12/01/2026
Ile offa ya kumiliki tovuti yako kwa bei chee mwisho Mwezi huu January 31, 2026, na kwa siku zilizobaki naweza kumuhudumia mteja mmoja tu.
Offa Hii inajumuisha mambo 10 yafuatayo;
1.Kulipia Usajili wa Jina la Tovuti Yako mf. tovutiyako.com
2. Kulipia Sehemu ya kuhifadhi file zako yaani Web Hosting
3. Kutengenezewa email binafsi inayoendana na jina la tovuti yako Mf. [email protected]
4. Kutengeneza Muonekano mzuri wa tovuti wa kuvutia mtu akiingia kwa tovuti yako yaani user interface (UI)
5. Mpangilio mzuri wa tovuti yako usiomchanganya mtumiaji yaani User Experience (UX)
6. Muonekano rafiki kwa tovuti za utafutaji yaani SEO Friendly
7.Kuandaa kurasa zisizozidi 4
8. Kuweka Live Chat kuwasiliana na wateja wako ukiwa online
8. Kuunganisha mfumo wa masoko kwa kuwasiliana na wateja wako kwa njia ya Email, yaani Email marketing
9. Kuweka mfumo wa ufuatiliaji mwenendo wa tovuti yako kuweza kuona wangapi wametembelea tovuti yako, walitafuta nini, walitumia mda gani, kifaa alichotumia kuingia, browser aliotumia, nk.
10. Kuiwekea Ulinzi Tovuti yako dhidi ya wadukuzi
Wahi ofa hii sasa kabla ya kuisha muda wake ni mteja mmoja tu ndo naweza kumuhudumia kwa muda ulibaki.
Bila kusahau hapa chini ni baadhi ya tovuti nilizotengeneza na ziko hewani ni;-
1. https://easyshoptz.com Tovuti ya Kuuza na Kununua Bidhaa,
2. https://wisdomsecurity.co.tz Tovuti ya Kampuni ya Ulinzi
3. https://dimabue.com Tovuti ya Kusaidia Watu Kukuza Biashara mtadaoni. Hizo ni baadhi ya tovuti nilizotengeneza
wasiliana nami kupitia email [email protected] au tembelea tovuti dimabue.com kwa maelezo na huduma zaidi