17/02/2025

Attacus atlas ni kipepeo mkubwa zaid duniani. Pia kipepe huyu amepewa uwezo wa kujilinda kwa kutengeza mabawa yake umbile la vichwa vya nyoka wawili ili kujilinda na maadui k**a nyoka kinyonga mijusi na wadudu wengine wanaopenda kula vipepeo. Kipepe huyu anauwsza wa kuishi zaid ya miaka miwili .ukubwa wa kipepeo huyu sawa na viganja vyako vya mikono ana uwezo wa kuruka nankwenda mbali zaid tofauti na vipepeo wengine

Utafanya nini ukimuona njiani kwa mara ya kwanza ??

Picha kwenye comment

HALF TIME 🚨SIMBA SC 3-0 TANZANIA PRISONAHOUA JC ⚽E.MPANZU ⚽CHASAMBI ⚽UNAZIONA GOLI NGAPI LEO 🦁🦁🦁
11/02/2025

HALF TIME 🚨

SIMBA SC 3-0 TANZANIA PRISON

AHOUA JC ⚽
E.MPANZU ⚽
CHASAMBI ⚽

UNAZIONA GOLI NGAPI LEO 🦁🦁🦁

Kuna Dem Nilikutana nae saa 3 usiku nikaomba namba akanipa , Saa 4 akaniambia ana shida na elfu 5  , nikamwambia sawa ni...
09/02/2025

Kuna Dem Nilikutana nae saa 3 usiku nikaomba namba akanipa , Saa 4 akaniambia ana shida na elfu 5 , nikamwambia sawa nitakupa , Akaniuliza unakaa wapi nikamwambia hapo mtaa wa pili , kisha akaniambia nitakuja kukutembelea Saa 5 usiku akaja geto , saa 6 akaja nikamwambia sina pesakweye simu wala cash mpaka kesho nikatoe ITM akasema ok by saa 8 usiku hivi nikamsindikiza akaenda home

Saa 1 asubuhi akanichek nikawa bado nimelala , saa 2 asubuhi akanichek nikawa bado nimelala , kuamka saa 3 nikakutana na meseji zake , nikamwambia sorry nilikuwa bado nimelala akaniambia nilikwambia lakini nina shida na 5k ?

nikamwambia ndo naamka halafu ndo nataka nifue kisha niende ITM , BAADA YA HAPOB akaniambia naomba basi hata buku tu nikale "NAOMBA BASI HATA BUKU TU NIKALE'

"NAOMBA BASI HATA BUKU TU NIKALE" Hili neno liliniuma sana pale pale ilibidi nikae nikatoa machozi sana , Kisha nikamuuliza uko wapi ? akniambia yupo home na mimi nimaamka kweli nikafanya mpango nikamtumia 30K

Nilichojifunza

1. Muda mwingine Dada zetu tutawapa kila aina ya majina , malaya , Kimada , changudoa lakini behind siyo kila mwanamke ni malaya kuna situation wanazopitia ni ngumu mno

2. Unapokutana na mwanamke jitahidi kumpa chakula kwanza kisha mambo yenu mengine yatafuata k**a amekutembelea lakini au mnunulie chakula ale kwanza

3. Tusiwahukumu wanawake wanaojiuza tujitahidi kufuatilia background ya maisha yao asilimia kubwa hakuna dada anayeamua kufanya hivyo kwa kupenda

4. Ikiwa umemuahidi mtu pesa jitahidi kumtumia ile pesa muda uliomuahidi , pengine amesubirisha familia haijapata chochote kitu kisa wewe tu pesa unayo na kuituma unachelewa , watu wanapitia magumu mno

5. Sema ukweli huna huna mtu ajue huna usiwafanye watu wakaishi kwa matarajio ambayo kimsingi huwezi kuwasaidia , Ukweli mchungu ni mzuri kuliko Uwongo usiokuwa na faida

Hizi picha haziuhisiani na captionπŸ™

Photo by on istagram

Kutoka kwa admin wetu AAboudhabi SkySky

Presnel Kimpembe amerejea uwanjani baada ya siku 700!  Beki huyo hakuwa amecheza tangu Februari 26, 2023, kutokana na je...
09/02/2025

Presnel Kimpembe amerejea uwanjani baada ya siku 700!

