Zava Media Tz

Zava Media Tz We are an intimate apparel brand on a mission to Inform,Educate and Entertain you

Ufafanuzi kuhusu Chanjo ya UVIKO-19 kwa Waheshimiwa Wabunge
14/08/2021

Ufafanuzi kuhusu Chanjo ya UVIKO-19 kwa Waheshimiwa Wabunge

Uchaguzi Mkuu ZAMBIA  Kiongozi wa upinzani  Nchini Zambia Hakainde Hichilema, anaongoza  katika matokeo ya kwanza ya uch...
14/08/2021

Uchaguzi Mkuu ZAMBIA


Kiongozi wa upinzani Nchini Zambia Hakainde Hichilema, anaongoza katika matokeo ya kwanza ya uchaguzi wa urais, dhidi ya Rais anayetetea muhula mwingine Edgar Lungu .Haya ni kulingana na tume ya uchaguzi nchini humo mapema leo.

TAARIFA Chama Cha Mapinduzi CCM Kimekanusha taarifa iliyochapishwa na gazeti la chama hicho la Uhuru yenye kichwa cha ha...
11/08/2021

TAARIFA
Chama Cha Mapinduzi CCM Kimekanusha taarifa iliyochapishwa na gazeti la chama hicho la Uhuru yenye kichwa cha habari "Sina wazo kuwania Urais 2025 - Samia". CCM Imesisitiza kuwa taarifa hiyo si ya kweli bali ni ya upotoshaji na wahusika watachukuliwa hatua kali.

Magazeti Leo Agosti 11,2021
11/08/2021

Magazeti
Leo Agosti 11,2021

MAGAZETI Leo Agosti 11,2021Kurasa za Mbele.
11/08/2021

MAGAZETI
Leo Agosti 11,2021

Kurasa za Mbele.

DC Mbeya, Dkt. Rashid Chuachua amepiga marufuku magari ya matangazo ya misiba ambayo huzunguka yakitangaza taarifa za vi...
11/08/2021

DC Mbeya, Dkt. Rashid Chuachua amepiga marufuku magari ya matangazo ya misiba ambayo huzunguka yakitangaza taarifa za vifo, na kusema yanazua taharuki kwa wananchi. Wananchi kwa upande wao wamesema matangazo hayo yamekuwa yakiwarejeshea kumbukumbu za waliofariki.

HT: Mwananchi

PICHA:Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa likiwasili Viwanja vya...
06/08/2021

PICHA:
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa likiwasili Viwanja vya Karimjee Jijini Dar kwa ajili ya ibada Takatifu na heshima za mwisho zitakazoongozwa na Rais na Amiri Jeshi Mkuu,Mh. Samia Suluhu Hassan.

Kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu imeahirishwa hadi Agosti 13, 2021, baada ya upande wa Serika...
06/08/2021

Kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu imeahirishwa hadi Agosti 13, 2021, baada ya upande wa Serikali kuiambia Mahak**a ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa taratibu za kuifungua kesi hiyo katika mahak**a yenye mamlaka ya kuisikiliza hazijakamlika.

MSUMBIJIRais wa zamani wa MSUMBIJI Joaquim Chissano amemuomba Rais wa sasa wa nchi hiyo Filipe Nyusi kufanya majadiliano...
05/08/2021

MSUMBIJI
Rais wa zamani wa MSUMBIJI Joaquim Chissano amemuomba Rais wa sasa wa nchi hiyo Filipe Nyusi kufanya majadiliano na vikundi vya kijeshi vinavyosumbua katika eneo la Kaskazini la nchi hiyo vikiwamo vikundi vya waislamu. Wito huo umekuja huku mapambano yakiendelea baina ya vikunďi hivyo na vikosi vya wànajeshi wa Rwanda katika eneo hilo.
Akiongoza kati ya mwaka 1986-2005, Chissano alifanikiwa kuumaliza mzozo wa muda mrefu uliokuwa kati ya Serikali ya Msumbiji na waasi wa RENAMO.

MICHEZO:Kiungo wa soka raia wa Angola Carlinhos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo (26)  amejiunga na mabingwa wapya wa...
05/08/2021

MICHEZO:
Kiungo wa soka raia wa Angola Carlinhos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo (26) amejiunga na mabingwa wapya wa ligi kuu ya Angola-Girabola Klabu ya Sagrada Esperanca akiwa ni mchezaji huru baada ya kuachana na waajiri wake wa zamani Klabu ya Tanzania Young Africans .

RPC Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema kundi lolote litakaloandamana kwaajili ya kushinikiza kuachiwa huru kwa Mwenyekiti...
05/08/2021

RPC Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema kundi lolote litakaloandamana kwaajili ya kushinikiza kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe litachukuliwa hatua kali za kisheria. Maigwa amewataka wananchi kutoingilia mahak**a, na pia wawapuuze wote wanaosambaza taarifa za uchochezi mitandaoni.

Uongozi wa Barcelona FC umesema mchezaji wake wa muda mrefu na nahodha wa miamba hayo yavHispania, Lionel Messi hataonge...
05/08/2021

Uongozi wa Barcelona FC umesema mchezaji wake wa muda mrefu na nahodha wa miamba hayo yavHispania, Lionel Messi hataongeza mkataba mpya. Messi ataondoka k**a mchezaji huru baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa zaidi ya msimu 17 huku tetesi zikieleza kuwa anaweza kujiunga na klabu ya PSG ya Ufaransa.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zava Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share