01/10/2025
Bado najiuliza Yale malamiko ya FADLU kwa uongozi wa simba licha ya kuachiwa majukumu ya kusajili lakini akabaki kulalamika kuwa bado ajapata mchezaji mwenye uwezo wa kuamua matokeo
Bila Shaka alikua analengo la kuondoka simba sc ila huyu mwalimu ni motoo 🔥