Beki huyo hakuwa amecheza tangu Februari 26, 2023, kutokana na jeraha kali la Achilles. πŸ”™

Sajili za kocha Rhulani Mokwena ndani ya π—ͺ𝗬𝗗𝗔𝗗  AC mpaka sasa :πŸ‡§πŸ‡· PedrinhoπŸ‡§πŸ‡· Arthur πŸ‡ΏπŸ‡¦ Cassius MailulaπŸ‡ΏπŸ‡¦ Thembinkosi Lor...
09/02/2025

Sajili za kocha Rhulani Mokwena ndani ya π—ͺ𝗬𝗗𝗔𝗗 AC mpaka sasa :

πŸ‡§πŸ‡· Pedrinho
πŸ‡§πŸ‡· Arthur
πŸ‡ΏπŸ‡¦ Cassius Mailula
πŸ‡ΏπŸ‡¦ Thembinkosi Lorch
πŸ‡²πŸ‡¦ Hamza Sakhi
πŸ‡²πŸ‡¦ Mohamed Moufid
πŸ‡²πŸ‡¦ Abdelali Mhamdi
πŸ‡²πŸ‡¦ Mohamed Rayhi
πŸ‡²πŸ‡¦ Nabil Marmouk
πŸ‡²πŸ‡¦ Jawad Khalouk
πŸ‡²πŸ‡¦ Nassim Chadli
πŸ‡²πŸ‡¦ Abdelmounaim Boutouil
πŸ‡²πŸ‡¦ Zakaria Nassik
πŸ‡²πŸ‡¦ Aymen Dairani
πŸ‡²πŸ‡¦ Mehdi El Moubarik
πŸ‡²πŸ‡¦ Fahdi Moufi
πŸ‡²πŸ‡¦ El Mehdi Benabid
πŸ‡ΈπŸ‡³ M'Baye Niang
πŸ‡²πŸ‡Ά Mickael Malsa
πŸ‡¬πŸ‡­ Samuel Obeng
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Selemani Mwalimu

Unaiyona wapi Wydad Athletic Club - WAC msimu ujao???Wydad Athletic Club - WACWydad Athletic Club - WACWydad Athletic Club - WACWydad Athletic Club - WAC

Muigizaji Barkhad Abdi alipata $65,000 pekee kwa nafasi yake iliyosifiwa sana katika filamu ya Captain Phillips. Baada y...
08/02/2025

Muigizaji Barkhad Abdi alipata $65,000 pekee kwa nafasi yake iliyosifiwa sana katika filamu ya Captain Phillips. Baada ya filamu hiyo, alirudi kufanya kazi katika duka la simu ya kaka yake katika maduka ya Minneapolis. Licha ya mafanikio yake ya kuzuka, hakupata umaarufu na bahati mara moja. Hadithi ya Abdi inaangazia kutotabirika kwa tasnia ya burudani. Uvumilivu wake na mwanzo wa unyenyekevu ukawa sehemu ya safari yake ya kusisimua.

Do you know?The word "al" in Arabic means "the". Many Arabic football teams have "al" in their name, including: Al-Nassr...
08/02/2025

Do you know?

The word "al" in Arabic means "the". Many Arabic football teams have "al" in their name, including:

Al-Nassr

The name of a Saudi Arabian football club that means "victory" in Arabic. The club's logo features a map of Arabia in blue and yellow.

Al-Hilal

The name of a Saudi Arabian football club that means "the Crescent Moon" in Arabic. Al-Hilal is one of the most decorated clubs in Asia.

Al-Ahli

The name of a Saudi Arabian football club that competes in the Saudi Pro League. Al-Ahli has won 39 official championships, including 9 Saudi Professional Leagues.

Al-Ain

The name of a Saudi Arabian football club that was previously known as Zahran Football Club and Al-Ameed Football Club.

Al-Ahed

The name of a Lebanese football club that is nicknamed "the Yellow Castle". Al-Ahed has won nine Premier League titles, one AFC Cup title, and six FA Cup titles.

Hivi ndio vilabu vyenye mashabiki wengi zaidi dunianiVipi chama lako umeliona ???
02/02/2025

Hivi ndio vilabu vyenye mashabiki wengi zaidi duniani

Vipi chama lako umeliona ???

πŸ™„
02/02/2025

πŸ™„

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mix tape tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mix tape tv:

Share