AUNT GRACE

AUNT GRACE NAWASAIDIA TIBA NA USHAURI JUU YA AFYA YA BABA MAMA NA MTOTO Piga/Whatsapp wa.me/+255621656360

05/01/2026

Usisubiri kuzaa mtoto anashida za ukuaji Anza kumpa Afya akiwa Tumboni kwa usalama wa baadae

03/01/2026

Haya ni madhara ya upungufu wa Vitamin D na Calcium kwa wajawazito na watoto, kwa ufupi na kwa uelewa rahisi:

🀰 Kwa Wajawazito

Upungufu wa Vitamin D
β€’ Kuongezeka kwa hatari ya shinikizo la damu la mimba (pre-eclampsia)
β€’ Kuzaa mtoto njiti au mwenye uzito mdogo
β€’ Maumivu ya mifupa na misuli, uchovu wa mara kwa mara
β€’ Kinga ya mwili kushuka (maambukizi kirahisi)
β€’ Mtoto tumboni kukosa ukuaji mzuri wa mifupa

Upungufu wa Calcium
β€’ Maumivu ya mifupa, miguu na meno kudhoofika
β€’ Hatari ya osteoporosis baadaye
β€’ Mishtuko ya misuli (cramps) hasa miguu
β€’ Kuongezeka hatari ya shinikizo la damu la mimba
β€’ Mtoto kuchukua calcium kutoka kwa mama β†’ mama kudhoofika zaidi

πŸ‘Ά Kwa Watoto

Upungufu wa Vitamin D
β€’ Rickets (mifupa kuwa laini na kupinda)
β€’ Kukua polepole (urefu na uzito)
β€’ Kuchelewa kusimama, kutambaa au kutembea
β€’ Maambukizi ya mara kwa mara (kinga dhaifu)
β€’ Maumivu ya mifupa

Upungufu wa Calcium
β€’ Mifupa na meno dhaifu
β€’ Meno kuchelewa kutoka au kuharibika mapema
β€’ Mishtuko ya misuli
β€’ Ukuaji duni wa kimwili

⚠️ Dalili za Onyo
β€’ Maumivu ya mifupa/mgongo
β€’ Miguu au mikono kupinda kwa mtoto
β€’ Kuchoka kupita kiasi
β€’ Mishtuko ya misuli
β€’ Meno dhaifu au kuharibika haraka

βœ… Kinga na Ushauri
β€’ Kula vyakula vyenye calcium: maziwa, mtindi, jibini, samaki wadogo (dagaa), mboga za majani
β€’ Pata mwanga wa jua wa asubuhi (dakika 15–30)
β€’ Fuata ushauri wa mtaalamu kuhusu virutubisho (supplements) hasa kwa wajawazito na watoto
β€’ Hudhuria kliniki za mara kwa mara za mama na mtoto

Wasiliana na Aunt Grace kwa +255621656360 kupata calcium na vitamin D sahihi kwako na kwa mtoto wako.

03/01/2026

Afya ya mtoto inaanza na Afya ya wazazi.
Karibu tuzungumze pamoja kuhusu Afya ya uzazi pamoja na mtoto ili kuondoa Changamoto za Ukuaji wa watoto kuanzia Tumboni Mpaka anakua

15/12/2025

Matatizo ya macho Jua za Ndani kabisa kwenye Ubongo kunakoleta taarifa kwenye jicho.

Kinachoona sio jicho ni Ubongo
Ili Kutibu tatizo la macho Tibu chanzo kikuu ambacho ni Ubongo, mishipa ya Fahamu na jicho lenyewe.
Miwani sio suluhisho la tatizo bali huua Zaidi macho ya mtoto wako



23/11/2025

Mpunguzie mtoto wanga na anza kumpikia hivi

10/11/2025

Unapokua Mjamzito mtoto anahitaji Madini mengi sana ili akue vizuri miongoni mwa Madini hayo ni CALCIUM kwaajili ya kuunda vizuri Mifupa ya mtoto ili akizaliwa awe na Afya bora na akue vizuri.

πŸ‡ΊπŸ‡Έ

10/11/2025

Maisha yanaleta maana pale unapoona wengine K**a Ndugu na kuwafariji wanapopitia changamoto.

Mungu awape tumaini kila mzazi mwenye mtoto mwenye Changamoto na Alete uponyaji kwa mtoto/watoto na familia kwa ujumla.

NAWAPENDA

10/11/2025

Matatizo ya macho kwa watoto yamekua ni makubwa sana na imepelekea watoto wadogo kupata shida ya uoni hafifu na wengine kuwa na shida ya kutoa tongotongo muda mwingi, wengine maumivu ya kichwa yasiyo komaa, wengine kushindwa kuhimili Mwanga na mengine mengi.
Habari njema ni kuwa mtoto wako anaweza kupona kabisa tatizo la macho na kuwa Afya Nzuri ya macho na uoni.
Nipigie kwa +255621656360 kupata product kwaajili ya macho ya mtoyo wako umuokome na kuvaa Miwani

Taifa lala nakulilia, Nakuombea Amani katika mioyo yetu. Hatujazoea Haya Ila Mungu umeamua tujifunze kwa lugha ngumu ya ...
05/11/2025

Taifa lala nakulilia, Nakuombea Amani katika mioyo yetu. Hatujazoea Haya Ila Mungu umeamua tujifunze kwa lugha ngumu ya kuumiza, lugha yakutisha, lugha ya majonzi.

Nchi yangu Rehema Za Mungu zikae kwako Tunaomba toba pale tulikosea, Tunaomba faraja pale tulipoumia, Tunaomba Amani pale palipojeruhika. Ndugu zetu waliotangulia mbele za haki wapumzike salama, watoto wetu, Vijana wenzetu, wazazi na wazee wetu damu zao zinene mema juu ya nchi yetu.

Nakutakia faraja ya kweli kila uliyepoteza Mungu Asikuache kwenye kipindi hiki kigumu

Pokea Hug, Upendo na Kujali toka kwa Aunt Grace

Love you all

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AUNT GRACE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AUNT GRACE:

Share