23/07/2025
🚨 Rasmi Yanga wamemtambulisha kiungo mkabaji wa Mlandege,Abdulnassir Mohammed Abdallah,maarufu K**a “Casemiro” kwa mkataba wa miaka mitatu.
Yanga walishinda vita ya kumnasa kiungo huyo mbele ya Azam Fc,JKT na Singida.
Usajili wake ulikamilika tangu july 2 mwaka huu
Ikumbukwe Yanga pia imekamilisha usajili wa Moussa bala Conte, offen Chikola na leo hii kuthibitisha usajili wa Casemiro