Kwetu Bongo

Kwetu Bongo Online Magazine / Newspaper | Music | Online Jobs | Online Shopping | Domain Registration | Web Hosting | Advertisement | Web & Blog Design

We Deals with Online News, Entertainment, Politics, Download Audio & Video Music, Website Registration, Web Hosting, Online Advertising, Website & Blog Design, etc

Vijana 57 watia nia udiwani, ubunge Chato - VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wila...
24/06/2025

Vijana 57 watia nia udiwani, ubunge Chato -
VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita wameonesha nia ya kuchukua fomu na kugombea nafasi mbalimbali Uchaguzi Mkuu 2025.Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chato, Frank Kuzenza ametoa taarifa hiyo Juni 23 kwa waandishi wa habari mara baada ya kikao cha Baraza Soma Zaidi

VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita wameonesha nia ya kuchukua fomu na kugombea nafasi mbalimbali Uchaguzi Mkuu 2025.Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chato, Frank Kuzenza ametoa taarifa hiyo Juni 23 kwa waandishi wa habari mara baada ya ki...

Wanamichezo sita wapigana vikumbo urais TFF - DAR ES SALAAM; WANAMICHEZO sita wamejitokeza kuwania urais wa Shirikisho l...
24/06/2025

Wanamichezo sita wapigana vikumbo urais TFF -
DAR ES SALAAM; WANAMICHEZO sita wamejitokeza kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, mwaka huu jijini Tanga.

Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili Benjamin Kalume imewataja wanamichezo hao kuwa ni Ally Mayay Tembele, Ally Thabit Mbingo, Mbette Soma Zaidi

DAR ES SALAAM; WANAMICHEZO sita wamejitokeza kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, mwaka huu jijini Tanga. Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili Benjamin Kalume imewataja wanamichezo hao kuw...

Zamu ya Segerea kampeni msaada wa kisheria - DAR ES SALAAM: Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ikiendel...
24/06/2025

Zamu ya Segerea kampeni msaada wa kisheria -
DAR ES SALAAM: Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ikiendelea kutoa huduma kwa wananchi wa Kata ya Segerea Ilala ,Dar es Salaam.Ofisa Ardhi Mkuu wa Jiji la Dar es Salaam, Godfrey Mlotwa akimhudumia mwananchi ,Anna Mwanjoka katika Kata ya Segerea ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo Soma Zaidi

DAR ES SALAAM: Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ikiendelea kutoa huduma kwa wananchi wa Kata ya Segerea Ilala ,Dar es Salaam.Ofisa Ardhi Mkuu wa Jiji la Dar es Salaam, Godfrey Mlotwa akimhudumia mwananchi ,Anna Mwanjoka katika Kata ya Segerea ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo

Katibu Mtendaji Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi - KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na...
23/06/2025

Katibu Mtendaji Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi -
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma.

Katika ziara hiyo, viongozi hao wamejionea namna Tume ya Madini inavyoshiriki kikamilifu katika Soma Zaidi

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Katika ziara hiyo, viongozi hao wa...

23/06/2025

Vijiji 4,679 vyawekwa mpango matumizi bora ardhi -

ARUSHA; SERIKALI imesema imeandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne, ambapo vijiji 4,679 vimewekwa katika mipango hiyo kati ya vijiji 12,333 nchi nzima.

Hayo yamesemwa leo jijini Arusha na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga kwa Soma Zaidi

23/06/2025

Mtikisiko majimboni -
IKIWA imebaki miezi minne kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu hekaheka na sarakasi za watia nia zimeshika kasi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika majimbo mbalimbali nchini.

HabariLEO lina taarifa kuwa katika majimbo mengi nchini wabunge wa sasa wananyukana na watia nia wapya huku katika majimbo yaliyogawanywa wabunge Soma Zaidi

23/06/2025

Wadau wa korosho Afrika wakutana Mtwara -
MTWARA; WATALAAMU na wadau wa korosho kutoka nchi nane barani AfriKa leo wamekutana Mkoani Mtwara, kujadili changamoto na fursa kwenye mnyororo wa thamani la zao la korosho nchini, AfriKa na mabara mengine duniani.

Mkutano huo utafanyika kwa siku tano mkoani Mtwara, unafanyika kwa mara ya kwanza Afrika Mashariki, Tanzania ikiwa mwenyeji, Soma Zaidi

Maofisa Polisi 2 wahukumiwa kunyongwa - MTWARA; MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa...
23/06/2025

Maofisa Polisi 2 wahukumiwa kunyongwa -
MTWARA; MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa wawili kati ya maofisa saba wa jeshi la Polisi waliokuwa wanakabiliwa na mash*taka ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini M***a Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachigwea mkoani Lindi.

Hukumu hiyo imetolewa leo Juni 23, 2025 Soma Zaidi

MTWARA; MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa wawili kati ya maofisa saba wa jeshi la Polisi waliokuwa wanakabiliwa na mash*taka ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini M***a Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachigwea mkoani Lindi. Hukumu h...

Rais wa Israel Atoa Tamko Zito Baada Ya Shambulio La Iran Kulenga Hospitali - Rais wa Israel, Isaac Herzog, ametoa tamko...
19/06/2025

Rais wa Israel Atoa Tamko Zito Baada Ya Shambulio La Iran Kulenga Hospitali -
Rais wa Israel, Isaac Herzog, ametoa tamko lenye hisia kali na ujumbe mzito wa mshikamano baada ya Kituo cha Matibabu cha Soroka mjini Be’er Sheva kulengwa katika shambulio la makombora lililotekelezwa na Iran mapema asubuhi ya leo. Akiandika kupitia mitandao ya kijamii, Rais Herzog alieleza kwa majonzi jinsi shambulio hilo Read More

Rais wa Israel, Isaac Herzog, ametoa tamko lenye hisia kali na ujumbe mzito wa mshikamano baada ya Kituo cha Matibabu cha Soroka mjini Be’er Sheva kulengwa katika shambulio la makombora lililotekelezwa na Iran mapema asubuhi ya leo. Akiandika kupitia mitandao ya kijamii, Rais Herzog alieleza kwa m...

Gigy Money Anaumwa, Hali ni Tete - Uongozi wa msanii maarufu wa Bongo Fleva na burudani, Gigy Money, leo Juni 19, 2025 u...
19/06/2025

Gigy Money Anaumwa, Hali ni Tete -
Uongozi wa msanii maarufu wa Bongo Fleva na burudani, Gigy Money, leo Juni 19, 2025 umetolea ufafanuzi hali ya afya ya msanii huyo, huku ukikanusha taarifa potofu zinazosambaa mitandaoni.

Katika taarifa hiyo, uongozi umeeleza:

“Ni kweli kwamba msanii Gigy Money anaumwa na anahitaji sana maombi yenu. Tunasihi wale wanaompigia simu au kwenda Read More

Uongozi wa msanii maarufu wa Bongo Fleva na burudani, Gigy Money, leo Juni 19, 2025 umetolea ufafanuzi hali ya afya ya msanii huyo, huku ukikanusha taarifa potofu zinazosambaa mitandaoni. Katika taarifa hiyo, uongozi umeeleza: “Ni kweli kwamba msanii Gigy Money anaumwa na anahitaji sana maombi yen...

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwetu Bongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kwetu Bongo:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share