07/08/2026
🚨 LEO USIKU🚨
Baada ya kuwa na juma lenye harakati nyingi, Sasa Ijumaa imewadia.
Muda wa kuburudika na Friday Melody Moment umewadia;
Usikose ijumaa hii saa 2:30 Usiku, kupitia channel yetu ya YouTube